RUDI STUDIO WEWE NA PRODUCER WAKO.KISHA MTAFUTE MWALIMU WA VOCL NA PRODUCERS ARUDI CHUO KAMA ALIENDA KAMA MTAANI AJE MASKANI AVUTE NYASI TU,KUNA BLUNT HAPA MPYA SWISHER!
Mjuzi zaidi ya ujuzi
- mmh haieleweki
Thu, 19th Jun 08 - 07:30 am
ujue hii ndo mara ya kwanza nasikiliza nyimbo ya kiswahili ambayo siielewi kabisaa ndo kama hii nyimbo yaani haileweki kabisaaaaaa jamaa sijui ulikuwa haujala wewe ndo umetunga nyimbo kama hii mbovu sanaa kaka
ferrari
Thu, 19th Jun 08 - 10:59 am
ebwana mzazi naona kazi imekushinda, kwani lazima uimbe? Unatia aibu na ikiwezakana crew nzima ya bongo5 ikushtaki kwa kuwapotezea muda!
don kittey
- KLEX ONE
Thu, 19th Jun 08 - 10:21 pm
yeah man big uup sana babu mota unawaka kweli hasie uona ni maisha bora big up .....
don kittey
Thu, 19th Jun 08 - 10:25 pm
kazabuti kama kamanda alie nyanganya silaha wakati mapambano yaendele songaaa...
don kittey
- MOTO
Thu, 19th Jun 08 - 10:31 pm
Man sikukuele wa unaimbia moto gani? kumbe moto wa maisha big up man songa kiubishi .. kama watoto wa mitaani ambao ajui kesho atakula nini goma imetulia babake maujumbe kibaooo.......
don kittey
Thu, 19th Jun 08 - 10:36 pm
Usitishike babu twende
Eya
Sat, 21st Jun 08 - 11:01 am
Boering n sauti yako... usiseme
Buso21
Thu, 26th Jun 08 - 02:30 am
hovyoooooooooo...ebu mtumie akili zenu jamani kama hamuwezi acheni eeeeeh
afrgal
- Fire
Fri, 27th Jun 08 - 02:39 pm
I gatta say bro song yako nipoa sana ila ungeongzea Base kiasi....mmm..I like it Redsan style......let dem haterz hate!!!!Wakaimbe wao tuwaone...fanya mambo bro!!!
ghettoprince
- duh!
Sun, 29th Jun 08 - 01:08 am
sasa ndo nini?
brother I
Mon, 30th Jun 08 - 08:15 am
fireman,moto unawaka,kaazi kweli kweli
Anakonda
Tue, 01st Jul 08 - 04:17 am
illy:' /> that is how we start man you be keep hard
mlavitu flan flan
Thu, 03rd Jul 08 - 08:07 am
NYIMBO LAKO BAAAYA KAMA ****
bope
Thu, 03rd Jul 08 - 02:34 pm
sio mbaya iko kwenye mueleweko sema ujuzi na ufundi lazima uwepo ndio mwendo huo
najua mkuu unpata taabu kwani hamna m prodser wa hizi sema fanya kazi tu ushatoka mkuuu,wacha wasemao ambao hawajuzi nn music
wafix
- Duh kweli kazi ipo!
Tue, 08th Jul 08 - 10:25 am
Oya we mshikaji hiyo ni nyimbo gani inamaana ata mazoezi huna??? Kwani nilazima kila mtu awe msanii jamani eti brother I? INAKUAJE APA Maana naona wengine wanajaza list ya usanii wakati bado hawajaiva kisanii.
don kittey
- kingkiki
Sat, 19th Jul 08 - 09:25 am
YEAH AM MEE KNGKIKI ACHANA NAO WANAO CHONGA WANATOKA MBAGALA RANGI TATU WATAZIONA TOKA KWA KINGKIKI A.K.A AM MEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
dhandho
- hi
Fri, 01st Aug 08 - 10:09 pm
imetulia hiyooooooooooooooooooooooooooooooo
be cool
Wed, 06th Aug 08 - 10:13 am
yoo brother wrong song n 2 the wrong place sorry tht.
Mwafrika
Sat, 20th Sep 08 - 11:56 am
Sio siri FIREMAN mi naku****aki,umeniweka busy kwa kusikiliza huu UTUMBU wako hapa...PUMBAVU,nakushauri achana na mziki,tafuta cha kufanya.nyimbo kama hizi walikuwa wanaimba zamani wakina Mabaga Fresh na Two Proud..hebu nenda na wakati wewe,sikiliza wakina Mwana F wanaimba nini
Mwafrika
- UTUMBO
Sat, 20th Sep 08 - 11:59 am
Sio siri FIREMAN mi naku****aki,umeniweka busy kwa kusikiliza huu UTUMBU wako hapa...PUMBAVU,nakushauri achana na mziki,tafuta cha kufanya.nyimbo kama hizi walikuwa wanaimba zamani wakina Mabaga Fresh na Two Proud..hebu nenda na wakati wewe,sikiliza wakina Mwana F wanaimba nini
don kittey
- USINIULIZE
Mon, 22nd Sep 08 - 10:40 pm
NIWATU WASIO PENDA MAENDEO YA WATU MOKOZI NO 1 NAFANYA HARUSI WAGENI WANASEMA PILAU INAVUBI SEMBUSE HUU MZIKI WANGO. UMEJAA MAJUNGU FITINA CHUKI MWOKOZI NO 2 HATA WALE WANAO FANYA VIZURI WANAONEKA TENA HAWAFAI SEMBUSE HUYU MWANA WA MOKOZI HAIWEZEKANI TUKAZETI TUSAIDIANE OOO SHETANI NO 3 NIWALE WALIO JUU YA NGAZI FULANI KUWABANIA WATU WACHI NAWAO WATAISHIA CHINI KAMA KLEX NANYO SEMA MOTO UTAWACHOMA HUMOHUMO CHINI EEEEE MENI,,,
MAN DUME
- man dumeee
Mon, 13th Oct 08 - 05:15 am
kweli kijana mziki unauweeza lakini kunawatu wamengamgania mzikiwa ainamoja tu sasa itakuje? ngoja mr chacha nirudi toka u.s.a utaona ,