Fri 12 Mar 2010
Sasa habari zinapatikana kwa kiingereza na kiswahili, chagua lugha upendayo hapo juu
Hongera Hasheem!! E-mail
Hongera Hasheem!!
Usiku wa kuamkia leo nyota wetu wa mpira wa kikapu, Hasheem Thabeet, amechagulia kucheza na timu ya Memphis Grizzlies baada ya kuibuka chaguo la pili katika NBA Draft

Hasheem ataingia mkataba wa miaka mitatu na timu hio na kulipwa jumla ya dola milioni 12 (bilioni 15 za kibongo) katika muda huo.

Kwa kweli huu ni mfano wa kuigwa, yeye binafsi anasema alivoenda Marekani hakutegemea kufika mbali hivyo, lakini baada ya kuijiamini na kufanya kazi kwa bidii ameweza kufanikisha ndoto zake.

Tunamtakia kila la kheri na mafanikio mengi zaidi katika NBA na maisha yake kwa ujumla.

Comments (26)Add Comment
...
written by a guest, June 26, 2009 - 13:59:22
kudadadeki bil 15,mtoto si ndio basi tena mchezo wake mmoja tu anarudi bongo kula bata ndefuuuuuuu sana sana sanaaaaa
...
written by a guest, June 26, 2009 - 15:36:48
Nice 1 Dude, wishing u all the best..u need to toughen up lil bit. RJ
...
written by a guest, June 26, 2009 - 18:33:14
da big up sana maen and aaam so happy for him goodluck mate!
...
written by a guest, June 27, 2009 - 12:39:09
big up hasheem naona umaskini ndo kwaheri mkuu usitusahau kaka watu wa bongo God bless u dairy
...
written by a guest, June 27, 2009 - 14:42:58
What an inspiration to young Tanzanians! That's all what is needed: Hard & smart work, courage & determination. Congrats and keep it up bro. William Maseke
...
written by Njelemela, June 27, 2009 - 15:25:55
Unakaribishwa kwenye uwanja wako wa nyumbani Memphis "FEDEXFORUM' uonyesha uwezo wako. Kumbuka michezo nchi hizi ni kujituma kwa sana tu si kama michezo yetu ya kibongo ya tunakocheza kwa mtindo wa ridhaa bora nimepata namba
...
written by a guest, June 27, 2009 - 15:59:10
yeah,imetulia mno,angalau sasa tutakuwa kifua mbele kuwa tumo kwenye mchezo huo,yaani,kwa kuanzia nimeshahamia kwenye timu yako,uungwana kwanza.bado akina nanihii nao. kila la heri !
...
written by Bida, June 28, 2009 - 00:27:08
Safi sana hashimu..kilalaheri....Bida
...
written by a guest, June 28, 2009 - 14:33:22
jitahidi usifuata sifa za kijinga .kama wachezaji wa mpira wa miguu nchini tanzania hanswayne from johannesburg
...
written by a guest, June 28, 2009 - 19:38:14
mkuuu safi sana jitahidi mungu atakusaidia! ahmed hamdan
...
written by a guest, June 29, 2009 - 07:40:49
Keep it up Hasheem!!!!!!!!!!
...
written by a guest, June 29, 2009 - 14:50:21
duuuuuuuuuuuuuh urefu raha eeeh
...
written by a guest, June 29, 2009 - 17:47:45
BIG UP HASHEEM I WISH I COULD PLAY AS YOU.
KELVIN OBIGA.
...
written by a guest, June 29, 2009 - 17:48:22
SANA TU MWANA KEEP IT UP.
KELVIN OBIGA.
...
written by a guest, June 29, 2009 - 17:50:53
BIG UP HASHEEM WORK HARD.
ANNA OBIGA
...
written by jakey baby, June 30, 2009 - 18:05:46
i am going to miss the best king of pop ... R.I.P micheal ...ur safe and ur at peace .... smilies/sad.gif smilies/sad.gif smilies/sad.gif smilies/sad.gif
...
written by a guest, June 30, 2009 - 19:38:31
Hongera sana kaza buti ututowe wengine
...
written by a guest, July 01, 2009 - 00:27:15
great son
...
written by Bashkaa, July 02, 2009 - 09:31:18
øøøøøøøøøøøøø
...
written by a guest, July 02, 2009 - 09:39:17
mambo ni noma bro! yaani huku watu walikula bata waliposikia kachaguliwa! haijalishi katokea mkoa gani tanzania ni tanzani tuuuuuuuuuuuuu!
mokili in china
...
written by a guest, July 07, 2009 - 18:52:42

I wish ya all the best.
For the first time in my life to see and hear a Tanzanian plays at NBA.

PLEASE GUYS FORM SOCCER PULL UP UR HEADS.

GOD BLESS TANZANIA AND HASHEEEM.
...
written by a guest, July 07, 2009 - 20:20:43
BWANA YAANI HAPO MZEE KAUCHINJA YAANI DUNIANI SAFI ILA BADO HUKO AKHERA TUU AFANYE KWELI NAKO ACHA STAREHE KIJANA FOCUS MBELE KIMAFANIKIO
...
written by a guest, July 08, 2009 - 19:35:20
Ebwana mkubwa kaza buti mwana ule bata tu ukirudi bongo kuna nini tena neema si ndo hiyo mwana ..ila ukirudi bongo angalia mana wauza vocha wa kumwaga wasije wakakupoteza.. big up mkubwa
...
written by a guest, July 09, 2009 - 06:52:31
ebwana mkubwa kaza buti maana mambo mazuri bado yanakuja.Nadhani baada ya miaka mitatu mafisadi hawafuati
...
written by a guest, July 16, 2009 - 06:46:55
Nampa bi up saana tu, maisha ndio hayo. billion 15 si mchezo.
...
written by a guest, August 21, 2009 - 13:59:35
Hasheem wewe ni NOMA Mwanangu,UKO JUU ILEILE.

Write comment
quote
bold
italicize
underline
strike
url
image
quote
quote
Smiley
Smiley
Smiley
Smiley
Smiley
Smiley
Smiley
Smiley
Smiley
Smiley
Smiley
Smiley

busy
Tag it:
Delicious
Furl it!
Spurl
NewsVine
Reddit
YahooMyWeb
Digg
blogmarks
feedmelinks
co.mments
 

Who's been doing what

11 March, 2010
profile update, 23:05
saracutie updated their profile photo.

status update, 21:21
kiggy nothing much

new user registration, 18:49
helenaa joined our community! Welcome!

profile update, 17:21
bonanne updated their profile photo.

new user registration, 17:19
jarn joined our community! Welcome!

new user registration, 16:51
sanasa1980 joined our community! Welcome!

profile update, 16:22
tytydydy updated their profile photo.

profile update, 14:32
simon mzava updated their profile.

new user registration, 13:07
nduyes@yahoo.com joined our community! Welcome!

new user registration, 12:56
Tichi joined our community! Welcome!

The Weather

Dar es Salaam, , TZ

Now
Partly Cloudy
27°C, Windchill: 27°C
Wind: 19 kph N
Humidity: 87%
Visibility: 0 km
Preasure: 1,006 mb steady
Sunrise: 6:28 am
Sunset: 6:38 pm
Fri
Clear
Hi: 33°C, Low: 27°C
Sat
Sunny
Hi: 33°C, Low: 27°C

Sudoku

othman shouts:
Gaucho nimekumiza nini kaka?nasikitishwa sana na muafrica wewe kunita mie ni mtu mmbaya sana !!naka

Latest Members Pics

 

Latest Songs

Not a Flirt
K-Lynn ft Hermy B
Ulinikuta
Klex ft Stone
Chupa Nyingine
Mchizi Mox
Shikide
Dully Sykes
Nimetoka Mbali
Jaguar ft. AY

Latest Videos

We have 10 guests online and 1 member online
sanasa1980
Bongo5 Chat Zone 2.0
Total of members in the chatroom:
total 25704 registered
female 6292 female
male 19299 male
month 36 new this month
New: helenaa