| Madinda kuingia School |
|
|
|
|
Akizungumza na mwandishi wa Bongo5 alipozuka kwenye ofisi hizo Mamaa Madinda alisema “katika maisha kuna leo na kesho sitarajii kuwa mcheza show katika maisha yangu yote na ndio maana naiheshimu sana kazi yangu hii kwani inaniwezesha kupata rasilimali ambazo naamini zitanisaidia hapo baadae kimaisha. “nimefikia uamuzi wa kwenda shule baada ya kukaa na kufikiria kuwa, iwapo nitachoka kuwa mcheza show ni kazi gani ambayo nitafanya ili kusonga na maisha? Jibu pekee na la karibu lililonijia ni shule kwanza ndio naweza kujua nini la kufanya baada ya hapo” alisema Binti huyu. Hivi sasa yuko mbio ile mbaya kutafuta chuo kwa ajili ya kujipatia mafunzo ya kompyuta katika levo ya juu na sio viwango vya awali kama wafanyavyo wengi kwani matarajio yake ni kustaafu masuala ya unenguji katika kipindi ambacho washabiki wake watakuwa bado wakimuhitaji “nisingependa kuwa na historia mbaya kwani huko nilikotoka nimekuwa nikijiheshimu sana sasa sitaki kujiharibia”-Madinda. Source: Bongo5 Error, missing joomlaboard config file! Bongo5.com brings you the latest news from East Africa at your finger tips. If you have a story you'd like to share please send an email to This e-mail address is being protected from spam bots, you need JavaScript enabled to view it
Only registered users can write comments!
Powered by !JoomlaComment 3.26
3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved." |
||||||||||||||||||||||||||||||
| < Prev | Next > |
|---|








