Jana usiku T.I.D alihojiwa na kituo cha televisheni cha BEN kuhusiana na ziara yake katika miji ya London,Birmingham na Glasgow.Unaweza kuangalia clips mbili za interview hiyo kwa kufuata link hii katika blog yangu http://chahali.blogspot.com/2008/01/interview-ya-tid-ben-tv-london.html
The administrator has disabled public write access.
#2558
Msambaa(User)
Fresh Boarder
Posts: 49
Re:Interview ya TID BEN TV,London 2008/01/24 21:31
Haya mahojiano yanachekesha! kwanini ahojiwakiswahili anajibu kwa kingereza cha wanafunzi wa form two?
The administrator has disabled public write access.
#2559
keycee(User)
Fresh Boarder
Posts: 1
Re:Interview ya TID BEN TV,London 2008/01/25 08:43
hili ndo tatizo la sisi wabongo, kujifanya tunajua saaaaana, sasa hapo hujyo dada wa watu anamuuliza huyu TID tena kwa kiswahili fasaha kabisa, eti ye anajibu kiingereza! sasa ndo nini sasa? hiyo "intavyuu" ilimaanishwa kuwa kwa lugha ya kiswahili ndio maana huyo muandishi akawa anauliza kiswahili, au ungewa nje ya nchi hutakiwi kuongea lugha yako, kwani usipoongea kiingereza utaonekana mshamba? jamani embu tuache kasumba ya za kizamani za kusahau uzalendo tunapokuwa nje ya nchi yetu, halafu bora hata hicho kiingereza anachoongea kingekuwa kimeenda shule, mtu anaongea utafikiri mwalimu wa 'sayansi kimu'! TID embu acha ushamba!
The administrator has disabled public write access.
#2562
quest(User)
Fresh Boarder
Posts: 5
Re:Interview ya TID BEN TV,London 2008/01/30 14:48
tid kidogo nenda english course ukajuwe past na future because kwenye interview ulikuwa unaongea broken english dude did past yake ni done stupid
The administrator has disabled public write access.