yap fid umemaliza ni hayo tu maana kumjibu rado na nabii koko ni sawa na kutupa mawe kwenye mayai hahaha ni hayo tu
poborsky
- du noma
Thu, 06th Dec 07 - 05:22 pm
hock:' /> piga mayai mawe!
gaven
- Haterz everywea!!!
Thu, 06th Dec 07 - 06:58 pm
Kazi safi,ila majungu matupu nyimbo yote!!!Badilikeni wazee!
gaven
Thu, 06th Dec 07 - 07:12 pm
hjfjfjfjhfjhf
tall bigger
- Ahhhhhhhhhhh
Thu, 06th Dec 07 - 09:11 pm
Yep This sheeeet itz proffesional onez ahhhhhhh Fid iz more thaN Jay Z hahahah duh yaani nikiomba msaada wa fedha hapo nitaambulia ushauri duhhh yap take ma 10 pointz Nigga.
[Q]
- Duuuu! Beat Ni Nyoko!
Thu, 06th Dec 07 - 09:19 pm
Eh Bana Mie Nilisha-Ona Kama HipHop Inasonga Mbele Kwa Ile Collabo ya Nako Iliyopita...Sasa naona Fid Kaamua Kutoka Kulipiza Kisasi.[Jamaa Wanadai Anajichubua] lol....Usiniulize Mie Sijui....Mttizamo Wangu: Huu Mpini Utafanyiwa Tena Collabo..Word Play Imekaa Poa..Beat Imeshiba...Yaani Unaweza Kuweka Mizani Na Vina Vyovyote...lol
touchjr
- imetulia
Fri, 07th Dec 07 - 05:57 am
nyimbo ipo poa kinoma kila kitu kimepatiwa haina majungu wala nini?yaani yote yanayoongelewa ndo yaliyojili.
[Q]
PUNGUZA majungu kaka sema "wewe na wenzako mnadai fid anajichubua"na mtazamo wako wa kishirikina.ni hayo tu[Q]
213RIZ
- Kazi nzuri!
Fri, 07th Dec 07 - 06:06 am
Kwa kweli ni kazi nzuri sana na yenye kupendeza ,kuanzia poems mpaka beat,na yote yaliyoongelewa ni kweli mtupu na siyo kwa wasanii tu kwani ni kwa wote wanajamii!keep it up guy's Lol!
julack
- safi sana .....
Fri, 07th Dec 07 - 06:22 am
babu kubwa kazi imetulia kila mtu kaonyesha uwezo wake imesimama ile mbaya.......love
bwaxtz
- mzuka
Fri, 07th Dec 07 - 10:37 am
fid,mimi sina mengi but nahika kama kuna hiphop tz,huwezi zungumzia bila kukutaja man,keep it up,sina hakika kama ndio mwisho but naamini mengi mazuri yanakuja.big up man
PindeMshale
- FAN I NA MAUDHI
Fri, 07th Dec 07 - 11:44 am
Uzuri wa kazi ya SANAA ni kutulia kwa FANI na MAUDHUI,yaani kuyagawa mambo hayo nusu bin nusu katika kipimo,Hongereni.Ila jitahidini sana katika mtiririko wa mashari kwa muijibu wa kisa cha utunzi,pia jueni kuwa kuna matatizo lukuki katika jamii,sasa tazameni hili zaidi kuliko kulumbana wenyewe kwa wenyewe!!!
web spider
- vinakatimwanzo
Fri, 07th Dec 07 - 12:20 pm
juss passn 2 show some love nuf respect
kanunu
- full mkazuzu
Sat, 08th Dec 07 - 02:51 am
ahahah
eddiy
- IPO POA SANA
Sat, 08th Dec 07 - 09:53 am
Safi sana mavitu yanaburudisha
nichoj
- 3 of the greatest
Mon, 10th Dec 07 - 01:29 am
fuken 3 of the greatest on the same mafuken track,wat do expect mayn.ya niggaz r true,ya mean?!!
tinoh
- safi sana mambo yako ni bomba
Mon, 10th Dec 07 - 02:13 am
kaka nakupongeza kwa kazi yako nzuri acha na na wazushi si unajua hawawezi kukubali kama wameshindwa
brother I
Mon, 10th Dec 07 - 04:00 am
ni vichwa 3 vyenye uchu wa kusonga mbele
katika game.kama mtu yeyote hataki nafikiri anampaka wa mawazo
[Q]
- re: imetulia
Mon, 10th Dec 07 - 12:37 pm
touchjr wrote:
[Q]
PUNGUZA majungu kaka sema "wewe na wenzako mnadai fid anajichubua"na mtazamo wako wa kishirikina.ni hayo tu[Q]
Babu Mie Sina Majungu Kopo Limetulia..Sema Nilikuwa Narudi Nyuma...Manake Pina ALidai Farid Ana-Bleach[sio Maneno Yangu] A'fu Na Mwanzoni Kabisa Kwenye Ule Mpini wa ''Beef'' Walimnyea Pamoja na Jay..A'fu Nadhani Rado Pia..ANyway..Na-Spin Trackz Zao Zote na Sina Ubaguzi Yamkini-Makini...Pamoja!
za**2**goddamn**az
- dat cool bat**
Mon, 10th Dec 07 - 02:01 pm
ddaaamn nigga dat tune is sick man.siku ivi wabongo tuko juu.but we fid u need 2 change man si kilasiku nani kasem?**nani kafanya?**u know dat is ait 4 1 or 2 single bt man we wanna hear how unaelimisha jaumii.das all wat am sayin
caiserc
Mon, 10th Dec 07 - 02:16 pm
U REAP WAT U SEW,U PAY WAT U OWN,HAPA MAJUNGU TU,HAKUNA LA MAANA FID Q TUMEMZOEA TUNGO ZA KAWAIDA SAUTI NDIO INAMBEBA!!,NYIMBO YOTE LANGA KAFUNIKA KUANZIA MESSAGE,KIFIKRA,WENYE UPOLE TUNAOELEWA KITAMBO TU LANGA IS ONE OF TANZANIAN SWAHILI HIP HOP SAVIOUR!
caiserc
- KWANINI KWANINI KWANI KIBAO???
Mon, 10th Dec 07 - 02:22 pm
FID Q PUNGUZA HIZI HAZINA MAENDELEO,ANGALIA HIP HOP MTONI WATU WANAFANYA KAZI wanatengeneza $$$ THEN NDIO WANA TELA DISSIN""
wazee jifunzeni!!
Ukwaju
- Nimekubali
Thu, 13th Dec 07 - 07:51 am
Ebana Fid Nimekukubali Kaka Ebana Hii Kopo Imetulia Na Kilichoongelewa Sawa Maisha Ya Kila Leo Street za Bongo..Haha Pina Kushuka Ngazi Tu Unaheba Je Kuzipanda????
Ukwaju
- Iko Nyoko
Thu, 13th Dec 07 - 07:57 am
Haha Pina Kushuka ngazi tu unahema Je Kuzipanda ????
tontonny
- Big'up Fid Q
Sat, 22nd Dec 07 - 06:52 am
Nyimbo imetulia Prof J nakukubali si mchezo bongo tupo mbali sana kimziki but nyie mnaowaponda wanamuziki hamjakuwakiakili mkikuwa mtaacha Langa mwana huna mfano..Big'up to all guyz keep it up Nigazz
basketmouth
- imarisha mziki wako uwe mfano
Mon, 24th Dec 07 - 04:05 pm
man bonge la song,beat but meseger ya hii kitu sija-i feel sana kwa sababu inamgusa sana swahiba wako haina haja kumtaja jina.
keep it real man kuweka level ya ukali kusimama ile ile mithili ya fid wa mwanz mwanza.
jiwe limetulia man.
halfa k
- ebwana p majani ndio njota yak
Mon, 24th Dec 07 - 12:30 am
ebwaba fid
unajua majani ni mtu hatari sana katika fani hiyo
usimuache mtu wangu kwani anaendelea kuwatoa tu watu katika fani ya bongo flavas
makin
basketmouth
Mon, 24th Dec 07 - 04:03 pm
Of course lazima tukubali hili bonge la song lakini kama tungesema ndio tunamtafuta mkali wa rymes nadhani langa kwa sasa anastahili.
jamaa kawafunika mno watu wakubwa>>big up to langa tumekubali ki messeger,lafudhi na kiujumbe man kiswahili umesimama ni fasaha haswa hawakuwezi.
Mbauro
- dude la nguvu
Tue, 25th Dec 07 - 04:56 am
Hee bwanaaaaaaaaaaa eeeeeehhhee
Nawafagilia dude la nguvu.hongera mtu wangu Profesa J.Ni Hayo Tu.
othman
- ciao
Wed, 26th Dec 07 - 09:41 am
huyu jambazi bado yupo tu!wachie watoto wadogo waimbe wewe ushapitwa na wakati fanya ureje kazi yako ujambazi !
shardy
- wanabonga
Thu, 03rd Jan 08 - 03:21 am
hiyo kali m2 mzima ujabahatisha au sio nakukubali mkubwa na inabidi sasa utembee kifua mbele ka umepigwa ngumi ya mgongo na wanaoidis hiyo ni mabongo wa fleva mkubwa
chidiboychidi
- IMETULIA
Sat, 05th Jan 08 - 09:03 am
MWANA IMEKAA VIZURI HIYO ! BIG UP !
cuteeboy
- yeap!
Sun, 06th Jan 08 - 11:29 pm
thumb up for ma` niggas pls don`t give up you almost there mma` niggas lets rock!!!!!!1
kende
Fri, 11th Jan 08 - 01:27 pm
haya mambo ya pwani ikishindana nayo utaumia,wabara kule poleni sana...taraab lol
MJEROUMANI
- Watu wangu si issue lakini poa
Sat, 12th Jan 08 - 03:01 am
Nimewapenda hasa nyie ni vichwa lakini kidogo hapo Prof Jize ungebadilika umekuwa mno wa kawaida kama enzi zile za bongo darisalama Ila wangu Fid Unaweza lakini acha Majungu sio fani yako kabisa. Unafanya mpaka langa anawakunja watu wazima baba. Big up all hock:' />
marry
- NAWAPA 0% OVYOO!?
Wed, 16th Jan 08 - 07:23 am
Ingawa mnatumia muda mwigi kujinadi nyie ndio wana HIP HOP lakini ukweli nyie si wana hip hop kabisa nyimbo zenu hazilengi matatizo ya jamii zetu badala yake ni kujisifu na kuwapiga madongo wasanii wezenu,fid q,langa,prof jay,jay mo,joe makini,rado,n2n,FA,AY, wote watu wa majungu tu,wana hip hop wa kweli ni WAGOSI,AFANDE SELE, ni hayo tu
mchakamchaka
- Prof Jize!
Thu, 17th Jan 08 - 07:40 am
Kama Ujitumi Piga Mihayo,
The verse is hard & tight,
Kila Mtu Profesa hv mara Profesa vl....
wminja
Fri, 18th Jan 08 - 04:38 am
biti safi,Sauti Nzuri na yenye mpangilio ila hakuna ujumbe wowote zaidi ya majungu.
fahamu siku zote lazima uanzia chini then unapanda juu halafu unaporomoka na sii vinginevyo.
Tafuta mashairi mengine uimbe na biti hizo utafanikiwa zaidi.
mapathi
- Mnatisha
Sat, 26th Jan 08 - 04:23 am
wache watu waseme sana tuuu,hii track is didecated to all wabongo walipo,nawapa Big kubwa sana,am in love with bongo fleva,wacha tutese jamani,maneno mengi ya nini,piga bao washkaji wote tuuuuuuuuuuuuuuuu
ned
- poteza mbaya
Thu, 31st Jan 08 - 09:44 pm
nimewavulia kofia wana nyie mnatisha.hii ni kwawale wote wanao wadis kweli mmewapa za ini.big up.
sio kiivyo
Fri, 01st Feb 08 - 12:08 am
huo ndio usanii wa ukweli,wameimba ukweli si majungu watu wanachonga sana juu ya wasanii kuanzia magatezi ya udaku mpaka vijiweni mara langa hv,mara profesa j vile,mara feedq vile.big up wana hip hop,nani kasem hip hop haiuzi. tumechoka na nyimbo za mapenzi
kilotu
- nikanyage baati mbaya.........
Fri, 08th Feb 08 - 04:35 am
beat badooo....lyrics bomba....
fbizo
- ooooooyhiii!
Mon, 03rd Mar 08 - 08:40 am
ukizungumzia prof j , fid q & langa ni unazungumzia wakali wa hip hop bongo. watu wangu wamefunika, inaonesha ni jinsi gani hawabahatishi. big up 2 them sina mengi ni hayo tu wasanii wanaobahatisha waendelee kupiga mihayo tu.
sircalu
- dah ni hayo tu
Mon, 17th Mar 08 - 10:28 pm
kiukweli fid hushuki chini na wewe ni kweli jeshi la mtu mmoja. ni hayo
Ruge5
- Mnatisha
Wed, 19th Mar 08 - 07:20 am
Kwa kweli mnatisha kwa ushilikiano wenu.
Ruge5
Wed, 19th Mar 08 - 07:24 am
mnatisha
babaluku
Wed, 26th Mar 08 - 05:31 am
beat imetulia kik**a.........
Mgwassa
- yeahh dats bongo
Sat, 26th Apr 08 - 04:47 am
i fill the song i have been lukn 4 it 4 a long tym it has settled an fuck bongo flava hip hoop is the shit .yeah langa representing KINGOKO kip it rill.fid q says .kufungua macho sii ku amka datts the same wit bongo flava wame fungua macho bt bado hawaja amka an profesor jay say uki ni cheka shambani mimi naku cheka sokoni dats 4 the bongo flava ppl .an langa says wana nicheke usoni kisogoni wana ni cheka .BONGO FLAVA FANZ ACHENI KU HATE MSIWE MA HATERZ HIPHOP INA LIPA TGANGU KIPINDI CHA BIGGY NA 2PAC . BABU NIME FAGI TRACK KAZI NZURI Lang ,Fid q NA ProFFESOR JAY KAZI NZURI NA IME TULIA .FULL SHANGWE
Mgwassa
- yeahh dats bongo
Sat, 26th Apr 08 - 04:48 am
[color=blue]i fill the song i have been lukn 4 it 4 a long tym it has settled an fuck bongo flava hip hoop is the shit .yeah langa representing KINGOKO kip it rill.fid q says .kufungua macho sii ku amka datts the same wit bongo flava wame fungua macho bt bado hawaja amka an profesor jay say uki ni cheka shambani mimi naku cheka sokoni dats 4 the bongo flava ppl .an langa says wana nicheke usoni kisogoni wana ni cheka .BONGO FLAVA FANZ ACHENI KU HATE MSIWE MA HATERZ HIPHOP INA LIPA TGANGU KIPINDI CHA BIGGY NA 2PAC . BABU NIME FAGI TRACK KAZI NZURI Lang ,Fid q NA ProFFESOR JAY KAZI NZURI NA IME TULIA .FULL SHANGWE[/color]
Sophical boy
Sat, 17th May 08 - 03:40 am
fid q ni msanii aliyeshindikana bongo hii na africa mashariki na kati,hakuna kama wewe,usiangilie majungu ya watu.HIP HP imesimama bongo msilete majungu ya kike.its FRANK.
idd
Mon, 26th May 08 - 05:12 am
mkubwa vip mbona kimya lakini nakukubali big up
Wumbura
- ni hayo tu!!!!
Mon, 30th Jun 08 - 09:02 am
"Kushuka ngazi tu unahema je kuzipanda hupati uoga..........". Fid q ni zaidi ya mkali na naamini ni mfalme baada ya J kama una majungu ameshakwambia ni hayo tu.