Nimejiunga na YouTube na nimebandika video viwili kuhusiana na Darfur ... ushauri wenu kuhusiana na kideo, ok. Kubwa la, ni kuungana nami kuendelea kukumbusha yeyote in your influence circle kuhusiana na ukatili huu. Pia unaweza uka-comment kideo ndani ya YouTube. Kweli viongozi wetu duniani wamewageuzia mgongo!
http://www.youtube.com/watch?v=ued-KL8OPU8
http://www.youtube.com/watch?v=vpQmBKoqXKE
Asanteni massive!Post edited by: Natty_Bongoman, at: 2008/04/27 02:48
Post edited by: Natty_Bongoman, at: 2008/04/28 23:56