SwahiliEnglish
            Lost Password?    Click here to register
Bongo5 Forum
Welcome, Guest
Please Login or Register.
Lost Password?
Madini ni ya Wabongo, kwa nini tusinufaike? (1 viewing)
_GEN_GOTOBOTTOM Post Reply

TOPIC: Madini ni ya Wabongo, kwa nini tusinufaike?

#580
jahnsele (User)
Fresh Boarder
Posts: 38
graphgraph
Click here to see the profile of this user
Madini ni ya Wabongo, kwa nini tusinufaike? 2006/08/24 10:41  
Hongera JK kwa kuliangalia suala zima la sekta ya madini. Nchi zingine zinajulikana kwa kuuza Tanzanite wakati jina lenyewe linawakosoa. Lazima turudishe heshima yetu kipindi hiki.
  The administrator has disabled public write access.
#704
cyan (User)
Junior Boarder
Posts: 110
graphgraph
Click here to see the profile of this user
Re:Madini ni ya Wabongo, kwa nini tusinufaike? 2006/09/13 06:18  
kwani kuna mtu kawakataza watanzania wasifaidike na madini yao?au ni sera mbaya za utawala wa ccm.kwani huyu JK si alikuwa huku wanakopanga kuwabana walala hoi.tizama kwa undani utakuta wao maboss ndio wanauza hayo madini nje.sio kuwalaumu wanaouziwa.sera za ccm kwenye madinindio unatakiwa kuzilaumu.
  The administrator has disabled public write access.
#709
jahnsele (User)
Fresh Boarder
Posts: 38
graphgraph
Click here to see the profile of this user
Re:Madini ni ya Wabongo, kwa nini tusinufaike? 2006/09/13 23:07  
nadhani umesahau kwamba serikali ni ya vyama vingi na ndani ya bunge kuna viongozi wengi tu toka vyama vya upinzani, kwani wao walishindwa nini kuanzisha mswada huo. Kama unafuatilia kwa ukaribu zaidi hii ilikuwa ni moja ya Long term plan za Rais B. Mkapa ambapo JK anatimiza mipango iliyoandaliwa kwa miaka mingi.
  The administrator has disabled public write access.
#1135
cyan (User)
Junior Boarder
Posts: 110
graphgraph
Click here to see the profile of this user
Re:Madini ni ya Wabongo, kwa nini tusinufaike? 2006/11/23 06:56  
wewe unakuwakama mgeni wa ccm.ccm ndio wanawapana watazania wasifaedeke na maliasili yao.wacha mambo ya wabunge wa upinzani .ccm wanatawala leo miaka mingapi unataka kusema madini yamepatika wakati huu wa Jk?na huyo jk si alikuwa waziri tangu enzi za mzee mwinyi MADINI yalikuwa hakuna wakati ule?
  The administrator has disabled public write access.
#1136
tatu (User)
Junior Boarder
Posts: 148
graphgraph
Click here to see the profile of this user
Re:Madini ni ya Wabongo, kwa nini tusinufaike? 2006/11/23 09:17  
jahnsele wrote:
Hongera JK kwa kuliangalia suala zima la sekta ya madini. Nchi zingine zinajulikana kwa kuuza Tanzanite wakati jina lenyewe linawakosoa. Lazima turudishe heshima yetu kipindi hiki.

TUTAFIKA 2 LAKINI MAANA SASA NAONA WATU WANASTUKA.
  The administrator has disabled public write access.
#1137
cyan (User)
Junior Boarder
Posts: 110
graphgraph
Click here to see the profile of this user
Re:Madini ni ya Wabongo, kwa nini tusinufaike? 2006/11/23 12:17  
tatu subira za wabongo ndio chanzo za umasikini wao.hebu tizama kwa nini madini yasiwatoe wabongo kwenye umasikini?kila siku ni hao hao kina kikwete ni ccm chukua chako mapema kachua ali mwinyi kisha mkapa na sasa kikwete miaka kumi itakwisha hakuna cha maana.madini yapo tangu zama za babu na babu leo ndio wanaona kuwa kuna madini.na sera ni ileile ya ccm kwenye madini.mimi nakuambia miaka kumi ya kikwete itamalizika na hakuna cha maana zaidi ya ngojera utakuja kuniambia tukiwa bado hai.vipi watanzania wamefaidika na madini yao.
  The administrator has disabled public write access.
_GEN_GOTOTOP Post Reply
© Copyright 2007 Best of Joomla, Powered by FireBoardget the latest posts directly to your desktop
Total Members
total 21208 registered
female 5269 female
male 15859 male
month 13 new this month
New: Glen
Who's Online Now
We have 17 guests online and 2 members online
Natty_Bongoman noah12
Bongo5 Chat Zone 2.0
Total of members in the chatroom:
2006-2007 © Copyright Bongo5.com