Sat 13 Mar 2010
Sasa habari zinapatikana kwa kiingereza na kiswahili, chagua lugha upendayo hapo juu
Danny Glover ndani ya ZIFF E-mail
Danny Glover ndani ya ZIFF
Mcheza filamu kutoka Hollywood Danny Glover ambaye alitikisa katika filamu nyingi na kujipatia umaarufu mkubwa jana alishuka uwanja wa ndege wa Zanzibar bila mbwembwe za kistaa akimsalimia kila mtu, mwingine katika picha ni ofisa wa itifaki wa ZIFF Edwin (kushoto).

Danny Glover ni mgeni rasmi mwaka huu katika tamasha la filamu la nchi za majahazi (ZIFF) na pia ataendesha warsha (Acting for Camera) kwa ajili ya wadau waliojikita katika uigizaji kama yeye.

Pia atakuwa na muda wa kutosha kuzungumza na wadau katika kiwanda hiki cha filamu pale watapo muhitaji zaidi kuongelea kiwanda hichi.
Comments (3)Add Comment
...
written by a guest, July 03, 2009 - 01:32:50
karibu sana bana hapa ndo zenji utapata kila kitu asijali, malashi ya kalafuu mbatata za ulojo mduala ndo penyewe, you well come,from denge.
...
written by a guest, July 03, 2009 - 18:19:01
mbona kusalimiana na kila mtu jambo la kawaida,kasoro kwa washamba anajiona juu kumbe wapo wengi wako juu zaidiyake,namwaminia huyo jamaa na hapo anachukua poiti,kumbuka tz ni nchi ya amani na upendo akuna shaka
...
written by a guest, July 16, 2009 - 06:36:21
hayo ndio mambo ambayo masupastaa wanatakiwa kuiga, karibu sana Zanzibar.

Write comment
quote
bold
italicize
underline
strike
url
image
quote
quote
Smiley
Smiley
Smiley
Smiley
Smiley
Smiley
Smiley
Smiley
Smiley
Smiley
Smiley
Smiley

busy
Tag it:
Delicious
Furl it!
Spurl
NewsVine
Reddit
YahooMyWeb
Digg
blogmarks
feedmelinks
co.mments
 

Who's been doing what

13 March, 2010
profile update, 12:52
chumamoto updated their profile photo.

new user registration, 07:11
chumamoto joined our community! Welcome!

new user registration, 06:53
tashu joined our community! Welcome!

profile update, 00:30
MTU PORI updated their profile photo.

12 March, 2010
new user registration, 18:39
a78saa joined our community! Welcome!

profile update, 16:59
helenaa updated their profile photo.

status update, 16:21
mycle Am juc chln' waitn' 4 dinner

new user registration, 14:29
markone joined our community! Welcome!

new user registration, 13:52
semhando joined our community! Welcome!

new user registration, 13:33
servasadolph joined our community! Welcome!

The Weather

Dar es Salaam, , TZ

Now
Partly Cloudy
32°C, Windchill: 32°C
Wind: 27 kph N
Humidity: 65%
Visibility: 0 km
Preasure: 1,005 mb steady
Sunrise: 6:28 am
Sunset: 6:37 pm
Sat
Sunny
Hi: 33°C, Low: 27°C
Sun
Partly Cloudy
Hi: 33°C, Low: 27°C

Sudoku

othman shouts:
Gaucho nimekumiza nini kaka?nasikitishwa sana na muafrica wewe kunita mie ni mtu mmbaya sana !!naka

Latest Members Pics

 

Latest Songs

Not a Flirt
K-Lynn ft Hermy B
Ulinikuta
Klex ft Stone
Chupa Nyingine
Mchizi Mox
Shikide
Dully Sykes
Nimetoka Mbali
Jaguar ft. AY

Latest Videos

We have 50 guests online and 2 members online
4pak100 golgotha
Bongo5 Chat Zone 2.0
Total of members in the chatroom:
total 25713 registered
female 6293 female
male 19307 male
month 45 new this month
New: chumamoto