SwahiliEnglish
            Lost Password?    Click here to register





Jengo lawaka moto Kariakoo PDF Print E-mail
Friday, 09 May 2008

Jengo laungua

 

Jana asubuhi, jengo la ghorofa saba lilipo mtaa wa Mahiwa na Livingstone Kariakoo Dar, limeshika moto na hakuna jitihata za kutosha za kuliokoa kutokana na kutokuwepo kwa vifaa vya uhakika vya kuzimia moto huo, kama ilivyo siku zote kwa Bongo.

 

Zimamoto

 

Pichani juu askari wa kikosi cha Zimamoto cha Kandoro wakiwa hawajui la kufanya baada ya maji kuwaishia eneo la tukio na hivyo kubaki wakilitazama jengo likiendelea kuungua moto kama linavyoonekana.

 

Picha na Richard Bukos/GPL

Tag it:
Delicious
Furl it!
Spurl
NewsVine
Reddit
YahooMyWeb
Digg
blogmarks
feedmelinks
co.mments
Comments
NewSearch
Carmelo - Kwanini? WHY!! Sat, 10th May 08 - 03:07 am
This is a sign of carelessness and uncouthness. Inaonekana kandoro hafanyi kazi yake amebaki tu kula ela ya serikali, huku wananchi wanapoteza mali zao.Pliz Kandoro wake-up!!!!!!!!
KaziJnr - Uzushi mtupu Sat, 10th May 08 - 07:57 am
Nadhani aliyeandika habari hii hakufuatilia kwa makini zoezi zima ndiyo mana akatoa maelezo yasiyo sahihi mfano katika picha namba mbili siyo kwamba walikuwa hawajui lakufanya walikuwa wkiangalia watu waliozama ndani ya moto wakiendelea na uzimaji na kuhusu kutokuwa na vifaa je yale magari siyo vifaa,kingine ilibidii muandishi aongee na watu walioproffesional wakazi hiyo siyo kutoa mawazo yake binafsi mbona hakuanadika kuwa wazimamoto wameokoa mali yenye thamani kubwa kutoka katika lile tukio yeye ameongelea maupngufu tu hakuongelea swala la mwenye nyumba kuweka ghala la matairi katika eneo ambalo si mahususi kwa shughuli hiyo yeye zimamoto tu.N bado mtu mwingine anatoa coments zisizo na mantiki yeyote na kuwavunja nguvu watu walitumia nguvu na maarifa katika zoezi zime la uzmijai mot o ule
Only registered users can write comments!

 
< Prev   Next >
Total Members
total 17998 registered
female 4519 female
male 13396 male
month 77 new this month
New: blackbross
Who's Online Now
We have 59 guests online and 9 members online
BAYROS africanboy carine T_pain_Msomali Friiday TANAGWA MIPANGO hegga ferladha
2006-2007 © Copyright Bongo5.com