Habari

Cynthia Masasi: I’m the luckiest woman in the whole world!

By  | 

Mr and Mrs Mziray

Jana ilikuwa ni siku mpya kwa former video vixen/model, Cynthia Masasi aliyefunga ndoa na Richard Mziray. Baada ya kubadilisha status na kuwa Mrs Mziray, mrembo huyo ana ujumbe huu mfupi:

“Aaaaaaaaaaw im the luckiest woman in the whole world! Thank u all for the lovely msgs I AM NOW MARRIED to my Best Friend, The man of my dream! Thank GOD for everything! So I have to make this CLEAR. Cynthia Masasi-Mziray is SAFE & SOUND!

I have not been in jail for one sec LEO, Sasa napigiwa simu back2back kwamba kuna watu wanasema wameniweka ndani na wanafuraha sana! To clear things up ni kwamba niko home na nina bbq na wakwe walikuwa wananikabidhi jiko “Kimila za Kipare” So jela sijapelekwa na dada yeyote naona wameona wajipe promo kidogo! Harusi yangu IMEWACHANGANYAA huo ndio ukweli! So thanks to yall for ur calls msgs and ur concerned abt my safety! NIKO POA BALAA NA MUME NIMPENDAE MPAKA KUFAAA! LOVE YALL MY TRUE PPL..”

Kitu cha chopper kikiwasubiri maharusi

Congrats Cynthia.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments