|
Ladies and gents.....Nuru the light |
|
Thursday, 21 January 2010 |
|

Nuru jana aliwakuna washabiki wake vilivyo kwenye klabu ya Florida Key West akishirikiana na bendi ya Odama na kuonyesha pia ana sauti ukiachana na urembo wake
|
|
Thursday, 21 January 2010 |

Warembo 10 kutoka wilaya zote tatu za Dar es salaam tayari wako kambini kwenye hoteli ya Rainbow social Club iliyopo Mbezi beach kujiandaa na fainali za kumsaka Miss Utalii Dar itayofanyika kwenye hoteli hiyo Februari 13.
|
|
Thursday, 21 January 2010 |

Lilian Mduda, the Tanzanian representative in the Face of Africa series, has reached top ten and will battle it out with other faces from Africa for the coveted crown, $50 000 and a contract with O Models on February 6 in Lagos, Nigeria. Lilian says she is confident and disciplined and believes at the end of the day, she will catwalk all the back to the country with a happy face and, of course the winner's package
|
|
Wednesday, 20 January 2010 |
|

Leo ikiwa ni mwaka mmoja kamili tangu Rais Barack Obama achukue Ikulu ya Marekani, Mwandishi Mtanzania ambaye amekaa ughaibuni kwa zaidi ya miaka 30, Julie Majuva, amezindua kitabu chake 'Barack Obama: The African-American president' ambacho kinaelezea undani wa sera za Rais huyo na jinsi alivyofanikiwa kuleta mapinduzi kwenye siasa ya taifa hilo kubwa kabisa duniani kiasi cha kutunukiwa tuzo ya Nobel
|
|
Witnesz azidi kupasua anga |
|
Wednesday, 20 January 2010 |

Mambo yanazidi kunyoka kwa msanii Witnesz baada ya nyimbo za Umwe, inayopatikana kwenye albamu ya Khaya Khaya na Attention Please iliyomo kwenye albamu ya Safari, kufanikiwa kuingizwa kwenye albamu ya Imagine Africa iliyotoka mwezi Desemba mwaka jana. Imagine Africa ni muunganiko wa harakati za vijana wa Afrika katika kupambana na gonjwa hatari la Ukimwi
|
|
The International students week |
|
Tuesday, 19 January 2010 |
|

The International students week (ISWIT 2010) will happen from 17-24 July in Dodoma. The president with the ISWIT committee, Jokate mwegelo introduced the event to the press yesterday at New Africa Hotel

ISWIT president, Jokate Mwegelo briefing the press
The annual event will have the Theme 'The voice of young intellentuals in constructing Africa anew; come, listen and act' and will attract students from different nationalities
|
|
| |
|
Samahani..
you have to log in first to view this page!! |
| |
|
| |
|
Not a member of bongo5 yet? Jiunge leo.
Registration is quick, easy and free!
|
|
You need to login.
|
| |
|
Samahani..
you have to log in first to view this page!! |
| |
|
| |
|
Not a member of bongo5 yet? Jiunge leo.
Registration is quick, easy and free!
|
|
You need to login.
|
| |
|
Samahani..
you have to log in first to view this page!! |
| |
|
| |
|
Not a member of bongo5 yet? Jiunge leo.
Registration is quick, easy and free!
|
|
You need to login.
|
| |
|
Samahani..
you have to log in first to view this page!! |
| |
|
| |
|
Not a member of bongo5 yet? Jiunge leo.
Registration is quick, easy and free!
|
|
You need to login. |
<< Start < Prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Next > End >>
|