Naweza sema hivi:umetoa somo zuri sana kwa viongozi na hata wale wanaotaka kuwa viongozi katika nchi yetu nakukukbali mzee,big ap-alunta continua
maroxcity
- UNATISHA MZEE
Thu, 03rd Apr 08 - 11:21 am
HUO NI MSUMARI WA MWISHO KATIKA JENEZA!
THE HEAVY WEIGHT WEWE NI MSANII BORA EAST AFRICA.
maroxcity
- UNATISHA MZEE
Thu, 03rd Apr 08 - 11:22 am
WAPE SOMO HAO!
maroxcity
- Funika mbaya
Thu, 03rd Apr 08 - 11:24 am
wape ukweli hao daddy!
prince J
- hizzle4shizzle
Fri, 04th Apr 08 - 01:59 am
eee bwana poa kitu kimesimama sana ..maujumbe hayo....yamewafikia wakati muafaka.ila unabamba babu
Duchi
Fri, 04th Apr 08 - 05:53 am
Wewe mkali tu hakuna wa mfano wako, kaka Big Up!!!!!!
asadd
- re:
Fri, 04th Apr 08 - 10:58 am
Wewe mkali tu hakuna wa mfano wako, kaka Big Up!!!! kaza but kaka
Chiga
Fri, 04th Apr 08 - 03:48 pm
Doooh si matani mtu wangu huu mpini ni noma baba unauaaaaaaaaaaaaaaa!Kamua baba hii kali hata kwa (Kikwete) maake anafuga mafisadi
pambaman
- aminia!!!
Fri, 04th Apr 08 - 05:18 pm
Mh!!! kwa kweli mkuu hii ni zaidi, yaani mkubwa ipo juu, juu, juu zaidi kaka,, heavy weight mc sio bure mkuu, maana Chemsha Bongo, machozi Jasho na Damu, ndivyo sivyo, hapo sawa na sasa hii, aminia baba'ake kamua kama kawaida, unakubalika mkuu......tupo nawe pamoJAH daima kaka
George03
Sat, 05th Apr 08 - 02:03 am
Hey man,Kwa kweli Unatisha,kuanzia ujumbe uliomo katika wimbo hadi beat, kwa kweli wewe ni mwisho...... Nimekukubali...KEEP IT UP MAN..!!!!!!!!!!
George03
- Big Up PROFERSSOR!!!!!
Sat, 05th Apr 08 - 02:05 am
Hey man,Kwa kweli Unatisha,kuanzia ujumbe uliomo katika wimbo hadi beat, kwa kweli wewe ni mwisho...... Nimekukubali...KEEP IT UP MAN..!!!!!!!!!!
George03
- Big Up PROFERSSOR!!!!!
Sat, 05th Apr 08 - 02:05 am
Hey man,Kwa kweli Unatisha,kuanzia ujumbe uliomo katika wimbo hadi beat, kwa kweli wewe ni mwisho...... Nimekukubali...KEEP IT UP MAN..!!!!!!
George03
- Big Up PROFERSSOR!!!!!
Sat, 05th Apr 08 - 02:06 am
Hey man,Kwa kweli Unatisha,kuanzia ujumbe uliomo katika wimbo hadi beat, kwa kweli wewe ni mwisho...Nimekukubali...KEEP IT UP MAN..!!!!!!
George03
- Big Up PROFERSSOR!!!!!
Sat, 05th Apr 08 - 02:07 am
Hey man kwa kweli unatisha katika hii fani. Keep it up man!!!
danboy
Sat, 05th Apr 08 - 09:51 am
hey,hii imetulia sana,ramani inasoma hapa
danboy
Sat, 05th Apr 08 - 09:52 am
inafaa sana kwa matumizi ya binadamu
kijanajana
Sat, 05th Apr 08 - 03:39 pm
kama kawa mtu wangu,wafundishe vijana nini hip hop,sio kujisifia na na kuimba mademu tu,pamoja na kuburudisha lazima kuwe na ujumbe
moody x
- sio mchezo
Sat, 05th Apr 08 - 03:52 pm
huna mpinzani kiumbe maneno mazito hayo wacha yawafikie walengwa tu
artech
- Big up Mzee
Sun, 06th Apr 08 - 06:38 am
Ni nzuri ujumbe na beat viko sambamba,tokea mwanzo mashairi yako makini yanaenda na matukio
artech
- Big up Mzee
Sun, 06th Apr 08 - 06:40 am
Ni nzuri ujumbe na beat viko sambamba,tokea mwanzo mashairi yako makini yanaenda na matukio
dellyfashion
- You Deserve to be Proffesor
Sun, 06th Apr 08 - 12:57 pm
[b]I will always remember you when it comes to Hiphop in east and central Africa keep it up man you have to open da music school for udergrounds
anthonysanga
- Hongera sana mzee wewe ni mkal
Sun, 06th Apr 08 - 03:02 pm
Wimbo mzuri na una ujumbe mzuri hasa katika kipindi hiki tulichonacho, hongera sana.
shenghzen
- Oi ! Oi! ni soo!! Iyo k2 ni ka
Sun, 06th Apr 08 - 06:05 pm
Mkuu ni full uko juu Chalianguu! yani uku Jeraaaaa Keraaii,Ungalelo,Sekei machalii wote wana kupa ma big ya kutosha sana Arifuuuuuu. Yani arifuu unajua nini?? C umelengaga palepale arifuu. Ebwana tunakusubiria A town kwa sana Chalii angu!Ila uko juu Vibaya Arifuuuuuu
Lohhy
- aluta kontinua
Sun, 06th Apr 08 - 06:32 pm
jamani ma hip hop ya bongo huwa siyasikilizagi maana ni longo longo mtindo mmoja.
ila inapokuja kwa huyu Josefu, huwa nasikiliza maana mistari in maana. Pia ina mvuto wa kusikiliza.
Inaonyesha huwa un kaa kitako wala hukurupuki,unapangilia vina, nadhani mwalimu wa kiswahili ulimwelewa vema darasani.
Nadhani muziki wa huyu jamaa una kiwango cha juu. na ujumbe za maana sana.
Proud of you, all the best.
komeess
- big up
Mon, 07th Apr 08 - 04:46 pm
watever itzz, dis guy z a king of pop in bongo land, i heard dat dis z his last job, wherever it z big up man, he did wat he has to do playin in a game...BIG UP J
valcash
- mapambano yanaendelea
Mon, 07th Apr 08 - 07:00 pm
heavy!!!! kama ningekuwa madam Ritta ningesema "WICKED!!!!!"
ned
- noma
Tue, 08th Apr 08 - 03:31 pm
hapo mwana poteza mbaya.nimekukubali.
keep it up.
dadad
Wed, 09th Apr 08 - 09:35 am
j hii imetulia sana wangu
dadad
Wed, 09th Apr 08 - 09:36 am
j hii imetulia sana wangu
dadad
- big up
Wed, 09th Apr 08 - 09:43 am
j hii imetulia sana
Mora
- Safi bro.....
Sat, 12th Apr 08 - 03:44 am
Ngoma safi inayochangamusha jamii.... hivyo hivyo Bro......
carlz
- ndiyo mzee
Fri, 18th Apr 08 - 10:35 am
J 4 real ur hevy weight mc. full ile mbaya kwa track hii..
docta_jei
- mistari iliyo tulia
Mon, 21st Apr 08 - 08:09 pm
Safi sana professor . Unawapa mistari ya ukweli na uwazi. Mistari yenye maana. Wewe kweli ni Heavy Weight MC !!
docta_jei
- mistari iliyo tulia
Mon, 21st Apr 08 - 08:09 pm
Safi sana professor . Unawapa mistari ya ukweli na uwazi. Mistari yenye maana. Wewe kweli ni Heavy Weight MC !!
hayawi
- hiki ni kibao kikali sanna!!..
Wed, 23rd Apr 08 - 03:06 am
wape vidonge vyao wanaohusika, tena umetoa maneno yenye mafundisho muhimu sana kwenye hili goma sababu kuna wengine ndio hujisahahu wakiwa madarakani,,,,,, GO ON BRO.nakuaminia!
babaluku
Sun, 27th Apr 08 - 09:00 am
big up mzee we mkali kip it real ma bro...................
drchris05
Mon, 28th Apr 08 - 06:30 pm
Man!! your true are artist, most talented person
Reggy
- SANA 2 kaka.....
Fri, 02nd May 08 - 06:07 am
KAKA sana 2....2kopa1....Ukitaka kwenda kuhutubia ikulu niko na wewe 100 kwa 100....Wanauziki wengine wanahitaji tution zako....Maana unafahamu maana ya neno MZIKI na kupangilia ujumbe ufike na usikike vizuri.Unakipaji mazee wangu...Sana 2 kaka...Uzidi kubarikiwa...2kopa1....1
cizzle
- naona full ufundi mkubwa,this
Tue, 06th May 08 - 12:00 pm
naona full ufundi mkubwa
hanna
- prof jz
Wed, 07th May 08 - 07:31 am
nakuaminia mkubwa no comment!
kibabu chura
- big up
Mon, 12th May 08 - 09:25 am
hiyo ndio hip hop
sizinga
Fri, 16th May 08 - 11:50 am
dedication kwa mafisadi
Heradius
- Unatisha
Sat, 17th May 08 - 02:18 am
Hapo sawa kama unavyosema unatisha kwa huo wimbo kwenye nchi yetu hii yenye watu wasioijua nchi kwa kuifisadi.
Cheers
idd
Mon, 26th May 08 - 03:42 am
ebwana big up unatisha kama sijui nn mtuwangu umekongs nyoyo za mashabiki ebwana kep it up mwanaume
sirgibs
- mr,d-jungle
Tue, 27th May 08 - 03:27 am
always j yuko juu na anajua nini anafanya.huyu naweza kumuita ni mwana siasa aliye ktk upande wa chama cha hip pop
backstage
- daddy uko juu saana
Sat, 14th Jun 08 - 09:33 am
big up kaka....
m.c boy
Sat, 21st Jun 08 - 06:48 am
huyu ndo mzeee wa bongo flavour sio proffesor kwa jina tu ila ndio proffesor wa nyimbo wa kibongo peace and love
Wumbura
Sun, 29th Jun 08 - 05:01 am
Prof ni mkali na dude lake ni kali kama yeye mwenyewe nampa big up kwa kuumbua mafisadi