Michezo

Conte kumsajili mchezaji huyu kutoka Bayern Munich

Kocha wa klabu ya Chelsea, Antonio Conte amedaiwa kwamba yupo tayari kufanya usajili wa mchezaji kiungo wa kimataifa wa klabu ya soka ya Bayern Munich ya Ujerumani Arturo Vida.

Inadaiwa Conte amemuandalia Arturo Vidal dau la paundi milioni 34 ili kumnasa katika dirisha dogo la mwezi huu wa Januar Conte na Vidal walishawahi kufanya kazi pamoja wakati wapo Juventus. Tusubiri kuona endapo atampata.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents