| Masela Wote - K-Lex Man |
|
|
|
|
Sikiliza mpini "Masela Wote" K-Lex Man A.K.A Ting Pung atoka na songi liitwalo Masela Wote featuring mkali wa miondoko laini PNC. Kazi imefanyika ndani ya Baucha Records jijini Dar es Salaam. Alipoulizwa background yake K-Lex Man alisema "kuhusu mimi maskani yangu kabisa Mwanza, lakini kwa sasa naishi Kinondoni na bado nakomaa kimtaa, mziki kama damu toka long time. Kwa masela wote BIG UP!!" Ukitaka kujua zaidi kuhus K-Lex Man tembelea ukurasa wake hapa http://www.bongo5.com/klex
Only registered users can write comments! |
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
| < Prev |
|---|








