Tangu barua,mama rhoda,maria kaza buti kamanda wangu ..maskani yetu..Knyama
tontonny
- Kitu kimetulia...
Mon, 28th Apr 08 - 01:36 pm
Nimekubali mtu mzima si mchezo nyimbo inamaana,kwa wale wanao jua nini maisha nadhani watafahamu ni nini unaongelea keep ti up yo..
rocky
- yap
Mon, 28th Apr 08 - 08:38 pm
[b]yap nimekubali hapo kazi umefanya tofauti na mwanzo ulikua unatuyeyusha tuu KAZA MSURI MWANA MZIKI SIO MCHEZO
pambaman
- mmh!!
Wed, 30th Apr 08 - 02:07 am
Asante mkuu, ujumbe umekaa pake, kamtindo kameniacha kidogo, sijui ka'zouk' au rhumba lakini kametulia.
Comorien Kinanda kaka, aminia.
Bushoke Kaza buti mkuu kazi imekaa vema
Big up
alyafee
Wed, 30th Apr 08 - 03:30 pm
imetulia
atoko
- kipaji unacho.
Wed, 30th Apr 08 - 06:24 pm
Yahaya!i am not amazed by this song, coz i know u are gifted and talented.You killed it,love the msg keep up @ what u do best.I know the best is yet to come.HI5 TO THE BOYS!
revangelwl
Thu, 01st May 08 - 07:08 am
keep it up dear.....thats a nice work!
othman
Thu, 01st May 08 - 08:20 am
ujumbe wako sio mzuri !huwezi ukasema matajiri na wanasiasa Mungu awasamehe! na wakati wanajuwa kuwa wanadhulumu makufara bora unmgesema wote awatie katika jahanamu !!!wewe kweli kichwa cha kanga!!
hanna
- duuh
Thu, 01st May 08 - 08:53 am
wanasisa sio wakusamehewa kabisaaa bushoke wanaumiza wananchi but big up bro great work
lemarobu
- Dilema
Fri, 02nd May 08 - 03:55 am
Strong message in ambiguas way
its so confuse no story line man. What kind of music
is this, Rhumba, Zouk, Salsa, Samba. Anyway. (Art and Artist. Music and Musician) Keep on.
sweetsherry
- YAP IMETULIA
Fri, 02nd May 08 - 05:55 am
kazi nzuri bushoke yaani nyimbo imekamilika,kweli kila mtu ana mapungufu yake,na kila mtu atavuna alichopanda hapa duniani.masssage nzuri sana hii kwa jamii inayotuzunguka.nimekubali keep it up bro
rahmalilo
- nice bushoke I LIKE IT
Sat, 03rd May 08 - 05:14 am
SAUTI TAMU MASHAHIRI MAZURI NA MIZANI UJAZO UMETULIA KIWANGO BABU WEEEEEEEEEE
lemarobu jibu unalo mwenyewe mwana, bushoke big up kaka kitu kimetulia hicho lemarobu lkn hii labda itakuwa zouk
Squash
Mon, 12th May 08 - 06:31 am
Good looks to accompany talent
idd
Mon, 26th May 08 - 03:36 am
kitu kimetulia na niujumbe tosha big up
tatu
Wed, 28th May 08 - 03:35 am
SAFI SANA BUSHOKE MSG IMETULIA NYIMBO NZURI SANA HII HAINA KASORO YOYOTE ILE IKO POWA NA NI KWELI KABISA KILA BINADAMU ANAMAPUNGUFU YAKE.
yaaser67
Sun, 01st Jun 08 - 08:34 am
Kijana nyimbo imetulia hasa, ni khutba, kamili kabisa. Big-UP saana. Nisalimie Baba yako mdogo Abdallah Bushoke.
jimilan
- yap yap safi hiyo
Mon, 16th Jun 08 - 04:42 am
yap yap yea ndio mzee bushoke..safi hiyo imetulia pahali yake...au sio zidi kuendelea na kazi nzuri unayoifanya...keep it up...
lil G
- ipo mzuka
Tue, 17th Jun 08 - 11:41 pm
m2 wangu ipo poa sauti,ujumbe,yaani mkazuzu bro kip it up.
lil G
- ipo poa
Tue, 17th Jun 08 - 11:44 pm
e bwana c mchezo m2 wangu ipo safi yaani mkazuzu masauti,ujumbe mpaka lizim yni poa sana kip it up.
mamaj
- iko safi
Tue, 24th Jun 08 - 12:39 am
kijana sauti na msg ni bomba sana.Nyimbo inanifanya nitulie wakati wakuisikiliza.BIG UP MY BROTHER.
Mr.lonely
- wasomeshe bushoke
Thu, 26th Jun 08 - 04:41 am
hicho ni kisomo tosha wasomeshe waelewe dunia mapito!
naroma
- big up
Sat, 05th Jul 08 - 11:58 am
upo juu sn kijana wa tipo
Kikopo
- Big up
Sun, 06th Jul 08 - 04:01 pm
oyaa Bush Okee.
Salute kamanda nyimbo imekaa pake.kipaji cha asili unacho mkuu msg zako na vinanda vya comorien vipo high level. sema mkuu nakuvua cheo kimoja kutokana na picha uliyoweka kama cover imekaa kibwabwa bwabwa. makamanda hawapigi picha kama zile.
Duchi
Thu, 10th Jul 08 - 04:11 am
[b]E bwana full mzuka mwanangu, uko juu kinoma, mtutu mbele mzazi.[/b]
babby
- wewe acha tu
Fri, 11th Jul 08 - 08:17 am
yani wewe ni mkali man uko juu nimekubali nyimbo yako kaza buti
Beatha
- UNATISHA BABAKE
Wed, 16th Jul 08 - 06:35 am
YAANI HADI RAHA KUKUSIKILIZA. SAUTI, MISTARI BEAT BALAA. FULL MZUKA KAZA BUTI MWANANGU
sizajo
- usipime mate!
Mon, 21st Jul 08 - 01:15 pm
yani no one can touch u man keep it up kila mtu atausikiliza
Tito
Thu, 24th Jul 08 - 06:30 am
BIGWA HAPA USIPIME KILA MTU ATAVUTA TU MTU WANGU, KWAHIYO MSG YAKO USIPIME WAKUMBUSHE HAWA MAFISADI WAMKUMBUKE SIR GOD MAANA WANAFIKIRI WAMEFIKA KWA MAISHA HAYA.WAHAKIKISHE MALI ZAO ZAHALALI, BIG UP!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! TAKE FIVE.
kido_xl
- poa..
Fri, 25th Jul 08 - 11:57 am
kajitahidi kijana...ila kumbukeni mgema mkimsifia sana tembo hutia maji.. haya poa mwana kaza buti...XL.. TO THE FULLEST..
Beatha
- we mkali
Tue, 19th Aug 08 - 11:14 pm
upo juu sana bt usijisahau
big up kaka.
Droover
- unatishaa babuu
Fri, 22nd Aug 08 - 06:06 am
yaani mimi nimelikubali vocal tuu!! wewe kichwa hapo hakuwezi mtuu sometimes najiuliza ni wewe au???