Michezo
Cristiano Ronaldo: Bango la matangazo litembealo lenye thamani ya £26.5m
Kwa wengi, Cristiano Ronaldo ndio mchezaji bora zaidi duninia kumzidi mpinzani wake Lionel Messi. Akiwa na likes zaidi ya milioni 100 kwenye Facebook, mashabiki zaidi ya milioni 30 kwenye Twitter, mchezaji huyo wa Real Madrid na Ureno anatafutwa na kila kampuni kwaajili ya kufanya matangazo naye.
Kila mwaka, mchezaji huyo huingia paundi milioni 26.5 na kumfanya awe na kipato cha £41.5m kwa mwaka ukiongeza na mshahara anaopata.
By Daily Mail