SwahiliEnglish
            Lost Password?    Click here to register
Music Player





(Mini-MP3-Player v2.2 (c) Ute Jacobi - unregistered version - Only Free for NonCommercial Website)
Bado Nipo Nipo - Mwana FA PDF Print E-mail
Wednesday, 18 June 2008
Mwana FA - Bado Nipo Nipo

Mwana FA - Bado Nipo Nipo


Tag it:
Delicious
Furl it!
Spurl
NewsVine
Reddit
YahooMyWeb
Digg
blogmarks
feedmelinks
co.mments
Comments
NewSearch
shaqeel Wed, 18th Jun 08 - 04:53 pm
ahahah
frederickjames Wed, 18th Jun 08 - 04:59 pm
[b]FA im 1 of your best fans..from UK
man jst keep it real like dis..Peace[/b]
prince J Thu, 19th Jun 08 - 04:07 am
hahahaha baab kubwa mana FA...hata mimi bado nipo nipo sana!wakuoa nitakua mimi bwana!
bestmix Thu, 19th Jun 08 - 04:44 am
Mtu wangu kweli noma!!!Ebwana kama mimi...Miaka kadhaa ijayo ndo waniulize ntaoa lini??
mamboko - wats on? Thu, 19th Jun 08 - 05:49 am
:dry:
Mjuzi zaidi ya ujuzi Thu, 19th Jun 08 - 06:43 am
mh sijawahi sikia tungo kama hizo toka nizaliwe jamaa kama ungekuwa mtoni Tuzo kibao ungekichukua semaaaa Bongo lakini sio inshu utapata Tuzo ya KILIMANJARO kwa hili songi lako makini ebwana limenigusa hilo kichizi " hata mimi Mjuzi mpango wa kuoa sina " labda miaka 8 ijao sasa nakamatia tu hehehehe FA big up halafu jamaa nimefanana nae ile kichizi sijiu kaka yangu huyooo FA
ferrari Thu, 19th Jun 08 - 11:05 am
Kama ni simu wewe ni iphone,kama ni gari we buggati,kama ni noti ya pesa we ni pound! Uko juu FA da lyrics! Salyuuuuuti!
mdaku - DU Thu, 19th Jun 08 - 06:08 pm
mwana fa unaowa lini ehhhhe
mama asha Fri, 20th Jun 08 - 03:33 am
bado nipo nipo mama, wakwanza kuwa mimi bwana.
mtemi - nilipokuona ulikuwa kwenye "d Sat, 21st Jun 08 - 04:15 am
yes,!!!! nitakuja tena nikuone mwenyewe unavyomwaga vitu vyakooooo.
ghettoprince - ah.. Sat, 21st Jun 08 - 05:56 am
sasa kaka yassern! lini.. au upo upo kwanza!! gaucho na NM washatangulia.. <img src=hock:' /> <img src=hock:' /> track ime2lia
cizzle - binammmmmmmmm Sat, 21st Jun 08 - 09:21 am
[b]bado nipo nipo hata mm
ila track haitujengi kifikra
for fun ts cool :?: [/b]
Eya - nNIPO NIPO Sat, 21st Jun 08 - 11:04 am
GREAT SONG BG UP MA MAN B)
jafa81 - Re: si mchezo Sat, 21st Jun 08 - 03:00 pm
Nashanga kuna mdau (Cizzle)anadai kuwa nyimbo hii haitujengi kifikra...Nyimbo hii ni matata sana, inatujena kifikra na kutukumbusha kuwa NDOA si kitu cha kukurupukia. kumbuka kuwa Mwana FA hajakataza watu wasioe na hilo ameliweka wazi kabisa....Mimi mwenyewe bado nipo nipo saaaanaaaa....
tzn - jeneza Sat, 21st Jun 08 - 10:54 pm
Nitaoa siku ya kufa....
Kakayetu - uzushi tu Sun, 22nd Jun 08 - 07:02 am
marakumi ungeacha tu maana hatunashida yakujua siku taoa lini mind you own busness
nedved - hi Mon, 23rd Jun 08 - 04:09 pm
nakuamini mwana fa kiswahili kimelala kwako kasoro zisizo kasoro
nedved - hi Mon, 23rd Jun 08 - 04:22 pm
hi big up mwana fa i realy enjoiy this song...its on of the best bongo flava song i ever heard...bado nipo nipo zedi
cizzle - @jafa81 Mon, 23rd Jun 08 - 04:31 pm
ukiniona na dem mkali sio kwamba ntamwoa....anamaanisha anawachezea den anawamwaga
unnafikiri kwamba hapo unajengeka
sikiliza mistari yote halafu utajua
jackiel - nipo nipo Mon, 23rd Jun 08 - 10:57 pm
Tupo wengi jamani,nilikuwepo na bado nipo nipo tu na hawa kina fa!
Lonely Shirima - NI SAFI ZAIDI YA MAELEZO Tue, 24th Jun 08 - 08:15 am
bado bado nipo bwana ukiniona nina demu mzuri basi mnajuwa ninao asioi leo wala sioi kesho .... eti nizibe masikio wengine nifumbe macho...... ukiambiwa wewe ni boy friend haimaanishi upo peke yako...... anataka kuolewa na anamegwa kama kawa... naafaahamu nina bahati mbaya kama bundi... usiseme unamuamini mwanamke hata kama ushamwambia ...
Lonely Shirima Tue, 24th Jun 08 - 08:22 am
bado bado bwana hahaha watu bwana wakiniona na demu mzuri wanauliza naoa lini niambie mwana FA eti nizibe masikio wengine ni fumbe macho .... anataka kuolewa na anamegwa kama kawa...nafahamu nina bahati mbaya kama nalaala na bundi ....
speed - bado nipo nipo speed Wed, 25th Jun 08 - 12:00 am
wewe marry hapo juu, naona akili zako bado zipo zipo dada, hata kama kamwagwa si yeye, muhimu ni huu ujumbe tu.
mwana FA upo juu kama jua la utosi, hii mistari level za shaaban robert, dah! kaka wewe mkali.
ila mary kama kuna demu namzimia bongo ni Jokate, kama mwana FA kamwagwa zaweza kuwa habari njema kwangu, ILA BADO NIPO NIPO SPEED <img src=illy:' />
ghettoprince - duh Wed, 25th Jun 08 - 09:06 am
kama huna commet its better you get off ur hands from keybord..
sasa marry .. ndio nini tena.. DAH.. hadi e-mail umeacha! :cheer: SISI WABONGO BWANA..
peace out
me4you Wed, 25th Jun 08 - 10:29 am
mwana hii ngoma full mkazuzu ile mbaya, kwa wanaochonga habari ndio hiyo, ila mwana umewanyong'onyesha warembo, :cheer: :cheer: :cheer:
bestmix Wed, 25th Jun 08 - 04:04 pm
Ebwana hii quality mtu wangu!!!Mi mwenyewe Bado Nipo Nipo mwana!!Madem wenyewe wadogo usoni lakini wanahifadhi wazee wao!!Wao na waanze tu,Mie bado najipanga nisiharibu sitaki waje kunihurumia!!!Bado Nipo Nipo mwana!!
[Q] Wed, 25th Jun 08 - 09:55 pm
Ni Noma....Juzi Juzi hapa Mke Wa mtu Kamng'ang'ania Mchizi ''Fulani'' Kweli Ukiambiwa BF ama Mmewangu Haimanishi UkoPeke yako..Mie Nitakuwepo-na-Nipo Nipo tu[lol].Luvmasters Unaoa Lini!? na Binamu[unajua naimanisha Yupi] Harusi Lini....Eh Bana Kopo Limesimama..Pamoja!
lusandi - huu wimbo wa uvc Thu, 26th Jun 08 - 01:17 am
nasikia fa kaiba mashairi ya uvc ndo wimbo huu sasa je kwa staili hii utafika fa mana hii ishakuwa gumzo kila siku wewe
Buso21 - Jamani Hammy B ni nomaa Thu, 26th Jun 08 - 02:27 am
jamani wote hapo juu mnamsifia binamu,mmemsahau the man who is behind the song, kwanza sikujua ni nani lakini kusikia kwenye radio ni jamaa aliyetengeneza habari ndio hiyo na nangoja ageuke bwana,hammy b big up sana brother sikujua kama wewe ni mkali hivi toka nianze kusikia kazi zako sijasikia mbaya,halafu ni quality ya mtoni naona umekuja kuwaangamiza kina pfunk na wengine waliotuzoesha kurudia beats sababu wao wakipata beat ikawa hit kali basi nyimbo zote zinazofuata zinakua na mdundo huo lakini wewe zako ni real hits midundo tofauti sijui inayofuata utatoa beat ipi bro..halafu nimeumia kusikia mtu kama makochala au lamar na roy bukuku kuwekwa kwenye tuzo wakakuacha,these guys produce nothin but crap all the time,they are not creative at all,keep doing your thing brother,watanzania tumekukubali so hao watoa tuzo watajiju wanatuzingua tu, ni hayo tu

Biso Boy
PKJ - Ukimegewa nawe Mega Thu, 26th Jun 08 - 04:15 am
Mazee hata mie bado 'Bado Nipo Nipo' sana
brother I Thu, 26th Jun 08 - 07:01 am
we marry hapo juu acha umbea...watu bado tupo tupo kwanza,na we tafuta babu
GAUCHO Thu, 26th Jun 08 - 07:15 am
kila m2 akiacha email yake hapa je itakuwaje?kazi kwelikweli ki2 kime2lia nimekubali! :woohoo:
8figure - Amaah !! Fri, 27th Jun 08 - 02:54 am
Mmmmmmmmhhh !!!! :0
prezoo - duh kazi ipo Fri, 27th Jun 08 - 04:00 pm
duh hata kama mtazamo wako marry hatari ok acha niishie hapo,
i like the song,,sema f.a msaliti wa chama langu kipenzi EASTCOAST TEAM,
Wakati ulisema HAJAUNDWA NA HAITOUNDWA ko**tE UENDAKO E.S.T UTAIWAKILISHA,,,
mtonikitambo - bonge la jisongi Fri, 27th Jun 08 - 04:16 pm
wacha waponde tu ila song limetulia ,,but nitaoa hivi karibuni,,
no condition is perment cha maana kuomba mungu tu asaidie,,nisimegewe,,,mtu akinemegeme namchukulia masela wanammega yeye si demu wake,,,hahah haha haha
rajey80 - imetulia hiyo sly -1 Sun, 29th Jun 08 - 06:46 am
mpwa unatisha kwa ubunifu na tupo pamoja wacha waponde vimbaumbau ah ah ah :evil:
eddoman - bado nipo nipo kwanza adam ryt Mon, 30th Jun 08 - 01:32 am
kiukweli THE don upo juu , hakuna wakumuoa thiz tym cz 70% ni vicheche BADO 2 PO 2PO kwanza ,A MCHV .

ebwna TanGa ndo ndo chimbuko la mapenZi wape hao ,
brother I Mon, 30th Jun 08 - 05:13 am
we marry,tofautisha mtazamo na umbea
Big tymers Mon, 30th Jun 08 - 07:24 pm
MARRY KICHECHE KICHECHE , MWANA FA KAMA KAWA,PINI LIMETULIA
rocky Tue, 01st Jul 08 - 05:39 pm
yeahhh bahati mbaya kama unalala na bundi duhhh, makini mwana pini limetulia beat bomba bab kubwa ujumbe umetulia, baada miaka ijayo wakuulize utaoa lini sijawahi kusikia pini kama hilo bab kiwango
hahahaaa hivi bongo wadhungu dili sana duhhh kweli tembea uyaone
brother I Wed, 02nd Jul 08 - 05:42 am
rocky we ulikuwa ujawakia,tena wadhungu wenyewe ulaya wanauza lambalamba,lakini bongo wanachukua watoto wazuriii,yani mi nachoooka kabisa
Msaidi - Kaburi aliitaji bwebwe ndio ma Wed, 02nd Jul 08 - 07:32 pm
Nakukubali kupindukia Mwana FA, sisi watu wa Kenya tumekuzimia.
mcngatamba - Aya Wed, 02nd Jul 08 - 11:42 pm
kazi imeanza Marry anasema wimbo umewaponda mademu wote.
Mimi simo
mlavitu flan flan - NI FULLUUUUUU Thu, 03rd Jul 08 - 04:16 am
Arifu ili songi kama ni kulenga umelenga mkubwa. mi mwenyewe bado nipo nipo tu nakula maisha japokua mi bado bikra kaka sijapata misukosuko yako.Songi la joketi nini mwana?
mlavitu flan flan - NI FULLUUUUUU Thu, 03rd Jul 08 - 06:48 am
Arifu ili songi kama ni kulenga umelenga mkubwa. mi mwenyewe bado nipo nipo tu nakula maisha japokua mi bado bikra kaka sijapata misukosuko yako.Songi la joketi nini mwana?
kadidi jr Thu, 03rd Jul 08 - 12:08 pm
:cheer: uko juu fa kip it up man
mzuka - nipo nipo na mm Thu, 03rd Jul 08 - 01:18 pm
mwana dude linakili timamu ila na ww merry acha kuchonga sana nakuliza na ww utaoolewa lini ?merry
mujwahuki Fri, 04th Jul 08 - 04:41 am
Kaka nimekubali uko juu yahaani kama nas vile au mtu mzima kanye, kama vipi nasi tuanze kuuza mtoni maana mwana FA umesimama. Kaka bado tupotupo tu. kivipi tufumbe macho wakati tunaona tunaibiwa. Vicheche wanajua kuteteana.............
muhuni Sat, 05th Jul 08 - 08:12 am
sasa jamani mtoto wa kiume wewe hutaki kuoa!... basi uolewe!..... tutafutane kama unataka kuolewa!
sexylook - mh Sun, 06th Jul 08 - 01:59 am
:kiss:
mzuka - aiiiiiyyyyyyyy Mon, 07th Jul 08 - 08:18 am
sasa muhuni atakutafttaje hujacha imel wala namaba ya simu wacha imel au namba ya simu kidume akutafute huyo FA nakukubbali sana mwana unanguvu nyingi nyingi akilini
manjwili Mon, 07th Jul 08 - 08:34 am
sijasema sitaki kuoa nitaoa ila nipo nipo kwanza yaani niponipo sana tu hahah
hiyo babu imetulia big up mdogo wangu mwana FA
shamsee - Upo juu Tue, 08th Jul 08 - 02:00 am
yani FA upo juu kama bendera ya TZ ila we hujui tu .Yani nak**aindi ile kinoma mkubwaa,Just know Upo JUUUUUUUUUUUU

MWANA FA :woohoo: :cheer:
Belo - Hata mimi nipo nipo Tue, 08th Jul 08 - 10:11 am
Katika wasanii wa bongo huyu dogo anafunika mno
hana maringo,kaenda shule na anakimbiza class
kwenye mziki ndio usiseme na anajua kusoma mchezo
Big Up BINAMU
wafix Tue, 08th Jul 08 - 10:34 am
Ebwana mwana FA uko juu kichz! yani ni fuluuuu ucpme khivyo, nimekukubali na wewe nimekuteua kuwa ndio msanii wa 1st bongo, kwa mashairi yenye fuluuuu maujumbe chalii angu, yani iyo ni fuluu life ya maisha ya kiswahili, tushamegewa sana na vibabu,mwana wahabarishe,next time lazima tukumuvutishe uku ukerewe uje utupe live show chalii angu. Kamua chalii angu uko juu kama mapaundi.
HoVa - Kamuzi Wed, 09th Jul 08 - 12:53 pm
Kama Kawa, MwanaFA anakamua vilivyo.

Bloods? naona Hata Home kuna Members.

Pwa!,
H-Va.
mapozi - NYANGU Thu, 10th Jul 08 - 08:30 am
Nyangu boy nami bado nipo nipo 2 saaaaaaaaaaaaana kuoa nitaoa mimi bwana watu na heshima zao wamegongewa vicheche wao.[/color]
mapozi - Man Zinger Thu, 10th Jul 08 - 08:45 am
Ebwana mzuka mtu wangu yaani ni bab kubwa,The man from AZANIA here,and all AZaBOY bado wapo wapo sana.
Belo - NORTHERN ROCK Thu, 10th Jul 08 - 09:49 am
Joh uko stable wachache wanapeana tuzo but MFALME anajulikana kwa sasa we ndio KING WA HIP HOP TZ
KAZA BUTI
kissokyjunior Thu, 10th Jul 08 - 01:22 pm
NYIE NGOJENI NGOJENI KWANZA SISI TUNAKAMUA MTAKAPO GUNDUA UTAMU WA MKE ITS TOO LATE FA
chidy11 - kaka unatisha ile mba ya Sat, 12th Jul 08 - 10:16 am
kaka upo juu sana on the other hands kaka hammy b duu!kweli wewe umesomea kwa maana hizo beats za kufariki m2.keep it up man!
Ruhabaye - Great Thinker!!! Sun, 13th Jul 08 - 12:12 am
Man, U r fantastic!! I dont no how u came up with this?? It was as if u were reflecting many guys lyf's!! Its the very common qtn around!! U have given out the answer!! Kip on Kipping on doin ur hits!!
Nalysys Sun, 13th Jul 08 - 06:35 am
upo mwake,pokea 5 zote,nyasi nyasi ndogondogo acha 2zifyeke,umewafikishia fimbo sa ndani ya ulimbo,hata mi bado nipo nipo 2.........wakuoa nitakuwa mimi??????????????????????????
Mwafrika - we ni soo Sun, 13th Jul 08 - 09:07 am
msela una akili kinoma za tungo!bora ulivyoamua kutoka kivyako tu jamaa wa East wangekuzingua tu...yaani umesimama kinoma babake!kaza boot!
Tito Mon, 14th Jul 08 - 03:27 am
weeeeeeeeeeeeeeeeee msera bonye tu mtu wangu hapo usipime mazeee!!!!!!!!!!!!!
Dr Bh Tue, 15th Jul 08 - 09:53 am
Ebwana me nimekubali mtu wangu, nakuaminia toka Ingekuwa vp, mpaka hili truck lako la "Bado nipo nipo". Ulivyoeleza ni vitu ambavyo vipo, mademu hawaaminiki mtu wangu! Kaza buti kamanda ila usitumie msemo huu kuwa kicheche, c unajua kuna milupo ya kiume!
davidsamuel Thu, 17th Jul 08 - 06:24 am
:cheer: he fa bado upo endelea mwenzagu mbona msitengeneze kikundi na ay mtrock sana bong habari ndio hiyo
man original - song ili mimba me sipo sipo Fri, 18th Jul 08 - 07:56 am
sinA IMANI NA HII NIPO NIPO KWANZA yaweza kuwa poza maumivu kwa kweli ndoa na tendo lake na dunia ya ukimwi mtu kukuchukulia demu wee kumega wa mwenzio HAPO FA UJAJENGA ME BADO NIPO NIPO kukuelewa man FA unatuangusha wa2 wa maadili hapa kwa kifupi wi,bi huu mimba nadhani mtunzi hakua sober binammmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm[color=r
ed][/color]
chelsea1 Mon, 21st Jul 08 - 01:00 am
Vp Jokate issue nini?
my rachel Mon, 21st Jul 08 - 03:32 am
:evil: :evil: mtoto wa tyrol nakuaminia unafunika na beats ile mbaya hapa ni harmy b tu ndo kaifanya inoge,,nakuamnia shem wangu kaza but .na sasa hivi huko ohio ulikoenda ukirudi uangushe zaid ya hii,,big up hermy.bado nipo nipo kwa sana tu,,nicy song :P
diddy boy Wed, 23rd Jul 08 - 06:07 am
mwanangu, ukingoja sana wataisha!!! miaka ijayo wanawake watakuwa hawashikiki. anywy mistari imetulia sana tisa kwa kumi!
vinchuwa Wed, 23rd Jul 08 - 06:27 am
hii ngoma kimeo, me cpo japokuwa lina bamba kimtindo bt tufikirie
man original - this s funnnnnnnnnnnn Wed, 23rd Jul 08 - 06:44 am
mwanaFA chukua rikizo man kaa ufikilie unawaonea wivu mademu au kunani
Tito Thu, 24th Jul 08 - 05:16 am
HABARI NDIO HIYO BADO NIPONIPO SANA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! NAKUPA SHAFUUUUUUUUUUUUU MSELAAAAA!BIG UP SANA TU!!!!!!!! WASIO KUBARI NUNENI :( TU.
ndonde896 - bigggggggggggggg up man Thu, 24th Jul 08 - 06:31 am
shavu kuuuuuuuuuuuuuuuuuubwa man kitu kimesimama if u hate it oh no sorry but da song z cul sie full mishangwe :P :P :P
za**2**goddamn**az - sick Sun, 27th Jul 08 - 08:21 pm
nice one brov
ALFAOMEGA Wed, 30th Jul 08 - 02:38 am
Kijana mwana FA unatisha sana,upo juu mkubwa,keep it up,bongo hii kwangu ni wewe na AY na mzee mzima havy weght Prof. J.mambo yenu yapo juu sana ya msitarimi nilishaoa bwana lakini la sivyo na mimi ningekuwepo kuwepo tu
mapozi - hiyooooo Sat, 02nd Aug 08 - 06:58 am
nyimbo nzuri kiasi
hard07 - big up! Sun, 03rd Aug 08 - 10:39 am
BIG UP FA NAKUAMINIA WEWE NI KICHWA! UNA IDEA ZAKO ZA KIPEKEE, KEEP IT LOCKED BRO!
JoHN_Q Sun, 03rd Aug 08 - 11:22 am
BaB kuuuuuuuuuuBwA HomiE!!!
F.A?? me i got 1question ya dawg!!
Hivi kwanini hujaiachia Video ya BINAM remix??
ngoma bado ina bamba ile mbaya Brother kama vipi nifurahishe mwanao!!!
you da ReaL HiP HoP artist Eva ndani ya BOnGO..................
kip it up bratha..!!!!!
salutid Mon, 04th Aug 08 - 06:16 am
bab ipo sawa hiyooo kweli mwana fa neno lako si sheria!! weaogopa kuibiwa eheheheee! bt take care ucibe}}} big up imetulia
daywell - komaa Mon, 04th Aug 08 - 09:01 am
komaa mdogo wangu hawa mademu kama barafu juani hawana mpango kabisa
fidolas - FIDOLAS Mon, 04th Aug 08 - 09:18 am
boy wewe upo juu!daaa!man!mistri mizuri ila ujumbe hauleti maana nzuri kwa jamii ukizingatia kwenye vita hivi juu ya hili janga!ila kibishara utauza!tumia akili yako vizuri kuleta maana nzuri kwa jamii!ok!ila upo juu! :confused: