Tangu barua,mama rhoda,maria kaza buti kamanda wangu ..maskani yetu..Knyama
tontonny
- Kitu kimetulia...
Mon, 28th Apr 08 - 01:36 pm
Nimekubali mtu mzima si mchezo nyimbo inamaana,kwa wale wanao jua nini maisha nadhani watafahamu ni nini unaongelea keep ti up yo..
rocky
- yap
Mon, 28th Apr 08 - 08:38 pm
[b]yap nimekubali hapo kazi umefanya tofauti na mwanzo ulikua unatuyeyusha tuu KAZA MSURI MWANA MZIKI SIO MCHEZO
pambaman
- mmh!!
Wed, 30th Apr 08 - 02:07 am
Asante mkuu, ujumbe umekaa pake, kamtindo kameniacha kidogo, sijui ka'zouk' au rhumba lakini kametulia.
Comorien Kinanda kaka, aminia.
Bushoke Kaza buti mkuu kazi imekaa vema
Big up
alyafee
Wed, 30th Apr 08 - 03:30 pm
imetulia
atoko
- kipaji unacho.
Wed, 30th Apr 08 - 06:24 pm
Yahaya!i am not amazed by this song, coz i know u are gifted and talented.You killed it,love the msg keep up @ what u do best.I know the best is yet to come.HI5 TO THE BOYS!
revangelwl
Thu, 01st May 08 - 07:08 am
keep it up dear.....thats a nice work!
othman
Thu, 01st May 08 - 08:20 am
ujumbe wako sio mzuri !huwezi ukasema matajiri na wanasiasa Mungu awasamehe! na wakati wanajuwa kuwa wanadhulumu makufara bora unmgesema wote awatie katika jahanamu !!!wewe kweli kichwa cha kanga!!
hanna
- duuh
Thu, 01st May 08 - 08:53 am
wanasisa sio wakusamehewa kabisaaa bushoke wanaumiza wananchi but big up bro great work
lemarobu
- Dilema
Fri, 02nd May 08 - 03:55 am
Strong message in ambiguas way
its so confuse no story line man. What kind of music
is this, Rhumba, Zouk, Salsa, Samba. Anyway. (Art and Artist. Music and Musician) Keep on.
sweetsherry
- YAP IMETULIA
Fri, 02nd May 08 - 05:55 am
kazi nzuri bushoke yaani nyimbo imekamilika,kweli kila mtu ana mapungufu yake,na kila mtu atavuna alichopanda hapa duniani.masssage nzuri sana hii kwa jamii inayotuzunguka.nimekubali keep it up bro
rahmalilo
- nice bushoke I LIKE IT
Sat, 03rd May 08 - 05:14 am
SAUTI TAMU MASHAHIRI MAZURI NA MIZANI UJAZO UMETULIA KIWANGO BABU WEEEEEEEEEE