(Mini-MP3-Player v2.2 (c) Ute Jacobi - unregistered version - Only Free for NonCommercial Website)
Mchizi Wangu Remix
Sikiliza/Listen to Mchizi Wangu Remix
Wimbo wa wasanii Nako 2 Nako ‘We ndo mchizi wangu’ hivi karibuni umerudiwa na kufanyiwa remix ambayo imewakutanisha wasanii kibao na wakali akiwemo, Jay Moe, Fid Q, Mansu-Li, Geez Mabovu, Dr K wa Mapacha, Adili Chapakazi, Chidi Benz, Mwanafalsafah, Mheshimiwa Temba, Babuu wa King’oko na wenye ngoma yao ambao ni Nako 2 Nako Souldierz.
Eh Bana Hii Remix Ni Nyoko...Mie Natambaa na Jay Mo.,, Flow Yake Ni Ya Ukandamizaji Ile Si Kitoto....Nawe Taja Wako! Manake We Ndo Mchizi Wangu!..Pamoja!
[Q]
- Uh...Verse Ya Pili
Tue, 30th Oct 07 - 10:45 pm
Chidi Nae Naona Kasimamisha Flow Yake Kiuhakika....Wacha Nisikilize Tena Nipate Top 3....Wew Ndo Mchizi Wangu..Pamoja!
PABLO
- Duuhh!!!
Wed, 31st Oct 07 - 03:49 am
Yap! Chidi nakubalikakamua kiuakika bila kumasahau Mzee wa sauti nzito yaani iliyo mpwito Fid Q kEEP IT Up Soldiers.
maryj
- damnt hot!
Wed, 31st Oct 07 - 04:17 am
can i be honest???no hard feelingS but
FID+MOE WAMEFUNIKA
AND THE OL COLLABO IS HOT
NEXT GROUP WANTING 2 MAKE ONE
THEY SHUD STEP DOWN FIRST
LISTEN TO TRACKS LIKE DIS
SIO ILIMRADI COLABO TUU
THIS IS HOT!
godson
Wed, 31st Oct 07 - 05:29 am
oya wew ni noma yani big up jey moo
rog
- we ndo mchizi
Wed, 31st Oct 07 - 08:13 am
in short man soor is the man of the collabo he does well more than bt why Johmakini is not inside Or 'MSHKAJI ATATUPOTEZA TU MTEME'
cuteeboy
- Nyie ndo` Machizi waaangu
Wed, 31st Oct 07 - 08:49 am
Jamani kama mngekuwa mnachana kama hivyo kila siku sizani kama hizo bongo flava zisingenunuliwa nyie ndo mnaoweza kufanya bongo flaviana ife na muikaribishe hip hop ya kweli BIG UP![b][/b]
klex
- Mzuka pamoja
Wed, 31st Oct 07 - 10:47 am
Amini watu wangu aikwere yani kama mzuka ya wewe eeee pamoja limetulia ,
jibaba
- NI MZUKA SI KI KUKU
Wed, 31st Oct 07 - 11:15 am
oya ni hivi mi niko A ciry jiji la hip hop ila ii rimix si mchezo washkaji wamekamua kwauwezo wao ila uyu mchizi J MO ni kichwa si kuku,
213RIZ
- TRACK IMETULIA
Wed, 31st Oct 07 - 11:33 am
Kwa kweli kama mtakuwa mnafanya kazi kama hizi tunaamini mtafika mbali zaidi!Muendeleze hiyo mikandamizo,BIG UP U ALL!
manduli mob
- kikosi cha mizga
Wed, 31st Oct 07 - 11:57 am
haya saaaokina ijiho wnaojiiakikos cha mizinga saa kama wasanii wajibu sas siougmvi ushaba wa kizamani
No Hard Feelings, Ila Kila Msela kwenye hii Colabo ametulia,
System Ipo Corrupt, Korupt...
Nako 2 Nako, Ni BAD Hii Numba!!
H.
djsnox
- Sabhuniiiiiiiiiiii
Thu, 01st Nov 07 - 01:20 am
Pini limetulia ile mbaya, ila chidy funika bovu, mbona huyu mchizi temba habadiliki kaharibu wimbo na staili yake ya kila siku, bora angekuwepo mchizi Ngwear,
HoVa
Thu, 01st Nov 07 - 02:17 am
Ebana True [b]djsnox, Ngwair anamiss kwenye hii Track, Temba na style zake za kilevi!...ila poa poa!...Jamaa wanakamuka vilivyo!...Style tofauti ndio hip-hop halisi as long as wasanii Wanatambaa na Beats....vina vimeshiba karibia kwenye kila mstari wa kila msanii.[/b]
Nako 2 Nako ndio College,
H.
poborsky
- ngoma safi
Thu, 01st Nov 07 - 04:24 am
remix ya we ndo mchizi wangu ni noma, ila chidi benzi kafunika no
swali
QEEN
- ebanaa kama amfuka wote vile
Thu, 01st Nov 07 - 09:44 am
Namuongea FDQ jamaa amefunika ile mbaya yani simnakumbuka km anafanya yeye km yeye na si yeye km yule namwingine ambae kidogo alitaka kufukuzia nyuma ni MOE ila temba aliimba km amelewa vile mchizi wangu wewe unasemaje?
maryj
- i see you Hova
Thu, 01st Nov 07 - 10:14 am
ur right NGWEA AME MISS ON DIS ONE
100 PERCENT TRUE!
ONCE AGAIN FIDDY+MOE U KILLED
ON DIS ONE!BIG UP
PRINCE McB
- la familia 4ever
Thu, 01st Nov 07 - 10:20 am
chidi benz yo!mtoto wa ilala,feelin it big time n much love.PRINCE McB n la familia 4ever
chalii wa arachuga
- mkazuzu
Thu, 01st Nov 07 - 01:32 pm
big up to ma homies. NAKO 2 NAKO soldiers. YULE PIMBI ANAYEJIITA NABIKOKO KUMBE NI KIBOKO WA MACHOKO. ASIOMBE AKAKUTANA NA MACHIZI WA NAKO. FUCK KIKOSI. KIKUNDI CHA WAASI.
Panthera
- Track ya ukweli ila
Fri, 02nd Nov 07 - 04:53 am
Ukweli ni kwmba chid ni mkali ila fid vere yake pia mali,mwana fa na temba yao yalelyale tuliyoyazoea,big up k wa mapacha,j mo
Panthera
- mmewasahau
Fri, 02nd Nov 07 - 04:55 am
mmewasahau kwenye track wakali kama joe makini,chindo man,hao pia wangeongeza bonge la ladha kwani ni wakali saaana
Belo
- MCHIZI WANGU
Fri, 02nd Nov 07 - 06:23 am
Track iko tight nawapa marks out of 10
1.FIDQ-10
2.CHID-8
3.JMOE-9
4.ADILI-8
5.MWANAFA-9
6.TEMBA-5
7.BABUU-7
8.DR K-6
9.MANSU LI-8
10.GEEZ-7
11.DA HASLA-9
12.LORD EYEZ-8
ILA JOH MAKINI ANGEKUWEPO ANGEFUNIKA WOTE
[Q]
- Binamu
Fri, 02nd Nov 07 - 09:23 am
Yeah..Kwa Mara Nyingine Tena..Mwana-FA ana make Ma Top 3...''Moyo Unanienda Mbio Kama Unaendeshwa Na ''Schumacher...[Tia Akili Hapa]..Then Anaiendesha DSM[City],Gari...Dah! Verse Hii Nadhani Ni dedication Kwa Complex[R.I.P]..Then Namuongezea The Don[Ngosha]Verse Imem-lenga Steve2K[RIP]...These Niggaz Got Skillz Mang!...Mocumentary Commin Soon!? U Gota Da Spot!.. We Ndo mchizi Wangu!Pamoja!
caiserc
- SWAHILIHIPHOP ON HIGH ALERT
Fri, 02nd Nov 07 - 04:15 pm
SAFI SANA KAZI IMETULLIA,HIVI VYOTE VICHWA VIMETULIA.
VICHWA VI4 VIMEKOSEKANA:JOE MAKINI,LANGA,JOSE MTAMBO,D-KNOB,HASHIM
KAZI SAFI NZURI SANA.
lord eyes
Fri, 02nd Nov 07 - 07:26 pm
Full mfuniko track imeshiba Manako full respect niggaz.I am gonna tell Kikosi as I tell ma woman hahah. Kikosi fuck u bitches nigga U dont know anything about Hip hop u are loooser aahahahahaha.Take care bitches.Still we are in tha beatle so hahahaha take care.
amanikas2000
Sun, 04th Nov 07 - 02:44 pm
Kwa mara nyingine tena hii track full mzuka jinsi ma'hommies wa hip hop wanavyokimbizana humo ndani ya track ni soooo lakini Jmo ni noma mazee. yeyoooo nakoz 2 nako souldierz.
Slyzzie
- re: damnt hot!
Mon, 05th Nov 07 - 06:00 am
oya machizi track ipo makini mbaya..kama wu tang au sio...except u guys aint a crew dats all..all i can say ipo tyt tyt mazee.
Gaven
- ON HIGH ALERT
Tue, 06th Nov 07 - 10:54 am
WAPI MWAMBA NORTHERN ROCK - JOE MAKINI??
SAFI SANA ANGEPOTEZA HUMU NDANI!!
tall bigger
- DAAAAMN!!!!!!!!!!!!
Tue, 06th Nov 07 - 05:30 pm
Bulllsheeet track liko tight kinoko. Full respect kwa Niggaz zote zilizochanika humo Insidezzzz.Gooood lucky Niggaz.
king of love
- re:
Wed, 07th Nov 07 - 11:18 am
[quote=lord eyes] that what sap niggas yeah nimekubali lord eyes punguza bangi
buck
- Jay Mo whipped it! -thiz joint
Wed, 07th Nov 07 - 10:34 pm
Yo! ebana Jay Mo whipped it, haina mjadala!! Fid Q and Chidi benzi did they thang too!
koploK
- kaka
Thu, 08th Nov 07 - 04:54 am
chid kawakimbiza kaka zake, kaza msuli dogo
mjita23
- eh bana eEe!! history has been
Thu, 08th Nov 07 - 08:08 pm
Full respect mazee, yaani hii track ime make history!! funika bovu, Chidi mwana wa iLa, kapoteza along with jay mo and jeshi la mtu mmoja pamoja na binamu,.. Hip hop is all about love ya all, hamna haja ya chuki zisizo na kichwa wala makalio!!!
sidady
- fagio
Fri, 09th Nov 07 - 09:47 am
wazee mpo kikazi naaminia
sidady
- aminia
Fri, 09th Nov 07 - 09:50 am
mwana nakuelewa sana wazushi wote wakae nje wenye akilia zetu tupo ndani tunafanya maisha
homealone
- ilala big up
Fri, 09th Nov 07 - 12:11 pm
chid benz ur doing good hommie, keep it up nimekubali kaka
Yda
- we ndio mchizi wangu
Mon, 12th Nov 07 - 11:06 pm
sio mchezo m2 wangu hii collabo ni kali kinoma. yani imetulia kiaina na inafaa kusikilizwa mtaani. Chid benz big up
thedon
- next level...!!
Tue, 13th Nov 07 - 05:22 pm
yo.. dis iz some next level sh***t niggaz.. u takin bongo flava to the next level.. dat iz realy hip hop... u killin.. safe!
namless
Wed, 14th Nov 07 - 06:49 am
ile kolabo noma sikikuku naona yupo fid q,chidy,mansuli,mhtemba,binamu,big4jezz,jmo,djadam
mchmvu,bu-nako,kulwa wa mapacha,bubuu,ibradahasla hv vichwa kafunika mmoja tu JMO na kakosekana rado the 1 bad man nihayo tu.
seductive
- mpe nafasi muone
Fri, 16th Nov 07 - 05:11 pm
unajua tuwe wakweli....temba tumemzoea,mwana af kafunika jay mo fid q yani kila mtu kafunika kwenye traki...ila kabla ya kumchangua the best of all kwenye hii traki lazima kwanza uwatoe wale wengine ili ubaki na yule mmoja.....unajua mfano kwenye gunit...kila mtu anasema 50 cent ndio mkali...ila ukweli llyold banks ndo funika kwenye gunit...ni kumpa nafasi tuu...so kwenye hii traki tuwe wa kweli...kama uamini sikiliza tena....CHIDI BENZI IS DE BEST IN THIS TRUK..KAANZA VIZURI NA KAMALIZA VIZURI KAMA WENGINE....NO HARD FEELINGS UWO NI MTAZAMO WANGU..........HIVI INGEKUAJE KAMA NGWAIR ANGEKUWEPO?...HIVI NGWAIR ANA MPINZANI?...I DOUBT...!
chescomatunda
- hey wadau nimekubali
Sat, 17th Nov 07 - 01:57 am
hi nimekubali hii site ni kiboko ni mara ya kwanza kuingia hapa lakini nimekubali kwa tz hakunawa kuwashika hata duniani kuanzia masong chat na makila kitu babu mimi chesco mzee wa matunda sinza dar.
Belo
- NGWAIR?
Sat, 17th Nov 07 - 07:06 am
JAMAA YUKO TIGHT BUT MAMUWEZI JOH MAKINI
IF POSSIBLE WATOE REMIX TENA WAONGEZWE NGWAIR,JOS MTAMBO,RADO NA JMAKINI TUONE NANI ZAIDI
WA2 WANASEMA CHID KAFUNIKA BUT LYRICS
KALI AMEONGOZA FID,BINAM,JMOE
CHID AMEFLOW VIZURI LAKINI LYRICS SIO KALI
PKJ
- Nyie Ndio Machiz Waaangu...
Sat, 17th Nov 07 - 07:20 am
Nyie, Nyie Nyie... Ndio machiz waaangu!!! Ebwana eeh! I have nothin 2 Comment. But Big up kwa masela woote mlio ktk hili Collabo! Esp, Fid (Hommie) Mo tek Moo-- ( I feel U)Chid ( I lyk ur Style ) Dr. K ( Kaka unakimbiza beat, yaani funikafunika baaava ) Lord Eyes ( The way U flow and msg ) Mwana ( We mchizi kitaaambo )Adili, Da hasla, Geez, Babuu, Temba, Mansu.. Nashindwa kuwachambua hommies mmekamua balaaa.. >> Kip it Up bwayz
maryj
Sun, 18th Nov 07 - 09:43 am
re-seductive,FIDDY JAMANI KILLED
ON THIS ONE BE REAL PEOPLE
LISTEN TO THE LYRICS,STYLE???
MOE DID IT OK BUT OL N OL
FIDDY!!KEEP IT UP FIDDY
seductive
- fid
Sun, 18th Nov 07 - 01:14 pm
mistari yenye maana au niseme message fid kaongoza mo na fa....ila chidi flow yake kali ila hana message.
maryj
- re-seductive
Sun, 18th Nov 07 - 03:02 pm
he does have msg on his songs
but comparing with fidy +moe
i think they killed it MAN
It happened to be no only the hot colabo but it has cought alot in the way down.
FID kiboko lakini wengine wote wamependeza ndani ya hii kitu!
keep it up and the next colabo to be come should check out on this fist then then they can diced whether it worth to do the colabo
hayawi
- goma si la kitoto
Wed, 21st Nov 07 - 08:58 am
we ndo mchizi wangu, daah acha tuu umenichanganya
caiserc
- JOH MAKINI??
Thu, 22nd Nov 07 - 08:30 pm
HAPA WE CN SEE SWAHILI HIP HOP CULTURE ON ANOTHER HIGHER LEVEL,BUT STILL THERE'S NOTHIN' NEW ON BONGO BEATS,
CAN FEEL A TRACK IKO POA,
JAY MO -MO TEK MO SLIZZ,MO FLAVA,AMEZIONEKANA,FID Q KAMA KAWAIDA YAKE KASIMAMA,MH.TEMBA HAPA AJAKAZA KABISA,MWANA FA FRESH KAJITAIDI,
SWAHILI NI HILI YUPO WAPI JOH MAKINI THE NORTHERN ROCK,!!!
chimney
- noma
Fri, 23rd Nov 07 - 07:32 am
chidi noma mtu wangu
tontonny
- Lord eyez si mchezo kitu kimek
Sat, 24th Nov 07 - 11:10 pm
Nakubali makamuzi vijana wa Nako2Nako,si mnacheki wenyewe hata musician wanakubali!..but mnajua ni nini TOENI BAS VIDEO YA KWELI?
tontonny
- umechemka
Sat, 24th Nov 07 - 11:17 pm
Lord Eyez mpe 80% zilizo baki watagawana..by the way Makini angekuwepo angeharibu...
anno
- ''PINI IMESIMAMA POA''
Sun, 25th Nov 07 - 04:27 am
Pini imetulia kishenzi..yaani ipo mzuka....CHIDI,FA,MABOVU ndo wamekamua kinoma big up guyz...ILA2 Mh TEMBA wangemtoa kabisaaaa ameboa bwana hii ni REAL HIP HOP ameleta za kitiMK SANA BAB...Ni hayo2..
Djpablo
- Ukisikia Hip hop ndio hii
Mon, 26th Nov 07 - 12:16 pm
Yap safi kabisa Wandugu kazi mmefanya hii ndio HIP HOP, Na ndio inavyotakiwa mupendane muimbe pamoja sio kupikiana mujungu. Baadae mtaona matokeo yake HIP HOP itapendwa Bongo yote na Africa yote.
Kamuweni mistari wana
fbizo
- teh teh! Hii ni full ngekewa
Tue, 27th Nov 07 - 02:49 am
The Great 6 Wangu Msimamo
1.J Moe
2.Chid benz
3.N2N soldier
4.Dr K
5.Fid q
6.Adil
Machiz wote wamekamua vilivyo ila angekuwemo Blac & Jo makin Wangefunika mbaya oooh!
brother I
Tue, 27th Nov 07 - 03:43 am
temba hawezi kuimba real hip hop.hakutakiwa kukaa kwenye hii.
slimsix
- shit is tyt
Wed, 28th Nov 07 - 03:25 am
yeah i gotta say thiz what we call hiphop.big up ya true soldierz.dig it or dis it
nichoj
- mzuka c utani
Thu, 29th Nov 07 - 04:42 pm
ebana ndiyo,hii ni hard 2 the core wamevunja-vunja mbaya kikosi amepotezwa,moto wa kuotea kwa mbaali.utaumia
sixmanywele
- We ndo mchizi wangu
Sat, 01st Dec 07 - 01:57 pm
Ebwana goma limetulia kinoma wote wapo full ila Temba angetolewa tu mana hana upya ni bongo fleva imemtawala haiwezi hip hop[
wizzbaby
- bonge la dude!
Sun, 02nd Dec 07 - 02:46 am
inapendeza kuona kwamba kuna mambo fulani fulani yanafanywa na wasanii wa hapa bongo kama yale yanayofanywa na mamc wa mtoni. Jamaa wa mtoni remix ni kitu cha muhimu sana katika nyimbo zao na hupendeza zaidi kama walioshirikishwa ni wengi. Kwahiyo remix ya Nako 2 Nako haipimiki watu wangu. Sio siri ni bonge ya dude!! ila kama wangejua wasingemjumuisha Temba sababu ana tofauti kubwa na wote waliomo kwenye trak! Utmk saaaana, ni hayo tu, by the way nimependa comment za Mary j YOOO HEARD!!
alle2n
- truc de kool
Sun, 02nd Dec 07 - 04:44 pm
tru tru tru, me chanson est très bon que la premier version.
c'est très KOOL, et choutte.;.
teteehhh
Biggiezfinest
- Nani kasema BOngo flavian..Hap
Mon, 03rd Dec 07 - 01:05 pm
oioiooioi haya sasa hapa ndo mambo ya kukip it real ila hapa hakuna ngumi ni mambo ya kuflow tuu maana najua kuna ma haterz watataka kutushusha ila hata uje na bongo flow hapa ni full HIPHOP..
angalieni vichwa hapo..
mmhhh we mtoto BINAMU ur hot acha kabaisa na J.MO mi wala sina usemi..waleykum salaam..
ebwana humu wote sasa ndo kolab iliyo kamilika.yaani haina kwere wala mzuka wake sio wakitoto
paris
- Mchizi wangu
Mon, 03rd Dec 07 - 06:17 pm
Hiiiiiiiiiiiiiii ni noma kiichizi.we iachekama ilivyo ninoma
videdevi
- Doctor K, Gizz mabovu Na jay m
Tue, 08th Jan 08 - 03:31 am
yani hizi raiya tatu Doctor k,Gizz mabovu na Jay more sio watu wa kimchezo, wamewameza raiya utazani track lao.dah
videdevi
- Doctor K, Gizz mabovu Na jay m
Tue, 08th Jan 08 - 03:31 am
yani hizi raiya tatu Doctor k,Gizz mabovu na Jay more sio watu wa kimchezo, wamewameza raiya utazani track lao.dah
videdevi
- Doctor K, Gizz mabovu Na jay m
Tue, 08th Jan 08 - 03:42 am
[size=x-large][size=large][color=red]yani hizi raiya tatu Doctor k,Gizz mabovu na Jay more sio watu wa kimchezo, wamewameza raiya utazani track lao.
TOP 3
1.Gizz mabovu
2.Doctor k
3.Jay.Mo[/color][/size][/size]
diddy boy
Fri, 11th Jan 08 - 11:17 pm
imetulia kichizi yaani. haki sina usemi
FroshyDude
- Mzuka!!
Tue, 15th Jan 08 - 09:36 am
Mapinduzi hayafanywi na mtu mmoja huku Izz hayupo, ....mkazuzu sana tu!!! bonge la collabo!
1 mabovu
2 mansuli
3 fid
4 child benz
5 j mo
6 loyd iz
7 babuu
8 f.a kidooogo kwa mbali
wengine wote potezwa bovu. kakosekana al h mbongo na jcb wana pamoja lakin imecmama temba kani boa kuliko .wo10 .
ned
- thiiz how it iz
Sat, 02nd Feb 08 - 03:16 am
sana geez,k pacha na mzee mwenyewe wa uskani ezee,jay more. mvuja jasho delhi india
lord_cash
- noma wazee!!!!!!!!!!!
Wed, 13th Feb 08 - 06:00 am
hii ngoma kali but mimi mwenyewe nime miss hapa fanyeni mpango coz hata huyu CHIDY kaimba ka kiwete atembeapo but nijaribuni muone makeke yangu !!!!!!!!!! ide:' />
didiz
Fri, 22nd Feb 08 - 11:02 am
ebwaaa noma hili pini ni noma limewakalisha japo wamekosa chindo na jcb watengwa wee mchizi wangu wee ndo mchizi wangu hiphop itasimama
p_nasty
- some real ****.
Sat, 08th Mar 08 - 02:13 am
keepin it real
1. Moe
2. Geez Mabovu (sauti ya hip hop baba)
3. Chidi
plus e'bodys tight in dis track.
One.
mebo
- track imeenda shule si mchezo
Mon, 10th Mar 08 - 08:51 am
ila angekuwepo kala pina wa kikosi cha mizinga,ngwair na mwamba wa kaskazini joh makini wakachukua nafasi za temba,mwana fa na adili,any way track still imesimama na wote kwa ujumla wamefanya kitu cha nguvu yaani bonge la collabo top3 yangu ni1)j-mo(2)ibra da hustler(3)fid q
gorilla ezo
Thu, 13th Mar 08 - 03:57 am
maybe mtafika
ochu
- EBWANA NDIO
Mon, 07th Apr 08 - 06:18 am
EBWANA FID NAKUPA BIG UP, HALAFU CHID WEWE NI MKALI ,HUMU NDANI HAKUNA ALOFUNIKWA KAZENI BUTI HALAFU WALE ******* WALOSEMA HAIUZI WATAONA KWASABABU HIP HOP HAIMALIZII BONGO TU ITAKWENDA MPAKA MTONI ,NNAVO IPENDA HIP HOP NATAMANI NINGEWAPA ZAWADI LAKINI UWEZO SINA SASA NTAONGEA MENGI LAKINI SI MALIZIII KUISIFU HIII NGOMA EBWANA BIG UP KWA NYOTE NYIE NDO MACHIZI WANGU KAMA CHUPI NA TAKO.