SwahiliEnglish
            Lost Password?    Click here to register





(Mini-MP3-Player v2.2 (c) Ute Jacobi - unregistered version - Only Free for NonCommercial Website)
Exclusive!! Kassim - Awena PDF Print E-mail
Awena - Kassim

Bongo5 Exclusive!

Cassim - Awena

Tag it:
Delicious
Furl it!
Spurl
NewsVine
Reddit
YahooMyWeb
Digg
blogmarks
feedmelinks
co.mments
Comments
NewSearch
newone - c mchezo Thu, 21st Feb 08 - 07:37 am
oyaa man hiyo c mchezo,ila mwambie apunguze ulalamishi du!
mkamajames - big up Thu, 21st Feb 08 - 09:17 am
mwanangu unatisha sana mimi nakupa big up sana kazabuti sana ila hii nyimbo imenigusa sana mwanangu da naku kubalisana
ghettoprince - salut... Thu, 21st Feb 08 - 09:35 pm
ni mekukubali kaka....! B)
minyengo Fri, 22nd Feb 08 - 02:01 am
Kaza Buti!! wewe mkali sana ila punguza kujisikia kama matonya utafeli mwanangu big up kakaaaaaaaaaa
minyengo Fri, 22nd Feb 08 - 02:04 am
mhhh me like it it so much..... dem song make me feel me tummy wagwa
Duchi Fri, 22nd Feb 08 - 02:18 am
Mdogo wangu si mchezo, funika bovu, especially na mahadhi ya pwani kwa mbaliiiiiiiiii Uko juuu Bug up!!
Slicky - big up! Fri, 22nd Feb 08 - 06:58 am
Meeeeeeeeen!
U gadamn good!
Where hav u bee!n?
An way keep it up!
I know they will say u coppied vacal from Mantonya! Don wory just kip it movin! :cheer:
kabanda - dah Fri, 22nd Feb 08 - 12:01 pm
;) mchizi ka mtu flani tunae huku anaitwa madcom
kabanda - dah Fri, 22nd Feb 08 - 12:02 pm
:s ;) mchizi ka mtu flani tunae huku anaitwa madcom
mdaku - so tight Fri, 22nd Feb 08 - 05:47 pm
aminikitu kimetulia,
mdaku - so tight Fri, 22nd Feb 08 - 05:47 pm
aminikitu kimetulia,
mdaku - so tight Fri, 22nd Feb 08 - 05:48 pm
aminikitu kimetulia,
mdaku - so tight Fri, 22nd Feb 08 - 05:49 pm
YEEEEAH aminia m2wangu kitu kimetulia
mdaku - so tight Fri, 22nd Feb 08 - 05:50 pm
YEEEEAH aminia m2wangu kitu kimetulia
mdaku - so tight Fri, 22nd Feb 08 - 05:51 pm
[quote][/quote]YEEEEAH aminia m2wangu kitu kimetulia
mdaku - so tight Fri, 22nd Feb 08 - 05:52 pm
[quote][/quote]YEEEEAH aminia m2wangu kitu kimetulia
lemarobu - Nzuri lakini mbaya Sun, 24th Feb 08 - 09:34 am
Safi kwa upangiliaji wako mzuri wa story, harmony na melody katika mziki wako ni kama nasikiliza Matonya vile... hiyo mbaya sana jaribu kuwa wewe na si kama mtu fulani. By the way I like your music arrangement, lyrics with massage.Keep it up.
yogayoga - its good but not make like cop Mon, 25th Feb 08 - 10:49 am
mpangilio wako wa mashahili umetulia sambamba na vyombo vimeturia hongela sana hata sauti imetulia lakini jalibu kuweka tofauti zaidi katika radha ya muziki wako usifane na mtu mwingine na manisha uwe mbunifu zaidi hivyo ndivyo tulivyo wasanii hongera sana kijana
yogayoga - its good but not make like cop Mon, 25th Feb 08 - 10:50 am
mpangilio wako wa mashahili umetulia sambamba na vyombo vimeturia hongela sana hata sauti imetulia lakini jalibu kuweka tofauti zaidi katika radha ya muziki wako usifane na mtu mwingine na manisha uwe mbunifu zaidi hivyo ndivyo tulivyo wasanii hongera sana kijana
miss_honey - Digg it Tue, 26th Feb 08 - 02:42 am
Lovely song..!!!!
sarht - I LIKE UR VOICE Tue, 26th Feb 08 - 05:34 am
SINCE UR FIRST SONG,I LOVED UR VOICE AND I STILL DO. UNANIKUMBUSHA ALIYE IMBA BINTI KIZIWI. UNASAUTI NZURI NA MASHAIRI MAZURI KEEP UP GOOD WORK.
bin.juma Sat, 01st Mar 08 - 04:33 am
<img src=illy:' />
Ndio kichaa wangu BIGUP
mapozi Mon, 03rd Mar 08 - 06:41 am
Kazi yako ninzuri rakini nataka kukutoa
kasoro sehemu moja ambayo watu wameifagilia rakini mimi naiponda ile mbaya, ni kumuiga matonya hasa sauti yake. kwanini msibadirike sauti yako hiko wapi :angry:
mapozi Mon, 03rd Mar 08 - 08:59 am
:woohoo: hicho kilembachako sijakipenda umekua kama hori
hayawi - i like ur voice!!!!!!... Mon, 03rd Mar 08 - 10:42 am
hakika kaka umejitahidi na wimbo wako wenye ujumbe mzitto wa penzi, kaza buti kaka uendeleze kipaji chako :woohoo:
hanna Mon, 03rd Mar 08 - 11:23 pm
kasim kasim acha kulia atarudi big up bro :)
jusline Wed, 05th Mar 08 - 01:08 am
una sauti nzuri sana nakufagilia mno unaugusa moyo kwa sauti yako bigup sana
jusline - its so lovely Wed, 05th Mar 08 - 01:09 am
una sauti nzuri sana nakufagilia mno unaugusa moyo kwa sauti yako bigup sana
jusline - its so lovely Wed, 05th Mar 08 - 01:09 am
:woohoo: una sauti nzuri sana nakufagilia mno unaugusa moyo kwa sauti yako bigup sana
carine Wed, 05th Mar 08 - 04:29 am
ebwna we kachaa ni balaaaaa :evil: <img src=illy:' /> :angry:
Msambaa Wed, 05th Mar 08 - 12:31 pm
Huu ndiomuziki ninaosikiliza!!
shuku - wats up man! Fri, 07th Mar 08 - 01:44 am
mambo vp m2 wangu. Hilo truck simchezo m2 wangu huyo asiye kukubali ni mnafiki tu hataki maendeleo yako.Big up sana tu. :(
byes - wonderfull Sun, 09th Mar 08 - 04:51 pm
yaah man, its great boy, make it more and more, am sure not anly me but also many are appliciated
mapozi - nzuri Thu, 13th Mar 08 - 05:29 am
Nimeshasema wewe kwenye ndege yangu lazima upande kwa sababu umeipiku albamu ya binti kiziwi :)
malick112 Fri, 14th Mar 08 - 09:03 am
kaka unawashika watu kwa kulalamika, ila kama vipi mwambie danny naibuka town mazima, nipo pande ya pori la singida kaka, :D full mzukaaa
f13 - AMINIA Sat, 15th Mar 08 - 08:02 am
safi sana mtu wangu
f13 - aminia Sat, 15th Mar 08 - 08:03 am
:confused: :confused: :confused:
safi sana
west cost - hmm Sun, 16th Mar 08 - 09:57 am
sauti umeharibu mwana acha kuiga :evil:
west cost Sun, 16th Mar 08 - 09:57 am
2538













west cost

- hmm



03.16.08














sauti umeharibu mwana acha kuiga
















Quote | Edit | Delete

0 0













]]>

]]>11
west cost Sun, 16th Mar 08 - 09:57 am
2539













west cost





03.16.08














2538













west cost

- hmm



03.16.08














sauti umeharibu mwana acha kuiga
















Quote | Edit | Delete

0 0













]]>

]]>11
















Quote | Edit | Delete

0 0













]]>

]]>11
west cost Sun, 16th Mar 08 - 09:58 am
2540













west cost





03.16.08














2539













west cost





03.16.08














2538













west cost

- hmm



03.16.08














sauti umeharibu mwana acha kuiga
















Quote | Edit | Delete

0 0













]]>

]]>11
















Quote | Edit | Delete

0 0













]]>

]]>11
















Quote | Edit | Delete

0 0













]]>

]]>11
Duchi Thu, 20th Mar 08 - 08:41 am
Haya subiri ITIKA naona kama AWENA cha mtoto, hiyo lazima muwaimbie wachumba big up sana Kassim!!!!!
nini - bomba Sat, 22nd Mar 08 - 01:32 am
:kiss: kazi nzuri brother unatunya kutunya endelea na hiyo hiyo speed
kukumgeni - ndo naisikiliza ila poa Sun, 23rd Mar 08 - 10:18 am
tangu niliposikia kibao chako cha awali HAIWEZEKANI nikasema Yeeeeeeeeh tjis is the kind of music we want to hear sitaki niseme mimi peke yangu ila kwa kiasi fulani sauti yako na matonya zinaowana jaribu kubadilisha sautoyako kidogo inawezekana matonya ama wewe kuna mtu anmwiga mwenzie haijalishi ni nani alianza kutoka yote inawezekana.
Fuata ushauri wa wengi badili sauti kidogo then Brooooooo I swear utawashika pabaya. kila laheri.
RADIO KWIZERA. NGARA
asadd Sun, 23rd Mar 08 - 04:00 pm
safi kaka hiyo
Duchi Mon, 24th Mar 08 - 07:56 am
Waungwana mimi nahisi akibadilisha sauti atakuwa haimbi vizuri kama hivi, hakuna cha kumuiga matonya wala nini, ndio sauti yake hiyo kufanana sauti wako wanamuziki wengi tu wanafanana na watu wanahisi mmoja wao kamuiga mwenzake.
Wewe mkali sanaaaaaaa imba hivyo hivyo waache tu waseme wanaojisikia kusema, Mwanangu nikisikiliza kibao chako cha ITIKA si mchezo mashairi , vocal ni za kutisha LABIZO kakutendea haki ndani ya JUPITER RECORD, bigggggggggggg uppppppppppp
Eya - Boomba Wed, 26th Mar 08 - 10:52 am
THUMB UP... Wish if i was ur AWENA... Keep up the good work
rashbush - we ninoma Fri, 28th Mar 08 - 04:41 am
ndugu zingatia ninayokwambia,katika maisha huwezi kupendwa na wote.we endeleza makamuzi kama kawa waache waseme mpaka basi,kwanza matonya mwenyewe anatungiwa nyimbo,na pia anajua kama we nimkali kuliko yeye.BIG UP BROO.
klem36 - big up Sun, 06th Apr 08 - 07:23 am
uko juu sana !!!!!!!!
Mora - Sasa basi Sat, 12th Apr 08 - 03:41 am
Ngoma safi Kaka, endelea hivyo2.....
DR.SAM - nice song!!! . Sun, 13th Apr 08 - 08:45 am
Kasimu hili ni bonge la nyimbo,jitahidi mwana utafika tuu. wakilisha, magomeni kagera.
nascober Wed, 16th Apr 08 - 09:22 am
nime kuku bali mzee
bi kidude - mb Mon, 05th May 08 - 06:59 am
.......bado sijaskia kitu,bongofleva ni ileile tu,hakuna geni
haswa - kiboko Thu, 22nd May 08 - 09:35 am
awena imetubamba
idd Mon, 26th May 08 - 04:13 am
imetulia ilatu kaza buti usijione superstar utaharibu big up
Kifanyio - Umenibamba mno m2 wangu Tue, 27th May 08 - 02:09 am
Mwana ki2 kakali mno,kukuunga mkono ukitoa labam fasts nitasonga shop kununua CD yako niwe nayo home.
djally - Simchezo Sun, 08th Jun 08 - 01:13 pm
Kitu simchezo mwana
PORTABLE - nimekuvulia kofia kaka angu Sat, 21st Jun 08 - 12:36 am
ngoma imetulia na inawaliza walioshibana sio siri...kaza buti unakoelekea ni pazuri huku kwe2 linapigwa mara idadi ambazo hazihesabiki per day.
[size=medium][color=aqua]biiiig uuuuuuup!!!!!!
pamoko mkuu[/color][/size] :kiss:
mapozi - AZBOY Fri, 11th Jul 08 - 03:41 am
Ebwana mzuka mtu wangu pini limetulia babu,Man Zinger has apriciet you a lot,big up man.
babby - uko juu kaka Fri, 11th Jul 08 - 08:25 am
nimekubali nyimbo yako kaka yani nikilala inaniamsha
whizkid - ur sound men!!!!!!!!!!!!!!! Fri, 18th Jul 08 - 12:24 am
ur have good voice,good appearance,good interaction with people keep it up.
fidolas - FIDOLAS! Mon, 04th Aug 08 - 10:14 am
man kila muda unazidi kwenda unazidi kuwa juu!si uchawi ila kutokana na juhudi zako kwenye gemu!kila ukitoka unaeleweka kinoma!song lipo juu man!wakilisha fresh eneo lote la black belt! :woohoo:
nelly5 - hi Fri, 08th Aug 08 - 07:25 pm
Good job.
leedotkom Wed, 03rd Sep 08 - 01:13 am
e bwana hicho kitu si mchezo, nimekukubali coz hata mi ndo yananikuta mshikaji wangu!!! yaani hapo umegonga ukweli mtupu!!! :) :) :) :( :(
Only registered users can write comments!

 
< Prev   Next >
Total Members
total 19501 registered
female 4850 female
male 14569 male
month 98 new this month
New: carter
Who's Online Now
We have 11 guests online and 2 members online
afrgal narumba
Bongo5 Chat Zone 2.0
Total of members in the chatroom:
2006-2007 © Copyright Bongo5.com