Endeleeni kushika GAME kwa sasa maana mko juu kwa sasa!!!
sonia
- love it
Thu, 01st May 08 - 11:07 am
Lete raha nyimbo nimeizimia raha si za kawaida safi kabisa.
kikoty
- we noma 2
Thu, 01st May 08 - 01:03 pm
mazee hio imesimama c mchezo big up mtu wangu
bennydollar
Fri, 02nd May 08 - 12:48 am
still haiingii kwa yale madude ya awali kama latifa etc
Duchi
Fri, 02nd May 08 - 02:03 am
Sio mbaya sana , ila zile zilizokutambulisha zilikuwa bomba zaidi
Hip Hop 4 Life
Fri, 02nd May 08 - 04:05 pm
Kazi nzuri, sauti kama kawaida ipo Bomba!! Kilio changu ni BEATS sijui prodyuza wanafanya nini!!!
valcash
- umekosa shabaha!!
Sat, 03rd May 08 - 04:41 am
hivi wewe kweli ukijisikiliza zile ngoma zako za latifah na ile nyingine huoni kuwa hapa umepotea ..hii ngoma mshkaji haiuzi!!
NASSA
- MWANA KUWA MAKINI VIJANA WAKO
Sat, 03rd May 08 - 09:41 am
MWANA TUPE LADHA NYENGINE KATI YA ZILE 24 HII BADO HAI NIINGII AKILINI
kebbyslum
- nasi tunaona raha!
Sun, 04th May 08 - 10:25 am
Oyah! hapo nimekufagilia m2 wangu kwa kutuambia maneno matamu kama hayo mashabiki wako maana nasi tunaona raha na nyimbo nzuri.
speed
Mon, 05th May 08 - 12:29 am
MB Dog ninayekujua hapa umeingia choo cha kike kabisaa, hamna kitu yaani ukicompae na ngoma za nyuma. hakuna ulichoongeza, ubinifu hakuna zaidi ya kushuka tu. kaza mwana, shauri yako kuna watu kama wakina kasim wanakuja juu kama theruji ya mlima klm.
GAUCHO
Mon, 05th May 08 - 03:55 am
hahaha speed choo cha kike teh teh teh,ila mm ningependa kuwaambia hasa hawa wasanii chipukizi wengi wao wazingatie sana maneno ya profesa j ktk ile nyimbo ya mtazamo aliyoshirikishwa na afande sele,watoto wadogo wanajiita wazee wa makamo,wanaenda ha2a 2 mbele na kurudi 10 nyuma wanajipongeza bila kuzingatia ha2a 8 walizopoteza,mana wengi wao inakuwa kama solo anavyosema kuna kurap na kubwata,halafu sio kuimba upate nyapu au wengi %kubwa wakipata jina wanajiona tayari mastaa kama p diddy wengine wanakataa makwao kama wametoka familia duni,la hata masupastaa wa dunia wenyewe hawana nyodo kama hizo eg 50 cent,sema huu ni ulimbukeni upo sana kwa wasanii we2 wengi wa bongo yani wakipata jina tu wanajiona kama wafalme vile halafu unakuta maarufu east africa tu,je ukiwa maarufu dunia nzima si itakuwa balaa kwa nyodo?huu ni wangu mtazamo kama anavyosema afande sele kuhusu wasanii we2 wengi wa bongo,2okoe sanaa ya bongo ili uchumi upande.
raspizzo
- naona raha
Mon, 05th May 08 - 10:54 am
kitu kipo makini
mUzEe Ya!!!
- Kawaida sana
Mon, 05th May 08 - 11:57 pm
Inakuaje wnamuziki wa bongo wakitoa vitu vinavyowatambulisha wanashindwa k**aintain status.Brother Latifa was tight I thought you would have come back with the the track more than Latifa
Nakupa MIC mbili tu mzee kati ya tano
Chrls
- ki2 kidogo kime2lia
Wed, 07th May 08 - 08:01 am
kazi buti,toa ki2 juu ya ki2
zolo 5
Thu, 08th May 08 - 07:32 am
ujui kuimba baba acha muzic bad voice
lusandi
Fri, 09th May 08 - 09:41 am
kabla ya kukosoa lazima uangalie amekwepa nini ndo umzpdoe le wasanii wote wanaiga staili yake na ndo maana anawahamisha kitu kipo poa
dellyfashion
- ushauri
Fri, 09th May 08 - 03:39 pm
MB mdogo wangu wewe unakipaji cha kuimba yaani sauti yako ni adimu sana miongoni mwa wanamuziki wengi duniani. Huu wimbo ni mzuri lakini unatakiwa kuwa makini sana unapotoa single au albam ya kwanza ikakubalika sana ujue unakazi ngumu sana kwa ulbum inayofuata kpaka hapo hii single haiingii hata robo kwa latifa na nyinginezo sasa basi mimi ushauri wangu kama ulipanga kutoa ulbum hivi karibuni hebu fikiria mara mbili usije ukanilet down ndugu yangu. narudia tena kwa vocal unatisha sana tu. lakini hebu fanya kitu cha kutishaia maisha ya latifa kwanza-Davis Arusha
mudi
Sun, 11th May 08 - 02:03 am
eee bwana nakufagilia kwa nyimbo niko sweden nasikiliza nyimbo zako zimetulia big up klwa sana
Queen_Bonita
Sun, 11th May 08 - 07:13 am
´´MENZENU RAHA NAONA´´Damn this song is fine!!!!Let dem hatters hate fanya mambo MB DOGG!!Endelea kutuwakilisha East Afrika
jambawazi
- duuh
Sun, 11th May 08 - 07:47 am
za kujisifia tena kila mtu akisema mahali alipo si itakuwa soo
Big up Mb dog great work nakuaminiaaaa
Squash
- U did it again
Mon, 12th May 08 - 06:27 am
u have shamed da critiques who thought u wouldnt last man damn u good but my all time favourite is Uliniambia.
ombabukuru
- omse man aka kacha wa mashahir
Mon, 12th May 08 - 08:21 am
mkubwaa mbona haukuchonga sana sauti imekuajee?
kibabu chura
- mmbana pua
Mon, 12th May 08 - 09:13 am
utakuja kusanda tu siku moja utaacha game
Lawalawa
Tue, 13th May 08 - 12:43 pm
Thatz a really thing babe. And i love it
Keep It Up!!!
west cost
- duuh!!!!
Tue, 13th May 08 - 03:39 pm
ACHA SIFA ZA KIJINGA UNAJISIFIA KWENYE NET NA SISI TULIO ZALIWA HUKU TUSEMEJEEE KUDADADADAKOOO
west cost
Tue, 13th May 08 - 03:45 pm
yap yap nimekubali lkn kaza buti tii
kilotu
Fri, 16th May 08 - 02:39 am
IKI NI KITUKO......sijui kwanini nimeskiza.........ila mwacheni ajikomboe na ugumu wa maisha...
Heradius
Sat, 17th May 08 - 02:10 am
BAbu hapo umeua make ukijaribu kusikia beats zinaita kweli kweli ongeza juhudi usiridhike sana make uwanja wa muzik umevamiwa ukilala wanakukanyaga vijana ila kwa sasa uko juu.Cheer
hb nas
Mon, 19th May 08 - 10:50 pm
u tripping ma f**ker.
idd
- g2 is on top
Mon, 26th May 08 - 03:09 am
]hongera kwa kujalibu kufanya kazi mwenyewe nafikiri umeweza kaza buti mtuwangu big up
nadaka
Wed, 28th May 08 - 10:01 am
haki mimi na kukubalisana wewe una juwa kabisa
the gunner
- COOOOL!
Sat, 07th Jun 08 - 04:24 am
KAZA BUTI.UPO JUU MKALI WANGU hock:' />
issaq
- invatation
Sun, 08th Jun 08 - 02:05 am
hey bro good going i hope u do u r best dont give up in california we r backing u nice songs i hope u do u r best dogg
ardojandro
- jambo mb
Wed, 11th Jun 08 - 02:19 am
dog mziki si mchezo kwani kila mmoja anatamani kuwa juu ya wasanii wote wakibongo'wewe vocal bomba mm ni mtahalaam sana wa musiki ila sijaamua kuingia kwenye music kwa nina cv ya kutunga na tayarisha music niliyepata america niko na mambo mengine nina imani kuwa kama utapenda kuonana nami nitakushauri kuhusu huu mziki wa kibongo.utafanikiwa contact zangu 0712053535,0777777575,0783591999
f13
- i love that
Thu, 12th Jun 08 - 07:04 am
aminia mkali na wimbo wako mkali sana endelea hivyo hivyo
Doomz
- yeah i lve it
Thu, 12th Jun 08 - 01:39 pm
TIP TOP CONECTION HIYO NYINGINE TWENDE DOGY. AU VIPI MABIBO STAND UP
blay
- unakamua!!!!!!!!!!!!
Sun, 15th Jun 08 - 11:37 pm
uko juu endelea kukaza buti,safari bado ndefu.
m.c boy
- the 1st romantic artist in eas
Sat, 21st Jun 08 - 06:42 am
yah my man i like ur songs alot i visited africa in 2006 i heard some of ur songs but till now i always listen to ur songs and many guys in oman r really intrested in ur songs all da best man
XEJJO
- stop hating
Mon, 23rd Jun 08 - 05:06 pm
ise mb dog ni Paulo habari za masiku nilipotoka bongo ulikuwa underground sasa Roba kanitumia email kusema uko top 10 nimefurahi sana kuona maendeleo yako
irene.efeso
- MMMMhhhhhhhhh!!!!
Tue, 24th Jun 08 - 02:54 pm
I Love It!!!
jordba
Wed, 25th Jun 08 - 02:07 am
the song is crazy let them hte but anybody who knows music anajua myimbo mkali ....wabongo stop hating he is one of the few bongo flava artist mwenye kipaji kamilifu.... kama wewe unajiona unakipaji mbona hatukusiki studio kibao ingia utoe kali zaidi kama waweza.....