Hi ni kwa wale wanaoadvocate kulizika jina Dar,let me tel u,jina lenu lolote mtakaloliita badala ya dar es salaan halitaweza kubadili historia na leave us with Our beutiful Dar Es Salaam.....its coastal city lazima iwe na vionjo ambavyo wahamiaji kama nyie kutoka bara maviita ni vya kiarabu.