Sun 21 Mar 2010
Sasa habari zinapatikana kwa kiingereza na kiswahili, chagua lugha upendayo hapo juu
Cowell aitosa American idol
Wednesday, 13 January 2010

Image
Mmoja wa majaji aliyeleta mafanikio kwenye mashindano ya kusaka vipaji ya American idol, simon cowell, ataondoka na kujiunga na mashindano aliyoanzisha mwenyewe ya X factor nchini Uingereza. Msimu huu utakuwa wa mwisho kwa Cowell ambaye inasemekana anabadilisha mazingira kusaka maslahi zaidi ingawa awali alikuwa anatengeneza zaidi ya Dola milioni 36 kwa mwaka

American Idol ndiyo iliyowatoa wasanii kama Rubben studdard, Fantasia na Kelly Clarkson

 
Ali Kiba ndani ya reading, UK
Wednesday, 13 January 2010
Image
Mpango mzima unasababishwa na Bongo DJs na utakuwa siku ya Januari 30 huko kwa Malkia Elizabeth
 
Mrema asafishwa na wenzie
Wednesday, 13 January 2010

Image
Naibu katibu mkuu wa TLP, Hamad Rajab Tao leo amezindua kitabu  kinachoelezea undani wa mvurugano unaoendelea katika chama hicho kwenye mkutano na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa habari maelezo. Kwenye kitabu hicho, katibu ameelezea kashfa zinazomuandama Mwenyekiti wa taifa wa TLP. Ndg Augustine Mrema na kusema kwamba hazina ukweli wowote. Miongoni mwa kashfa hizo ni kubinafsisha nyumba ya chama na kutumia shilingi milioni 15 kununua nyani wa Kampeni

 
Mtikila matatani
Tuesday, 12 January 2010
Image
Mahakama ya Hakimu mkazi ya Kisutu imetoa haki ya kukamatwa kwa mwanasiasa mkongwe nchini, Mch. christopher Mtikila baada ya kushindwa kufika mahakamani katika muda uliopangwa kusikilizwa kesi dhidi yake ya kumkashifu Rais Jakaya Kikwete kwa kumwita gaidi, kosa analodaiwa kutenda Oktoba 21 mwaka jana kwenye maghorofa ya NHC Ilala. hata hivyo baadaye alifika mahakamani hapo na kukumbana na mkono wa sheria
 
Mrithi wa Maximo
Tuesday, 12 January 2010

Image
Kocha muingereza Stewart Hall ameielezea nia yake ya kurithi mikoba ya Mbrazil Marcio Maximo kuinoa Taifa Stars. Hall, ambaye ameshawahi kuzifundisha timu za taifa za Trinidad & Tobago na St. Vincent & Grenades na klabu ya India ya Pune FC, amesema hivyo kupitia Uk Press huko ikiwa imebaki miezi michache mkataba wa Maximo kumalizika na amesisitiza umuhimu wa kuwanoa makocha wazalendo ili kuinua soka nchini

 

 
Dully anakuja na 'Tapatapa'
Tuesday, 12 January 2010
Image
Kama ulifikiri ngoma ya Shikide kutoka kwa Dully Sykes ndiyo ngoma kali kuliko zote za Dully, fikiri tena. Jamaa ameing'ata Bongo5 sikio kuwa mwezi Machi ataachia ngoma mpya kwa mwaka huu 'Tapatapa' au Top of the toppest ambayo imekaa kibata kupita maelezo. Audio zimefanyika kwenye studio za Dhahabu recordz na kwa sasa yuko kwenye harakati za kutengeneza video na Visual lab
 
<< Mwanzo < Prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Next > Mwisho >>

Who's been doing what


profile update, 21:05
ommy name updated their profile photo.

new user registration, 19:29
kibaskeli joined our community! Welcome!

status update, 19:22
thug life bitch watch me rolling

profile update, 18:07
@shickland updated their profile.

profile update, 16:04
Bongo updated their profile photo.

new user registration, 15:58
moenakoo joined our community! Welcome!

profile update, 15:55
MwanaAppolo updated their profile.

profile update, 15:32
mtotomzuri updated their profile.

status update, 12:08
mtotomzuri iam watching the news

The Weather

Dar es Salaam, , TZ

Now
Partly Cloudy
26°C, Windchill: 26°C
Wind: 0 kph N
Humidity: 96%
Visibility: 0 km
Preasure: 1,006 mb steady
Sunrise: 6:27 am
Sunset: 6:33 pm
Mon
Scattered Thunderstorms
Hi: 32°C, Low: 26°C
Tue
Scattered Thunderstorms
Hi: 32°C, Low: 26°C

Sudoku

othman shouts:
Simba Simba ndio nini nani anayijuwa Simba lete habari za Maulaya sio Africa?

Picha Mpya za WanaB5!

 

Latest Songs

Not a Flirt
K-Lynn ft Hermy B
Ulinikuta
Klex ft Stone
Chupa Nyingine
Mchizi Mox
Shikide
Dully Sykes
Nimetoka Mbali
Jaguar ft. AY

Latest Videos

We have 13 guests online

Bongo5 Chat Zone 2.0
Total of members in the chatroom:
total 25746 wanachama
female 6301 female
male 19332 male
month 78 mwezi huu
Mpya: kibaskeli