Burudani

Coolio kutoa album mpya baada ya ukimya wa miaka 5, lakini itapatikana kwenye mtandao wa picha za ngono tu!

Ikiwa ni takribani miaka 5 imepiata toka atoe album ya mwisho ‘From the Bottom 2 the Top’, rapper Coolio anatarajiwa kuachia album mpya ambayo itapatikana kwenye mtandao wa picha chafu za ngono pekee tu.

coolio

Rapper huyo wa ‘Gangsta’s Paradise’ ameingia makubaliano na mtandao wa ‘Porn Hub’, hivyo mashabiki wake watalazimika kujisajili na mtandao huo ili kusikiliza nyimbo za album hiyo.

Coolio ameiambia TMZ kuwa mkataba alioingia na mtandao huo, wao wamempa porn stars kama Jessica Bangkok, Missy Martinez na Skin Diamond watakaoonekana kwenye video ya wimbo unaoitwa ‘Take it to the Hub’, kwa kubadilishana na yeye album yake itapatikana kwao exclusive.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents