SwahiliEnglish
            Lost Password?    Click here to register
Bongo5 Forum
Welcome, Guest
Please Login or Register.
Lost Password?
_GEN_GOTOBOTTOM Post Reply

TOPIC: WHAT\'S YOUR OPINION?

#804
Natty_Bongoman (User)
Senior Boarder
Posts: 369
graph
Click here to see the profile of this user
WHAT'S YOUR OPINION? 2006/10/11 03:33  
I once discussed this somewhere else, but I am interested in soliciting your opinions.

Sisi tuliozaliwa Bongo, tunakua tukiongea kiswahili (na labda lugha ya kikabila). Tukianza shule, tunajifunza tukitumia kiswahili. Kale kadarasa ka kiingereza hakatufundishi lugha ya kiingereza. Baada ya kumaliza darasa la saba, tunaanza shule za sekondari, tukifundishwa kila masomo kutumia kiingereza. Wanafunzi bora waliofaulu darasa la saba kirahisi, wanafeli form IV vibaya. Hawa wanafunzi wa sekondari, wakiwa darasani wanaongea kiswahili, na pia wakitoka nje ya darasa. Kiingereza kinakuwa, ukweli ukitajwa, kigumu tu (kwa wengi, anyways).

Mimi nashangazwa sana kwa hivyo baada ya miaka mingi ya mtindo huu wa elimu, wataalamu hawajaamua kuwa 'tunaua' maendeleo ya mbeleni ya wanafunzi nchini mwetu. Yaani hawa wanafunzi hawaelewi wanachofundishwa shuleni (secondary), na wajanja wanategemea kutumia kumbukumbu kufaulu mitihani. Swali likibadilishwa, wanapotea kabisaa. Basi wakifaulu, wanaendelea na kusoma chuoni wakitumia kumbukumbu... Yaani kweli sisi tunategemea kushindana na nchi za Anglo-phone wakati tukielimika vyuoni? Ukweli ni kama sisi wabongo hatukuwa wajanja, na kujisomesha nje ya madarasa yetu - wengi tungeonekana ka ni wajinga vyuoni nchini na ulaya.

Sisi wabongo ni mabingwa wa kiswahili, kwa hiyo, ni maoni yangu kwamba hata tukianza kufundishwa primary school tukitumia kiingereza, tutakijua kiswahili kama tunavokijua siku hizi, kwa sababu, tutatumia lugha nje ya madarasa. Pia, tutakuwa wanafunzi bora ambao wanaweza kusoma popote duniani wanakotumia kiingereza.

Jamii, mnafikiriaje? Maoni yenu ni muhimu, na labda mtaungana nami ili tubadilishe huu mtindo wetu wa elimu.

It isn't about shedding our utamaduni, far from it, it is about giving us an equal competitive edge education-wise. I can only imagine how Tanzanians will fare given how intelligent we are when we understand 'what time it is'. Seen?

Peace bongo5 massive.
  The administrator has disabled public write access.
#837
jahnsele (User)
Fresh Boarder
Posts: 38
graphgraph
Click here to see the profile of this user
Re:WHAT'S YOUR OPINION? 2006/10/16 21:35  
Yes Bongoman
Hii point ni ya maana sana. Lakini tukiangalia kwa undani zaidi inawezekana hata viongozi wetu wanafahamu hii na wanaogopa kuharibu nchi baada ya kulinganisha advantages na disadvantages.

Adv.>> kama ulivyoonyesha ni kwamba tutakuwa wataalamu zaidi kwani tutatumia lugha yetu.

DisAdv>> nadhani hapa kuna madhara mengi zaidi ya inavyoonekana.
1. Books-ni gharama ya ajabu kutranslate all books necessary for our education.

2. Imported Technology- kumbuka tumeingia kwenye 21st century, ndiyo kwanza waTZ tunajichanganya na comp. Karibu kila comp program inaoperate in english, sasa kwa point yako inatubidi labda tusitumie comp kabisa. Ni vitu vichache tu vinaanza kupatikana kwa Kiswahili mf. google/swahili lakini tupo mbali sana kufikia lengo.

well kuna mambo mengi tu lakini nadhani tuanze na hayo ya muhimu.
  The administrator has disabled public write access.
#844
Natty_Bongoman (User)
Senior Boarder
Posts: 369
graph
Click here to see the profile of this user
Re:WHAT'S YOUR OPINION? 2006/10/17 22:27  
Jahnsele, asante kwa maoni yako.

Pointi yako kuhusiana na viongozi ni bora sana. Mara nyingine, viongozi wanahitaji 'guts'.

Advantage ya kuwa wataalam wa kiSwahili, haitabadilishwa kwa vile wengi tutaongea kiSwahili nje ya madarasa. On the flip side, tutakuwa wataalam wa lugha by BBC ambayo inatumiwa sehemu nyingi duniani, na nchini mwetu pia.

Disadvantage ya gharama ya ku-translate vitabu inatakiwa kuitwa 'advantage' na 'investment'...
Pia, nina uhakika kuwa nchi zilizoendelea zitarukia kutupa vitabu vya 'universal subjects', i.e., hesabu, sayansi, nk.

Kuhusiana na ulimwengu wa kompyutaz, hii ni sababu nyingine ya kuanza kufundisha lugha ya kiingereza mapema. Ama gharama kuu itakuwa ya ku-translate ama ku-superimpose 'computer commands'...


Post edited by: Natty_Bongoman, at: 2006/10/17 20:28
  The administrator has disabled public write access.
_GEN_GOTOTOP Post Reply
© Copyright 2007 Best of Joomla, Powered by FireBoardget the latest posts directly to your desktop
Total Members
total 21208 registered
female 5269 female
male 15859 male
month 13 new this month
New: Glen
Who's Online Now
We have 20 guests online and 2 members online
Natty_Bongoman Prince L
Bongo5 Chat Zone 2.0
Total of members in the chatroom:
2006-2007 © Copyright Bongo5.com