Michezo
Cristiano Ronaldo aweka rekodi mpya
Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza duniani kuchukua vikombe vyote kwa ngazi ya club vya ligi ya ndani ya nchi husika anayocheza akiwa na vilabu viwili tofauti.
Angalia hapa akiwa na Manchester United na sasa Real Madrid.