SwahiliEnglish
            Lost Password?    Click here to register





(Mini-MP3-Player v2.2 (c) Ute Jacobi - unregistered version - Only Free for NonCommercial Website)
Jawabu - Adili PDF Print E-mail

Adili

 

 

 

 

 

 

 

 

Sikiliza/Listen

Wimbo umerekodiwa katika studio za 41 Records.

Tag it:
Delicious
Furl it!
Spurl
NewsVine
Reddit
YahooMyWeb
Digg
blogmarks
feedmelinks
co.mments
Comments
NewSearch
klex Tue, 16th Oct 07 - 10:19 pm
:D :D Chapakazi kama kawa watu watapagawa mpoo juu mannnn yani kama moto wa gesi pamoja, :D :D
EtheL - Dj G Town Thu, 18th Oct 07 - 05:32 pm
Mi ni mpenzi mkubwa wa bongo5 ila naomba dj G town upunguze hizi "aaah yeeeeh" katikati ya mziki au wakati mwengine unapandishia kiasi kwamba unapoteza ile tune ya mziki. ni hayo tuu kwa leo 8)
isaackraphael Fri, 19th Oct 07 - 04:35 am
Naomba prof Jay ange pumzika 2 sababu kazeeka sana
Yassern Fri, 19th Oct 07 - 11:10 am
:roll: :idea: kawaida nyimbo zinakuwa zimeenda shule,sema muda wa kufifia huwa si mrefu pia,ila kaka nimeikubali hiyo babu tega mingo wangu kila mtu anatega migo ila wengine mingo hazitegek :P :P i :evil:
cliff101 - safi Thu, 01st Nov 07 - 05:22 am
kaka nakukubali ila hapa sio sili iki kitu hakija simama sana mtu mzima ila kipo poa cha kawaida lakini akitishi kwa sana...ila big up
caiserc - improve ya beats Thu, 01st Nov 07 - 06:49 pm
its a nice track with a lit gud message but not stonch,u should improve ya beat,this one sounds like ringtone.
kido_xl - kamua kamanda.. Thu, 01st Nov 07 - 09:29 pm
:D hey home boy u knw hw it is being on top...da heat is on ADILI but hey screeuw 'em haters man i like dis joint is tight in all counts,, am with you bro.. iight u knw it KIDO gotcha back peace... pamoja wakamue hao ki mathematics kisha wapate jawabu cheah!!!chapakazi nonstop
Manblack - Big Up Wed, 07th Nov 07 - 06:12 am
respect mtu wangu hili ni jawabu
tinoh - big up Mon, 17th Dec 07 - 03:11 am
kaka nakukubali kitu chako kimmetulia sana nakupa hongera sana
sir mimi - makini Sun, 20th Jan 08 - 05:07 am
mwanangu hiyo track imetulia
sir mimi Sun, 20th Jan 08 - 06:31 am
kabanda - fresh Wed, 30th Jan 08 - 03:52 am
huku norway nyimbo zetu zinapendwa sana so wasanii kazeni buti 2 kutunga nyimbo kali amibrown :idea:
kabanda - fresh Wed, 30th Jan 08 - 03:52 am
huku norway nyimbo zetu zinapendwa sana so wasanii kazeni buti 2 kutunga nyimbo kali amibrown :idea:
imprezza - huhu Sat, 08th Mar 08 - 12:29 am
hi all
gift2294 - boy Tue, 29th Apr 08 - 03:08 pm
cool
cizzle - full hip hop Sat, 21st Jun 08 - 09:27 am
full babuuu....maujanja supplier
neha_mehra Fri, 27th Jun 08 - 11:12 am
mi nawaamini wasanii wote mnajituma na nyimbo zeni ni bomba kweli
perezkomanya Sun, 17th Aug 08 - 11:38 am
:woohoo:
Only registered users can write comments!

 
< Prev   Next >
Total Members
total 19343 registered
female 4819 female
male 14442 male
month 661 new this month
New: sweet14
Who's Online Now
We have 32 guests online and 5 members online
melby amachris Iceslim Nisipitwe tamiha
Bongo5 Chat Zone 2.0
Total of members in the chatroom:
2006-2007 © Copyright Bongo5.com