Hii ni website mpya ambayo itakuwa inahusika na muziki aina ya hiphop za kiswahili kwa asilimia 90(%). Nawaomba tusaidiane ki mawazo na maarifa tuliyokua nayo ili tuweze kuutangaza na kuuinua muziki huu! yoyote mwenye jambo anaweza kuwasiliana directly kutoka kwenye website hio ahsanteni!