SwahiliEnglish
            Lost Password?    Click here to register

George Bush apata Mkwe! PDF Print E-mail
Wednesday, 14 May 2008

Harusi ya Jenna Bush
Jenna Bush na Henry Hager

 

Ilikuwa ni bonge ya pati ndani ya kjiji cha Crawford katika jimbo la Texas, Marekani jumapili hii ambapo Jenna Bush, 26, mtoto wa rais George W. Bush wa Marekani alivyofunga ndoa na Henry Hager, 30.

 

Harusi ya Jenna Bush

 

Walishuka ndani ya Airforce One huku Bush akiwa amemshika mkono binti yake tayari kabisa kwenda kumkabidhi kwa mume wake mtarajiwa na pembeni akiwa Laura Bush,mama wa mzazi wa bibi harusi. Moja kwa moja mpaka kwenye sehemu maalumu iliyoandaliwa kwa maharusi hao,ambapo ibada inachukua nafasi yake maalumu inajulikana kama altare na kumkabidhi kwa bwana harusi.

 

Harusi ya Jenna Bush
Rais wa Marekani George Bush pamoja na mkewe na watoto wake

 

Siku hiyo ya harusi iliudhuriwa na watu mbalimbali maarufu na viongozi wa nchi hiyo hivyo kuongeza idadi ya watu.

 

"Mtoto wetu Jenna ameolewa na mwanaume ambaye naamini atakuwa mwema kwake kwani anaonekana ni mtu safi kabisa,tunawaombea barka zote waweze kuishi maisha ya furaha"aliyasema hayo kwa waandishi wa habari akielekea kupanda pipa kurudu Washington D.C mara baada ya sherehe za harusi hiyo.

 

Harusi ya Jenna Bush

 

Bush alijistukia kuwa sio msemaji mkuu wa siku hiyo lakini alisema inabidi aongee kwani siku hiyo ilikuwa maalumu saa kwake na kwa familia yake kwa ujumla. Kwa upande wa msemaji wa bwana harusi hakuweza kusema lolote zaidi ya kushukuru harusi hiyo kufanyika kwa usalama na kuwaombea maisha mema maharusi hao.

 

Pacha wa bibi harusi na msimamizi wa bibi harusi walisoma risala maalumu iliyoandaliwa kwa Bwana na Bibi Huger. Sherehe hiyo ilifana na mara baada ya kumaliza kwa shamrashamra hizo maharusi hao waliondooka kuelekea kwenye honey mooon yao huku Bush na familia yake wakirudi jijini DC.

 

 

Comments
Search
king56_9 {space} mr. politician Wed, 21st May 08 - 04:33 pm
nimeipenda hiyo kumbe hata mjombas anapigiwa.mbona hawi mkali
Only registered users can write comments!

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

Tag it:
Delicious
Furl it!
Spurl
NewsVine
Reddit
YahooMyWeb
Digg
blogmarks
feedmelinks
co.mments
 
< Prev   Next >
Total Members
total 21216 registered
female 5270 female
male 15866 male
month 21 new this month
New: Hapines
Who's Online Now
We have 37 guests online and 13 members online
swejacky Amiry said salehe debra moody x Tito Chamillionaire Danielita Jozeedaking kindgirl Tukwa kelly31 Hapines
Bongo5 Chat Zone 2.0
Total of members in the chatroom:
2006-2007 © Copyright Bongo5.com