Imekua hapa watu wengine hii nafasi yakuweka picha wanaitumia bila kufikiria waweke nini nakuweka wanavyotaka wenyewe. Huwa nakuja kwenye hii website sio kuja kuangalia mambo ya ajabu bali kusikiliza muziki au pengine kubadilishana mawazo na watanzania wenzagu.Nimewatambulisha marafikizangu wengi na wanaitembelea hii tovuti.Jambo lakuweka picha zauchi hapa kwakweli sio uungwana. Mtotowangu bado mdogo na bado hajajua maana ya hizo picha lakini kama ikiendelea hivi itakua miaka ya baadae niiache hii tovuti, naandika hivi kutokana na malalamiko ya marafiki zangu niliowatambulisha hii tovuti kuja na watoto wao ambao kwa wakati mwingine wanakwenda kwenye hizi games zilizoweka kwenye tovuti imekua sasa hawaruhusiwi kuja games kwasababu ya hizi picha za ajabu.Hivi ni uungwana mtu mzima kuweka picha za uchi kwenye profile lake?
The administrator has disabled public write access.
#2103
Heartbreaker(User)
Fresh Boarder
Posts: 8
Re:Jamani tuwe na heshima 2007/07/01 13:46
sawa sawa heshima kitu cha bure
The administrator has disabled public write access.
#2409
HoVa(User)
Junior Boarder
Posts: 180
Re:Jamani tuwe na heshima 2007/11/03 08:41
Msambaa wrote: Imekua hapa watu wengine hii nafasi yakuweka picha wanaitumia bila kufikiria waweke nini nakuweka wanavyotaka wenyewe. Huwa nakuja kwenye hii website sio kuja kuangalia mambo ya ajabu bali kusikiliza muziki au pengine kubadilishana mawazo na watanzania wenzagu.Nimewatambulisha marafikizangu wengi na wanaitembelea hii tovuti.Jambo lakuweka picha zauchi hapa kwakweli sio uungwana. Mtotowangu bado mdogo na bado hajajua maana ya hizo picha lakini kama ikiendelea hivi itakua miaka ya baadae niiache hii tovuti, naandika hivi kutokana na malalamiko ya marafiki zangu niliowatambulisha hii tovuti kuja na watoto wao ambao kwa wakati mwingine wanakwenda kwenye hizi games zilizoweka kwenye tovuti imekua sasa hawaruhusiwi kuja games kwasababu ya hizi picha za ajabu.Hivi ni uungwana mtu mzima kuweka picha za uchi kwenye profile lake?
ila ni kweli, tuzingatie maadili, H.
The administrator has disabled public write access.