Salute bro!!
THE KING OF SWAHILI HIP HOP - WELCOME BACK!
WHO ELSE U CAN COMPARE WITH JOE MAKINI BONGO???
AHHH- WANAPIGANIA JINA UFALME!???
backstage
- Nani kama joh?
Thu, 19th Jun 08 - 05:08 am
mwamba wa kaskazini unatisha kaka...hakuna kama wewe TZ..keep it tight mwana
Mr.lonely
- nakubali mboko yako!
Thu, 26th Jun 08 - 04:27 am
mboko imetulia hio kaka...
agatony8l
Thu, 26th Jun 08 - 09:15 pm
Wooow imetulia kaka kaza buti
backstage
Sat, 28th Jun 08 - 05:06 am
mwana nyimbo zako zote bab kubwa,endelea hivyo hivyo coz wakatishaji tamaa waliokubuhu wamefeli...keep it tight man
[Q]
Sat, 28th Jun 08 - 07:14 am
Hii Mboko Iko Juu...Pamoja!
dr.drayze
- Man hope ya tha 1..
Mon, 30th Jun 08 - 06:50 am
Man yo lyrics got tha facts in it i hope yo mo than a prophet so jus release tha true so that pipo may kno tha different between tha f**kin bongofleva n hiphop even if dey say hiphop neva sell....kip it up ma young bro i hope tha north zone z beta.
Nyapara
- ufalme
Tue, 01st Jul 08 - 01:42 am
yoo kuna kichwa kipo more town(Moshi) mwana sina haja ya kukitaja fanya mpango ukitafute ufanye nacho kazi kaka,i knw theres something in you and wit this guy pamoja hiyo ni international.kuwa makini kama joo makini.peace!
Ruhabaye
- This is lyk a cam shoot!!!
Sun, 13th Jul 08 - 12:02 am
Man u r doin the real hits tht I need to listen!! Its so sensational. Keep it up man!!
baraka88
Thu, 17th Jul 08 - 04:50 pm
manigga, really tight sh1t.
speed
Thu, 17th Jul 08 - 11:39 pm
huyu jamaa mkali, wala hakuna haja ya kumsifia maana tayari anazo sifa.... mwana uko juu kama theruji ya mlima kilimanjaro.
manman
- oohi!
Fri, 18th Jul 08 - 12:48 am
mchizi umekua bro kakaa.uko poa lakini.
bush baby
- Presidential sheet!
Sat, 19th Jul 08 - 01:02 pm
real talk.
Presidential sheet.
real hip hop aint kulamba lips
za**2**goddamn**az
- nzuri
Sun, 27th Jul 08 - 08:28 pm
nzuri
gloda
- i love u
Mon, 28th Jul 08 - 12:51 am
one of my fan in bongo tena the best i love both u and your music
Paddy
Tue, 29th Jul 08 - 01:21 pm
He pulls the strings off in a fashionable way. He is second to none!!
Paddy
Tue, 29th Jul 08 - 01:24 pm
Right octaves, low pitch, nice flow!! just super!
cizzle
Thu, 07th Aug 08 - 01:00 pm
wananipigania mfalme
yeep man...ww wakilisha mtaa
au full ugiiii...mpaka kwa maganstaa
ila tunaisubiri hiyo saaa
kwani ni mda ndio utakaokwambiaa
yanii uvikwe na ww ufalme
juu ya vichwa vyao usimame
usmamapo vichwa chini wainame
yeeep...miamba ya kaskazini