Sun 21 Mar 2010
Sasa habari zinapatikana kwa kiingereza na kiswahili, chagua lugha upendayo hapo juu
Tamasha la Bongo Fleva
Friday, 15 January 2010
Taasisi ya taaluma za kiswahili Chuo kikuu cha Dar es salaam kinakuletea tamasha kubwa la Bongo Fleva linaloitwa Elimika na Bongo Fleva ikwa ni mchango wao katika kukuza muziki wa kizazi kipya. Ukiachana na burudani zitakazotoka kwa wasanii kama Afande Sele, Zay B, THT na wengine wengi, kutakuwa na maonyesho ya kazi za wasanii kama fulana, graffiti n.k kwenye mabanda yatakayowekwa maalum kwa shughuli hiyo. Pia kutazungumzwa mada mbalimbali, mgeni rasmi akiwa Prof. HJM Mwansoko wa Wizara ya Habari na utamaduni. Ishu nzima ni Jumamosi na Jumapili ijayo, kiingilio Bure
 
Adili ndani ya Filamu
Friday, 15 January 2010
Image
Mtayarishaji wa Filamu anayefanya vizuri na kampuni yake ya Chapakazi Films, Adili Hisabati, anauanza mwaka vyema kwa kuachia filamu inayokwenda kwa jina la Loleza ikiwa imesheheni vichwa kama Buff G, Mansu Li, Adili mwenyewe na mdogo wake Ibrahimu. Adili anasema si filamu ya kuikosa na itakuwa mitaani kuanzia mwezi wa pili
 
I'm not rich- PM
Friday, 15 January 2010
Image
The premier himself, Hon. Mizengo Pinda, has come forward and declared his property publicly. Speaking with the press yesterday, the PM said he owns only two houses one in Dodoma and the other in Mpanda, his homeland, and an unfinished house at Pugu. His bank account balance, he claims, does not exceed Tshs 25 milion
 
Lupe Fiasco ndani ya Bongo
Thursday, 14 January 2010
Image
Msanii wa Marekani, Lupe Fiasco, yupo nchini tangu Januari 11 akipanda mlima Kilimanjaro kwa hisani kwenye kampeni ya kusisistiza matumizi ya maji safi katika nchin zinazoendelea. Miongoni mwa watu maarufu walioambatana na msanii huyo, ni mwigizaji wa Marekani Jessica Biel na mwanamuziki Kenna mwenye asili ya Ethiopia. Upandaji wa mlima huo utachukua siku saba na baada ya hapo jamaa atarudi kwao kuendele kula bata. Shughuli hiyo imedhaminiwa na kituo cha burudani cha MTV
 
Tutafanya vizuri
Thursday, 14 January 2010

Image
Mchezaji wa Serbia ambaye pia anachezea klabu ya Manchester United, Nemanja  Vidic, anaamini timu ya Serbiaitafanya vizuri kwenye fainali za kombe la Dunia baadaye mwakani huko Afrika Kusini na kufanikiwa kupita hatua za awali. Vidic anasema Serbia imejiandaa vizuri ikiwa na wachezaji bora kushinda zadi ya awali walipocheza huko Ujerumani Hii ni mara ya kwanza kwa mchezaji huyo kucheza kwenye fainali hizo ingawa alikuwepo kwenye benchi kwenye fainali za mwaka 2006 zilizofanyika Ujerumani

 
Kesha kama CNN
Thursday, 14 January 2010

Image
Waumini wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship bado wanaendelea kupiga kambi usiku na mchana kwenye kanisa lao maeneo ya Sinza kwa kupokezana zamu kupinga hatua ya TANESCO kupitisha umeme kwenye kanisa hilo

Image
Hata hivyo, waumini hao waligoma kuongea na mwandishi wa Bongo5 na kusema msemaji wa swala hilo ni Askofu Kakobe peke yake

 

 
<< Mwanzo < Prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Next > Mwisho >>

Who's been doing what

21 March, 2010
profile update, 18:07
@shickland updated their profile.

profile update, 16:04
Bongo updated their profile photo.

profile update, 15:55
MwanaAppolo updated their profile.

profile update, 15:32
mtotomzuri updated their profile.

status update, 12:08
mtotomzuri iam watching the news

profile update, 04:20
mdaku updated their profile photo.

new friendship
adamgabo is now friends with kid

new friendship
beNOnce is now friends with kid

20 March, 2010
new user registration, 23:30
mtotomzuri joined our community! Welcome!

profile update, 23:24
Lawalawa updated their profile photo.

The Weather

Dar es Salaam, , TZ

Now
Thunder
31°C, Windchill: 31°C
Wind: 8 kph E
Humidity: 64%
Visibility: 0 km
Preasure: 1,004 mb steady
Sunrise: 6:27 am
Sunset: 6:33 pm
Sun
Scattered Thunderstorms
Hi: 32°C, Low: 26°C
Mon
Scattered Thunderstorms
Hi: 32°C, Low: 26°C

Sudoku

othman shouts:
Simba Simba ndio nini nani anayijuwa Simba lete habari za Maulaya sio Africa?

Picha Mpya za WanaB5!

 

Latest Songs

Not a Flirt
K-Lynn ft Hermy B
Ulinikuta
Klex ft Stone
Chupa Nyingine
Mchizi Mox
Shikide
Dully Sykes
Nimetoka Mbali
Jaguar ft. AY

Latest Videos

We have 24 guests online and 4 members online
kmoto wabogojo twist baba100babu
Bongo5 Chat Zone 2.0
Total of members in the chatroom:
total 25744 wanachama
female 6301 female
male 19330 male
month 76 mwezi huu
Mpya: mtotomzuri