|
Thursday, 18 February 2010 |

Katika usiku ya wapendanao maarufu kama ‘Valentine Day’ yule jamaaa anayemiliki bendi ya TOP
BAND anayetambulika kama TID aliweza kuweka wazi kabisaa lile penzi
lake alilokuwa nalo kwa binti mmoja hivi anayefahamika kwa jina la
“KINANA”
|
|
Thursday, 18 February 2010 |


Mbunifu wa Mitindo, Ally Rehmtullah akizungumza katika uzinduzi wa Kampeni ya Kuchangia Mfuko wa Elimu wa Wilaya ya Kisarawe.
Wa kwanza kulia ni Prof. Emmanuel Bavu ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati
ya maandalizi ya Harambee Kisarawe, wa kwanza kushoto ni Mkuu wa Wilaya
ya Kisarawe Bi. Khanifa Karamagi pamoja na Naibu Waziri wa Elimu na
Mafunzo ya Ufundi, Mheshimiwa Mwantumu Bakari Mahiza.
|
|
Thursday, 11 February 2010 |

Ndogondogo kutoka kwa mkali wa mistari kutoka Arusha, Stop the Rhymecca zanasema kwamba jamaa ameachia Video nyingine ya wimbo wake unaotamba wa Staili 3. Kazi imefanywa Arusha na imeanza kusambazwa kwenye vituo mbalimbali vya televisheni wiki hii. Kwa mujibu wa Stopa mwenyewe, Video ya kwanza ilifanywa haraka kutokana na maombi ya mashabiki na sasa, baada ya kutulia na kujipanga vizuri, amezidisha ubora wa video hiyo na ana uhakika itakamata vizuri kwenye burudani
|
|
Thursday, 11 February 2010 |

Mwanamuziki ambaye hana muda sana kwenye gemu lakini aliyeleta usumbufu wa hali ya juu kwenye uwanja wetu wa Bongo fleva, Belle 9, anazidi kufanya vyema na sasa amekaa vizuri kwenye kibao chake kipya cha 'We ni wangu" ambacho amemshirikisha Mr Blue. Belle 9 anasema hiy ni ngoma kali zaidi kwenye 'Club' na ni moja ya zawadi yake kwa mashabiki wake wanaofagilia kula bata zaidi
|
|
Monday, 08 February 2010 |

Baada ya kuzindua kwa mafanikio mwonekano mpya wa Chupa ya Ndovu mwishoni mwa mwaka jana, Kampuni ya bia ya Tanzania Breweries imechukua hatua pana zaidi kuzindua mwonekano mpya wa chupa ya Redds Premium Apple Cider jioni ya Alhamisi tarehe 4 mwezi wa pili mwaka 2010..
|
|
Lionel Richie kutua Uganda |
|
Friday, 22 January 2010 |

Ushindani wa makampuni ya simu huko Uganda unaonekana kuwafaidisha wapenda muziki kwani akimaliza R.Kelly mwishoni mwa mwezi huu, anadondoka mzee mzima Lionel Richie. R. kelly analetwa na kampuni ya Zain wakati mpango mzima wa Richie unafanywa na MTN Uganda. Mapromota wa Bongo pigeni ndogondogo basi jamaa wafike mpaka huku
|
|
<< Mwanzo < Prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Next > Mwisho >>
|