SwahiliEnglish
            Lost Password?    Click here to register
Latest Shout-Out!
mikingamo:

kwa hiyo room baada ya miezi sita tena?au unamaanisha nini? HANNA?

Music Corner





Sudoku
Kila la Kheri Amanda
Watanzania tumeweza kumpata Miss Universe Tanzania Bi Amanda Sululu ambaye amemrithi Mwanadada Flaviana Matata  aliyewahi kubahatika kufikia mpaka hatua ya kumi bora katika mashindano kama hayo...
Read more...
Kifo cha Raisi wa Zambia Utata
Rais wa Zambia Mheshimiwa levy Mwanawasa ambaye alikuwa mkosoaji mkubwa wa Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe, amedaiwa kufariki dunia jana asubuhi akiwa hospitalini jijini hapa
Read more...
Makamuzi bado yanaendelea UK-Jide
Judith Wambura a.k.a Binti Machozi a.k.a Lady JayDee kama unahofia kuchapia waweza kumuita Jide, bado anaendelea na ziara yake nchini uingereza ambapo anatarajia kupiga show nyingine mbili kabla hajarejea...
Read more...
Waziri mkuu aliombe Bunge Radhi-Lipumba
Waziri Mkuu wa jamuhuri ya muungano wa tanzania Mheshimiwa Mizengo Kayanza Pinda ametakiwa kuliomba radhi Bunge la Jamhuri ya Muungano na Watanzania kwa ujumla,
Read more...
  • Saba saba 2008 ulinzi mkali
    Jeshi la Polisi na mgambo wameanza kutumika kwa pamoja katika kusaidia ulinzi ndani ya viwanja vya maonyesho vya Mwalimu Nyerere Jijini, ikiwa ni hatua mojawapo ya Halmashauri ya Biashara ya Nje, BET katika kuimarisha usalama wa watu na mali.

  • Msako wa Machangu wapamba moto
    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni linawashikiliwa wasichana 12 kwa tuhuma za kukutwa wakijihusisha na biashara ya kuuza miili yao ( changudoa).

  • Chenge azidi kuingia matatani

    chenge_m.jpgKAMPUNI iliyokuwa ikimchunguza Waziri wa zamani wa Miundombinu, Adrew Chenge, imezidi kuja juu baada ya kuzibana kampuni nyingine ambazo zimekuwa...

     



  • Madawa na bidhaa za viwandani ni hatari
    Wananchi wametakiwa kutotumia vibaya madawa na bidhaa zitokazo Viwandani pamoja na Viwatilifu, kwani vinaweza kusababisha madhara makubwa kwa Binadamu na Mazingira.

  • Azikwa juu ya kaburi lingine mkono nje
    Mwili wa mtu asiyefahamika umezikwa juu ya kaburi la mtoto wa Mchungaji huku mkono wake mmoja ukiwa umebaki nje, tukio hilo la aina yake limevuta hisia za wakazi wa kitongoji cha Mbalizi nje kidogo ya jiji la Mbeya.

Latest Members Photos
Upload Photos to your Personal Album
 

Highslide JS
noreaga
2008-07-04

Highslide JS
pierrelukata
2008-07-03

Highslide JS
Bigirimana
2008-07-03

Highslide JS
janton k
2008-07-01

Upcoming Events
Oldskool Party of the Century
Colombus - 05.07.2008 | 21.00
Zanzibar International Film Fe...
Zanzibar - 11.07.2008
African Ladies Night
Toronto - 12.07.2008
Hamburg No.1 - East African Fl...
Hamburg - 12.07.2008 | 23.00
East African Flava
Hamburg - 12.07.2008 | 23.00
African Night - Afromania Club
Münster/NRW - 18.07.2008 | 22.00
EAST AFRICAN SUMMER NITE!
HOUSTON - 25.07.2008 - 26.07.2008
EAST AFRICAN SUMMER NITE!
HOUSTON - 25.07.2008 - 26.07.2008
Register now to add your events!!

Your Comments
1. Bushoke kurudisha tuzo ya watu
 By: mebo - Total (10 comments)
2. Kila la Kheri Amanda
 By: Nisipitwe - Total (2 comments)
3. Kifo cha Raisi wa Zambia Utata
 By: Big tymers - Total (2 comments)
4. Makamuzi bado yanaendelea UK-Jide
 By: brother I - Total (2 comments)
5. Bado Nipo Nipo - Mwana FA
 By: mujwahuki - Total (50 comments)
6. Moto Unawaka - Klex
 By: bope - Total (15 comments)
7. Nyumba za wageni ziweke kamera kuna
 By: Nisipitwe - Total (2 comments)
8. AU sasa kumjadili Mugabe Misri
 By: Big tymers - Total (4 comments)

Latest Forum Entries
Living in the Rain
isaackraphael 04-07-08 17:41
live like a champion prt8
isaackraphael 04-07-08 17:34
Love the Word
isaackraphael 01-07-08 17:10
He Teaches the Way
isaackraphael 30-06-08 14:30
Abide in Him
isaackraphael 29-06-08 17:43

Total Members
total 17998 registered
female 4519 female
male 13396 male
month 77 new this month
New: blackbross
Who's Online Now
We have 60 guests online and 10 members online
BAYROS africanboy Geoff carine T_pain_Msomali Friiday TANAGWA MIPANGO hegga ferladha
2006-2007 © Copyright Bongo5.com