SwahiliEnglish
            Lost Password?    Click here to register

(Mini-MP3-Player v2.2 (c) Ute Jacobi - unregistered version - Only Free for NonCommercial Website)
CP kutoa kitu kipya...crunk PDF Print E-mail

CPMsanii CP ambaye anatamba na kibao chake ‘6 in the Morning' hivi karibuni alionekana akipiga misele katika viwanja vya mawingu studio, jambo ambalo lilimfanya muandishi wa habari hizi atake kujua kulikoni.

“Dah mtu wangu niko hapa kwa nia ya kuunda sumu mpya ambayo ni mapema sana kuizungumzia kwani mpaka sasa nadhani machizi wana hamu ya kusikia shughuli yangu mpya, na kama ilivyo kawaida yangu sina historia ya kukosea” alisema Cp.

Aidha msanii huyu ameelezea kile anachotarajia kukifanya ni kutoka tofauti na ilivyozoeleka, kwani msela anatarajia kuja na staili ya crunk ambayo inafanywa na masupa staa kibao wa unyamwezini “katika hali ya kuiboresha sanaa yangu nimeamua kufata matawi hayo”-Cp.

“nilichofanya ni kuchanganya prodaksheni kwani biti amenitengenezea mchizi wangu anayeitwa Lucci ambaye anafanyia shughuli zake nchini marekani, na sauti nimeingizia katika studio za mawingu kwa Papa Luvin chini ya produza Jay” alisema.

‘Pwah' ndio jina la ngoma hiyo ambayo iko katika mahadhi hayo ya crunk, dah kusema ukweli ngoma ni imesimama ile kinoma ukizingatia jamaa ni mmoja kati ya wasanii wenye staili ya tofauti na sauti yenye kuwavutia washabiki wa Muziki wa Bongo Fleva.

To listen to the track Pwaa press play -  

Source: Bongo5

Comments
Search
Only registered users can write comments!

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

Tag it:
Delicious
Furl it!
Spurl
NewsVine
Reddit
YahooMyWeb
Digg
blogmarks
feedmelinks
co.mments
 
< Prev   Next >
Total Members
total 21216 registered
female 5270 female
male 15866 male
month 21 new this month
New: Hapines
Who's Online Now
We have 38 guests online and 15 members online
swejacky Amiry debra kaga haywire preeety Tito kanana Chamillionaire Danielita jeny2 Jozeedaking Tukwa kelly31 Hapines
Bongo5 Chat Zone 2.0
Total of members in the chatroom:
2006-2007 © Copyright Bongo5.com