| Michael Jackson Afariki |
|
![]() Mfalme wa muziki ya Pop duniani Michael Jackson amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya UCLA baada ya moyo wake kusimama...alikuwa na miaka 50 tu Hakuna mwanamuziki aliewahi hata kujaribu kuvunja record ya Michael Jackson katika upande wa mauzo na maonesho, katika maisha yake amewagusa watu wengi na nyimbo zake na hamna mtu asiemtambua duniani kote. Atakumbukwa milele, rest in peace Michael.Comments (50)
![]() ![]() written by a guest, June 26, 2009 - 12:09:50
RIP MJ, we will all miss you. I just don't believe you are no longer with us..
![]() written by a guest, June 26, 2009 - 12:33:48
nasikitika sana kwani kwani nilipenda sana uimbaji wake lakini Mungu kampenda zaidi, na pengo lake haliwezi kuzibwa na mtu yeyote. MUNGU ailaze pema ROHO ya marehemu.
![]() written by a guest, June 26, 2009 - 13:20:14
hakuna muimbaji kama michael Jackoni duniani, kani nyimbo zake silikuwa sinakubalika kila pande ya dunia, hakuna atakayeweza kuliziba pengo lake mungu ametoa na mungu ametwaa achenijina la mungu lihimidiwe.
amina. ![]() written by a guest, June 26, 2009 - 13:21:35
hatuta msahau kwa uimbaji wake mungu ampumzishe pema michael.
![]() written by a guest, June 26, 2009 - 14:36:40
Jina la M/mungu liimidiwe daima! Mwanamuziki mashuhuri Michael Jackson ameweka rekodi kubwa sana katika fani yake ya fasihi duniani kama chombo cha kuburudisha jamii.
let me say no one who will replace the position of Michael. "Rest In Peace"Written by Michael Hamisi. ![]() written by a guest, June 26, 2009 - 15:29:56
OOOOOOOOOOOOOdear, I really love his songs so much, may God taka his soul!! REST IN PEACE DEAR!!!
...
written by Tahir, June 26, 2009 - 16:24:38
pole sana Micheal! I dont believe at all that you no longer with us. We still waiting in two weeks to know the cause of his death. I was about to go to london on July to attend in your concert, That was the last tour you announce. This make me so sad cause i said i have to see you before you die.
We all love you ...
written by Tahir, June 26, 2009 - 16:31:41
We love you. We were waiting for you in The 02 Arena in London. Oh we miss you
...
written by This e-mail address is being protected from spam bots, you need JavaScript enabled to view it , June 26, 2009 - 16:45:39
R.I.P (M.J),gone but not forgotten.
![]() written by a guest, June 26, 2009 - 17:31:30
aah rest in peace and we all love you Michal Jackson.. written by Lucky
...
written by qlate, June 26, 2009 - 18:30:06
r.i.p mj u`ll rock me 4evr nah mttr what hppnd u`ll still in ma heart rest in peac king ov pop
...
written by docter, June 27, 2009 - 01:00:42
INA LILAH WAINA ILAIH RAJIUN,,,MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI AMIN ,,,,,MICHEAL JACSON
![]() written by a guest, June 27, 2009 - 12:47:54
mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi ya mwanamziki m.j ila kazi ya mungu haina makosa sisi tulikupenda ila mungu alikupenda zaidi yetu .kifo ni kifo waungwana michael j wape hai wakina bob marley,steve2k,complex,2pac,big by
This e-mail address is being protected from spam bots, you need JavaScript enabled to view it
...
written by wa mungu uwazi, June 27, 2009 - 12:54:38
always you will stay in my hert ilove u michael jackson
![]() written by a guest, June 27, 2009 - 12:54:40
Mungu aiweke roho ya Michael mahali pema peponi,Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina la Bwana na libarikiwe.sisi tumpenda lakini Mungu amempenda zaidi.
...
written by ally2008, June 27, 2009 - 23:40:03
R.I.P MICHAEL JACKSON altogh ulikuja tanzania ukasema tunanuka but we all FORGIVE YOU MICHEL JACKSON we hope you have realised your mistake REST IN PEACE MICHAEL JACKSON WE WILL NEVER FORGET YOU
...
written by lidya, June 28, 2009 - 00:38:17
mbele yako nyuma yetu! mungu akutangulie upumzike kwa amani!
![]() written by a guest, June 28, 2009 - 03:09:10
R I P dog we will miss u and we'll remember u by listen to ur music love u mic
...
written by katei, June 28, 2009 - 22:29:22
ata mimi siamini asha fariki but al the same we all go on our own time now was his Lord rest his saul
![]() written by a guest, June 29, 2009 - 05:37:50
I grew up listening to your music from the Jackson 5 to your solo work. You are a legend and you left us many memories to hold on to. Thanks so much. Nyota_safi
![]() written by a guest, June 29, 2009 - 05:47:41
nasikitika sana. lakini hakuna noma mungu amuweke motoni. kwajili arizalau ngozi ariopewa na mwenyzi mungu. nijewe big boss ndimuri phoenix ar
![]() written by a guest, June 30, 2009 - 05:44:39
wewill never forget u . we miss u now the king of pop
![]() written by a guest, June 30, 2009 - 20:50:44
we never forgot u michael jackson but god love u much thay way. my god give u a god rest amen
![]() written by a guest, July 02, 2009 - 23:58:06
ts kind of majonzi kwa world,and we cnt hide it, May God and all angels protect you there where you are,we all feel that ur alife due to your vocals in our lab,rest in peac dood(dude), reat in peac burry..! r.i.p mike
sayz Emaxx ![]() written by a guest, July 03, 2009 - 15:12:25
we will all miss you brother but God will be with you.usiwe nahofu mungu you ko pamoja na wewe. amen
![]() written by a guest, July 03, 2009 - 23:58:48
Watu wengi duniani walipenda nyimbo za MJ na vyovote alivyo kuwa akivaa anapendeza.
sauti yake haina mfano.Mungu ailaze peponi roho ya MJ. From Saeed Nyoka wa kijani -Musact Oman ![]() written by a guest, July 09, 2009 - 23:08:39
Nilikubali kazi za michael na pia kifo chake ni pigo katika nyanja ya muziki wa pop na akiwa mfalme wa muziki huo.[alfred mwalongo]
![]() written by a guest, July 27, 2009 - 12:46:22
Siamini kama michaeli kagoo, sijawahi kuona mwanamuziki kama michaeli nahaitakuja kurokea mwanamuziki mwingine kama Michaeli Jacksoni. mungu ailazepemapepono roho ya Michaeli Amina.
Write comment
|
Who's been doing what
new user registration, 13:59
![]() | QEEN_NADYA joined our community! Welcome! |
new user registration, 13:51
![]() | ZULFA joined our community! Welcome! |
new user registration, 13:19
![]() | joshi joined our community! Welcome! |
new user registration, 10:30
![]() | kate joined our community! Welcome! |
new user registration, 14:03
![]() | amib joined our community! Welcome! |
new user registration, 13:38
![]() | yassinimtiaz joined our community! Welcome! |
The Weather
Dar es Salaam, , TZNow

Partly Cloudy
25°C, Windchill: 25°C
Wind: 0 kph N
Humidity: 91%
Visibility: 0 km
Preasure: 1,006 mb steady
Sunrise: 6:27 am
Sunset: 6:35 pm
25°C, Windchill: 25°C
Wind: 0 kph N
Humidity: 91%
Visibility: 0 km
Preasure: 1,006 mb steady
Sunrise: 6:27 am
Sunset: 6:35 pm
Wed

Sunny
Hi: 32°C, Low: 26°C
Hi: 32°C, Low: 26°C
Thu

Sunny
Hi: 33°C, Low: 26°C
Hi: 33°C, Low: 26°C
Sudoku
|
|






























