[i]I always liked Ngwair
this is because of the tarent this artist has. Congratulation man keep it up.[/i]
maryj
- ngwair is talented
Sat, 15th Sep 07 - 08:00 am
nani anabisha?he is talented!lyrical
fit and his style is remarkable
i compare him with da great great LATE B.I.G ,KAMA UNABISHA LISTEN TO A.K.A MIMI HIS FIRST ALBUM,IT WAS GOING TO
BE HOT IF NGWAIR ANGECHANA PEKE YAKE
polyosb
- Mangwea Big Five!!!!!
Sat, 15th Sep 07 - 08:38 am
Asante kachala kusikia tena toka kwako! Keep it up!
hb nas
- gud job
Sat, 15th Sep 07 - 08:55 pm
tontonny
- Si mchezo!!!!!!!!
Sun, 16th Sep 07 - 07:18 am
Unazidi kuchafua mtu mzima,namna hiyo toa vitu kwa wingi.only i can say da talent u have same like 2pac.....keep it up Bro>>>
Oyiii
Sun, 16th Sep 07 - 07:20 am
aah mi nakuaminia mwanaa..! Hamna anaebisha kuhusu wewe
smart1
- re: ngwair is talented
Mon, 17th Sep 07 - 05:58 am
maryj wrote:
nani anabisha?he is talented!lyrical
fit and his style is remarkable
i compare him with da great great LATE B.I.G ,KAMA UNABISHA LISTEN TO A.K.A MIMI HIS FIRST ALBUM,IT WAS GOING TO
BE HOT IF NGWAIR ANGECHANA PEKE YAKE
[size=large][b][color=blue]Sibishi,He is talented!Lakini comparin' him with BIG SMALLS hapo unachemka!
U need to go back n' listen again to B.I.G's work!
but at least u seem to know BIG SMALLS' name,Hongera![/b][/color][/size]
ruga
- aminia mwana chemba
Mon, 17th Sep 07 - 08:54 am
track kali sana iyo babu tupe ladha wanao siunajua aka mimi nakufagilia kitambo toka gheto langu yap yap
tozman
- ngwea nakukubali
Tue, 18th Sep 07 - 04:25 am
ngwea kama kipaji we umepewa nakupabigup sana
brother I
Thu, 20th Sep 07 - 04:59 am
illiy
Thu, 20th Sep 07 - 09:48 am
wape mistari
cathmic
- umesimama man
Sun, 23rd Sep 07 - 04:23 am
unajua nini?
jamaa yupo tight ile mbaya!
kwani kila kitu anachota kinakuwa kinasimama sana.
sisi wazee wa kiev state university huku ukraine tunampa 5five.
bonna07
- jepp
Sat, 29th Sep 07 - 02:36 pm
mi akuainia mkuu mboa kmyakmya tu!
EDO NDAKI
- MACOWBOY!!!!! YEYOOOOOO
Sun, 30th Sep 07 - 03:46 am
Amani kwako mwana Chamber halisi!
Kazi nzuri sana mwanare!! Tuwasiliane watu wangu!!!
Tupo Bwiiiiiiiii once again bwwiiiiiiiiii kila kitu bwiiiiiiiiii
debra
- Ndio ndio
Mon, 01st Oct 07 - 04:37 am
[i]safi sana nakukubali mwana chamber halisi upo tite mtu wangu!!
Safari bado inaendelea[/i]
iply
- unatishaaa
Wed, 03rd Oct 07 - 03:55 am
hakuna ambaye anakuweza hapa bongo mtoto wa dodoma nakufagi sana.
iply
- mambo
Wed, 03rd Oct 07 - 03:56 am
[img][/img][img][/img][code][/code]
moody x
- dongo zito hilo mwana
Sun, 14th Oct 07 - 04:43 am
rusha cheche tu mwana kama kawa nakuaminia mzee wa bwii
faib
- watz poppin nicca?
Sun, 14th Oct 07 - 11:58 am
i dnt listen much to bongo flaver ut nicca sound good, just wanna give him ma prop aiight ya'll peace out
isaackraphael
Fri, 19th Oct 07 - 04:43 am
MAn U R very,very sucks. So u should stop singing like someone who is forcing his/her voice
isaackraphael
- stop singing
Fri, 19th Oct 07 - 04:46 am
Man Mangwair PLEASE STOP singing for the divel the judgement day is very,very NEAR...
isaackraphael
- THE END HAS COME MAN
Fri, 19th Oct 07 - 07:58 am
Man Mangwair the end of the world is very near, So why can.t u stop singing STUPID songs and start singing christian songs man I'm telling the truth the END is coming prepare your SOUL...
MR Isaack from Australia
isaackraphael
Fri, 19th Oct 07 - 08:02 am
Man Mangwair the end of the world is very near, So why can't u stop singing STUPID songs and start singing christian songs. Man I'm telling U the truth that the END of everything it's very,very near Please your SOUL before is 2 late...
MR Isaack from Australia
isaackraphael
Fri, 19th Oct 07 - 08:05 am
Tell all yor mates 2 read the bible avri da
rog
- hi
Wed, 31st Oct 07 - 07:43 am
in short ngwair you are hot rodgers mbaga from iaa
rog
Wed, 31st Oct 07 - 07:47 am
ngwair you are hot its me rodgersmbaga of IAA
HoVa
- Hang Over....
Fri, 02nd Nov 07 - 08:16 pm
Chemba Squad!!...,
I missed this one,
H.
bway
- bab kubwa
Mon, 12th Nov 07 - 06:13 am
yeah trach meikubali bwiii makonya noma kwa bwiii gwea aminia
anno
- ngweair upo juuu mwana
Sat, 01st Dec 07 - 10:35 am
jamaaa kasimama ila ukimya wke sijui unaletwa na nini? kaza buti mwana badilika2 kama vp...cow boy
anno
- huwenda alibaatisha
Sat, 01st Dec 07 - 10:44 am
nikisema alibaatisha sitskosea labda anibadilishe imani yangu kwake kwa albamu yake mpya ya ''NG'E 82''...Na siyo kama msela simpendi lakini hajafikia level za kina B.I.G..Ni hayo 2
[Q]
- Bwii
Sat, 01st Dec 07 - 09:51 pm
Naona Walevi Mnafagilia Huu Mkono...Sababu Ziko Wazi..Na Mikandamizo Ni Ile Ile....Pamoja!
paris
- bwiiii
Mon, 03rd Dec 07 - 06:10 pm
Ninoma mtu wangu weachatu.
ramzykasika
- higher learning student
Thu, 06th Dec 07 - 10:33 am
wewe ni mkali vibaya sijaona bongo nzima masela wa east zoo kama g-zungu wanakukubali
brand
Thu, 06th Dec 07 - 12:26 pm
hi ilike that song is so gud yaani nikiusikia najisikia amani keep on brother . l love to hear swahili song . ooooooo wow that is so beautiful . mmmmmmmmmm ilove it from margreth ,switzerland
PindeMshale
- FANI NA MAUDHUI
Fri, 07th Dec 07 - 12:01 pm
Baba fani uliyotumia inanoga kimtindo ila haijanikuna kama ilivyonikuna ya SHE GATAGWAN!!!Baba lakini inanoganoga nayo,kwenye maudhui nako kutam yaani ni mambo valangu valangu mitungi bin milanduko tu duh,baada ya milanduko ni vibweka bin vituko sawa baba:-HONGERA ila kaza msuli baba!!!
alle2n
Fri, 07th Dec 07 - 07:01 pm
ebwaaannna pina lime kaaa vizuri kinomaaaa, dahh i miss bongo kinomaaaaa
ramzykasika
- albatinho wewe ni fundi
Mon, 10th Dec 07 - 10:28 am
keep it up guy wewe ni fundi hakuna wa kukuzidi bongo nzima.kwa freestyl ndo ucpime
za**2**goddamn**az
- ??
Mon, 10th Dec 07 - 02:13 pm
ngwair u sick blad.dat wat am talkin about.****
**once i heard u crackhead.if u usin craks u killin urself.don be selfish u will fuked by cracks nigga dat thingy aint shit.
alle2n
Fri, 14th Dec 07 - 02:43 pm
hooooo hoooo i cant get loose on the song, this guy need to bee given more bwiiii..
kama vipi ndo mzuka kama kawaaa,,, yeeyeyeyee
basketmouth
- YEAH WONDERFULY SONG
Mon, 31st Dec 07 - 09:50 am
KUL AND GUD
Show people the way how u doin-ur so flexible and i berg u as a strong artist and active example to bongo flavour superstar an new bongo flavour generation,i mean underground.
keep it up man.
choma_p
- ma cow boy
Tue, 01st Jan 08 - 09:16 am
sana tu kaka kaza mwendo tuone madude kem kem a.k. MIMI
Kerry
- BWIII!!!
Sat, 12th Jan 08 - 03:15 am
Uko tight m2 wangu
marry
- wat bwii NYAMBAFU
Wed, 16th Jan 08 - 07:36 am
haaah wapi kwisha habari yako wewe ulibahatisha tu hamna kitu kabisa,bado ujanikovis kabisa,ovyooo
wminja
Fri, 18th Jan 08 - 04:54 am
kitu kimetulia, hongera sana
hh.com
- re: CONGRATS
Wed, 13th Feb 08 - 01:29 am
hoya babu hiyo ndio yenyewe husiogope home boy
abuu45
Mon, 18th Feb 08 - 03:22 am
kwelly ngwea ni mkali mtu wetu
Slicky
- Noooooooooooh!
Fri, 22nd Feb 08 - 08:27 am
Whts wrng u men!
This is not what i expect from the big name like yours!
Any way u have to do somethng to make itright!
carine
Wed, 05th Mar 08 - 04:17 am
ebwana gwea we ni noma chalii wangu!KA VP NJO MACKAN NTAKUPA DADA YANGU UMUOE
eljay
- ths guy is a killer rapper!
Mon, 31st Mar 08 - 03:25 pm
ths z d mos tru talent in bongo!ths z lil wayne status!dude u guud!
materenga
- You rock son!!!!
Tue, 01st Apr 08 - 08:57 pm
Dude for the last time I saw you at Mazengo your talent wasn't as it is now! You've kept up the pace pretty well.Keep it up!
You rock!
Papa G
materenga
Tue, 01st Apr 08 - 08:57 pm
2680
materenga
- You rock son!!!!
04.01.08
Dude for the last time I saw you at Mazengo your talent wasn't as it is now! You've kept up the pace pretty well.Keep it up!
You rock!
Papa G
Quote | Edit | Delete
0 0
]]>
]]>11
materenga
- yo! man you rock!
Tue, 01st Apr 08 - 08:58 pm
2681
materenga
04.01.08
2680
materenga
- You rock son!!!!
04.01.08
Dude for the last time I saw you at Mazengo your talent wasn't as it is now! You've kept up the pace pretty well.Keep it up!
You rock!
Papa G
Quote | Edit | Delete
0 0
]]>
]]>11
Quote | Edit | Delete
0 0
]]>
]]>11
PORTABLE
Thu, 17th Apr 08 - 07:09 am
alyafee
- imetulia iyo
Wed, 23rd Apr 08 - 12:15 pm
alyafee
Wed, 23rd Apr 08 - 12:16 pm
imetulia iyoo babake usipime
Tman
- big up yaani ni mzux man
Thu, 24th Apr 08 - 02:58 am
Mtu zima unatisha man kama mwi lsraili...big up bro kiip it up aight am fill yo truck..and am waiting for dat video clip man.mkazuzu babu
g_thedon
- MZUKA!!!!!!!!!!!!!!!
Sat, 31st May 08 - 05:57 am
YANI MZUKA ILE MBAYA NAMFAGI NGWEA KICHIZI MISTARI YAKE IME TULIA.