Sat 13 Mar 2010
Sasa habari zinapatikana kwa kiingereza na kiswahili, chagua lugha upendayo hapo juu
Cannavaro, Nizar waenda Canada E-mail
Cannavaro, Nizar waenda Canada
Wachezaji wawili wa Taifa Stars, Nadir Haroub 'Cannavaro' wa Yanga na Nizar Khalfan wa Moro United wanaondoka nchini kesho kwenda Canada ambako watajiunga na klabu ya Vancouver Whitecaps

Wakiwa huko wataichezea timu hiyo,Julai 9 dhidi ya timu ya Toronto FC ambayo pia inashiriki ligi kuu ya huko.

Mkurugenzi wa Kampuni ya LZ Enterprise, Rahim Kangezi (aka Zamunda) alisema alisema kuwa wachezaji wengine wawili, Zahoro Pazi wa Mtibwa Sugar na Abdulrazak Khalfan wa Yanga wataondoka baada ya kukamilika kwa mipango yao.

Kangezi alisema kuwa Pazi ataondoka baada ya wiki mbili wakati Abdulrazak ataondoka baada ya mwezi mmoja au miwili kwenda kwenye majaribio nchini Marekani na timu ya Miami FC.

Alisema kuwa kufanikishwa kwa safari hiyo kumetokana na kutambua mchango wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kukuza michezo.

''Mipango ipo mingi sana na tunaamini, wachezaji wengi watapata nafasi, na kinatachotakiwa sasa ni kufanya bidii ya nguvu na kuweza kufanya vizuri katika majaribio,'' alisema Kangezi.

Wachezaji hao walisema kuwa watajitahidi na wanaamini watafanya vizuri katika majaribio ambayo tayari yanaonekana kuwa, 'wamepata timu'.

Kwa upande wa Pazi, alisema kuwa kuna barua fulani za mipango yake anazisubiri na akifanikisha hayo, ataondoka kwenda huko.

Razak, ambaye ni mdogo wake Nizar anayeichezea Yanga alisema kuwa anaamini nafasi aliyonayo ataitumia vizuri kwani umri wake unamruhusu kufika mbali kisoka na kuwa ngao na tegemeo la taifa.
Comments (1)Add Comment
...
written by a guest, July 16, 2009 - 06:43:04
kinachotakiwa hapo nikujitahidi ili waweze kufunguka majaribio na kuingia mkataba. naamini Tanzania tuna wachezaji wengi tu wenye vipaji.

Write comment
quote
bold
italicize
underline
strike
url
image
quote
quote
Smiley
Smiley
Smiley
Smiley
Smiley
Smiley
Smiley
Smiley
Smiley
Smiley
Smiley
Smiley

busy
Tag it:
Delicious
Furl it!
Spurl
NewsVine
Reddit
YahooMyWeb
Digg
blogmarks
feedmelinks
co.mments
 

Who's been doing what

13 March, 2010
profile update, 12:52
chumamoto updated their profile photo.

new user registration, 07:11
chumamoto joined our community! Welcome!

new user registration, 06:53
tashu joined our community! Welcome!

profile update, 00:30
MTU PORI updated their profile photo.

12 March, 2010
new user registration, 18:39
a78saa joined our community! Welcome!

profile update, 16:59
helenaa updated their profile photo.

new user registration, 14:29
markone joined our community! Welcome!

new user registration, 13:52
semhando joined our community! Welcome!

new user registration, 13:33
servasadolph joined our community! Welcome!

profile update, 12:23
toa_upewe updated their profile.

The Weather

Dar es Salaam, , TZ

Now
Partly Cloudy
32°C, Windchill: 32°C
Wind: 27 kph N
Humidity: 65%
Visibility: 0 km
Preasure: 1,005 mb steady
Sunrise: 6:28 am
Sunset: 6:37 pm
Sat
Sunny
Hi: 33°C, Low: 27°C
Sun
Partly Cloudy
Hi: 33°C, Low: 27°C

Sudoku

othman shouts:
Gaucho nimekumiza nini kaka?nasikitishwa sana na muafrica wewe kunita mie ni mtu mmbaya sana !!naka

Latest Members Pics

 

Latest Songs

Not a Flirt
K-Lynn ft Hermy B
Ulinikuta
Klex ft Stone
Chupa Nyingine
Mchizi Mox
Shikide
Dully Sykes
Nimetoka Mbali
Jaguar ft. AY

Latest Videos

We have 88 guests online and 2 members online
4pak100 golgotha
Bongo5 Chat Zone 2.0
Total of members in the chatroom:
total 25713 registered
female 6293 female
male 19307 male
month 45 new this month
New: chumamoto