Sat 13 Mar 2010
Sasa habari zinapatikana kwa kiingereza na kiswahili, chagua lugha upendayo hapo juu
Kakobe vs TANESCO
Thursday, 07 January 2010
Image
Mvutano unaoendelea kati ya Shirika la umeme nchini (TANESCO) na kanisa la Gospel Bible Fellowship Church (GBFC) linaloongozwa na Kakobe unaendelea kushika kasi hata baada ya msemaji wa shirika hilo kusema kwamba upitishaji wa umeme kwenye kanisa hilo hautaathiri usalama wa waumini. Waumini hao wanakesha kanisani hapo usiku na mchana wakiimba nyimbo za kuliusia Shirika hilo kumwogopa Mungu
 
 
Shaq kwenye skendo
Thursday, 07 January 2010
Image
Mchezaji wa mpira wa kikapu kwenye ligi ya NBA, Shaquille O'Neal amekumbwa na skendo ya kulazimisha mapenzi kwa msichana mmoja anayefahamika kwa jina la Vanessa Lopez. Hata hivyo, polisi wamebaini kuwa msichana huyo ameshawahi kujipendekeza kwa wachezaji Kenyon Martins wa Denver Nuggets na Delonte West wa Cleveland Cavaliers na hivyo kupunguza uzito wa madai yake. Shaq bado hajatoa tamko lolote kuhusiana na sakata hilo
 
Rais ala msosi na wachezaji
Thursday, 07 January 2010

Image
Wachezaji wa timu za taifa za Ivory Coast, Rwanda na Tanzania jana walipata wasaa wa kula lanchi na Rais Jakaya Kikwete kwenye hoteli ya Golden Tulip. Akitoa shukrani, Rais aliwashukuru wachezaji wa Ivory Coast kwa ziara yao na kuwatakia mafanikio kwenye michuano ya soka Afrika huko Angola. Wageni watacheza na Rwanda leo na kuondoka kesho kuelekea Angola kwenye kipute hicho

Image

 
Elizabeth ndani ya Filamu
Wednesday, 06 January 2010

Image
Aliyekuwa mshiriki katika shindano la Big Brother Africa Revolution kutoka Tanzania, Elizabeth Gupta, ameshiriki katika filamu mpya kabisa ya 'Danger Zone: Himaya ya Hatari' iliyotengenezwa na Kampuni ya RJ Company. Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Vincent Kigosi amesifu kipaji kilichooneshwa na Elizabeth na kukubali kweli mtoto anaweza. Milango inazidi kufunguka kwa Elizabeth na kumpatia michongo kibao. Mungu awe naye

 
Nusura wadundane
Wednesday, 06 January 2010

Image
Bado kidogo hali ya hewa ichafuke huko Las Vegas wikiendi iliyopita baada ya kambi ya Bondia Floyd Mayweather Jr kuvimbishiana vifua na ile ya Rapa Rick Ross kwenye pati kufungua ukumbi wa Disko wa Vanity iliyoandaliwa na Diddy kwenye mgahawa wa Hard Rock Cafe

 
BB UK kupanda Kilimanjaro
Wednesday, 06 January 2010

Image

Image
Waliowahi kuwa washiriki wa Big Brother celebrity UK, Liam Mc Gough na Anthony Hutton pamoja na rafiki yao Zach Lichman na mapacha Amanda na Samantha Marchant, watakuwa nchini kuanzia Juni 18 kupanda Mlima Kilimanjaro kwa hisani ya MAD ( Make A Difference) Foundation ili kuchangia fedha za kusaidia jamii

 
<< Mwanzo < Prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Next > Mwisho >>

Who's been doing what

13 March, 2010
profile update, 12:52
chumamoto updated their profile photo.

new user registration, 07:11
chumamoto joined our community! Welcome!

new user registration, 06:53
tashu joined our community! Welcome!

profile update, 00:30
MTU PORI updated their profile photo.

12 March, 2010
new user registration, 18:39
a78saa joined our community! Welcome!

profile update, 16:59
helenaa updated their profile photo.

status update, 16:21
mycle Am juc chln' waitn' 4 dinner

new user registration, 14:29
markone joined our community! Welcome!

new user registration, 13:52
semhando joined our community! Welcome!

new user registration, 13:33
servasadolph joined our community! Welcome!

The Weather

Dar es Salaam, , TZ

Now
Partly Cloudy
32°C, Windchill: 32°C
Wind: 27 kph N
Humidity: 65%
Visibility: 0 km
Preasure: 1,005 mb steady
Sunrise: 6:28 am
Sunset: 6:37 pm
Sat
Sunny
Hi: 33°C, Low: 27°C
Sun
Partly Cloudy
Hi: 33°C, Low: 27°C

Sudoku

othman shouts:
Gaucho nimekumiza nini kaka?nasikitishwa sana na muafrica wewe kunita mie ni mtu mmbaya sana !!naka

Picha Mpya za WanaB5!

 

Latest Songs

Not a Flirt
K-Lynn ft Hermy B
Ulinikuta
Klex ft Stone
Chupa Nyingine
Mchizi Mox
Shikide
Dully Sykes
Nimetoka Mbali
Jaguar ft. AY

Latest Videos

We have 85 guests online and 2 members online
4pak100 golgotha
Bongo5 Chat Zone 2.0
Total of members in the chatroom:
total 25713 wanachama
female 6293 female
male 19307 male
month 45 mwezi huu
Mpya: chumamoto