| Suge Knight apewa kibano |
|
|
|
| Tuesday, 13 May 2008 | |
|
Muasisi wa lebo ya Death Rrow Suge Knight hivi karibu amekichezea kichapo kutoka kwa mtu aliyesemekana walikuwa wakidaiana, tukio hilo lililotokea ndani ya moja ya klabu maarufu inayojulikana kwa jina la Shag nightclub iliyopo huko Los Angels nchini Marekani.
Mabaunsa wa Suge hawakuwa nyuma bila kulemaa walimpa kibano cha hatari wakati mtu mzima alipochukuliwa na kupelekwa katika hospitali iliyokuwa karibu na maeneo hayo, pamoja na hayo yote Suge alikataa kuzngumza na polisi juu ya kile kilichotokea.
|
| < Prev | Next > |
|---|










