| NELLY aka FAZA of XPLASTAZ passed away |
|
|
ARUSHA, 30 MARCH 2006 - Faza Nelly, one of the founding members of Tanzanian rap group X Plastaz, passed away last night. Nelly had been admitted to hospital with wounds inflicted by a knife that a psychotic neighbour had used to attack him. Doctors had hope of curing him, but the damage to his lungs proved too severe.
Nelson Chrizostom Buchard a.k.a Faza Nelly,ambaye ni msanii pamoja na mmoja kati ya waasisi wa kundi la Xplastaz lenye makazi yake ndani ya jiji la A-Town (Arusha) amefariki dunia juzi tarehe 29 kwa kuchomwa kisu. Taarifa kutoka kwa familia ya marehemu ilisema msanii huyo alikufa baada ya kuchomwa kisu na mtu mwenye matatizo ya akili ambapo alikimbizwa hospitalini lakini juhudi za madaktari kuokoa maisha ya msanii huyo zilishindikana kutokana na kupata madhara makubwa kwenye mapafu. Kifo hicho kimewashtua wasanii pamoja na wapenzi wengi wa muziki kutokana na mchango mkubwa wa msanii huyo ktk kukuza Bongo Flava ndani pamoja na nje ya nchi. Kumbukumbu zinaonyesha safari ya mwisho ya msanii huyu kwenye maonyesho ya nje ilifanyika mwezi wa 12 mwaka 2005 alipokwenda kuperform Norway (Oslo World Music Festival) na Sweden (Selam festival ya Faza Nelly alizaliwa mwaka 1976 mjini Arusha. {mos_sb_discuss:6} Comments (1)
![]() ![]() written by a guest, April 12, 2009 - 20:52:44
Rest in peace FAZA, i am from uganda and didnt know much abt his works but had come across some of it and didnt know who it actually was. Such great talent missed.
Write comment
|
| 25688 registered | |
| 6287 female | |
| 19288 male | |
| 20 new this month | |
| New: ochu othman |





