SwahiliEnglish
            Lost Password?    Click here to register
Bongo5 Forum
Welcome, Guest
Please Login or Register.
Lost Password?
Re:Ushiriki kwenye kumbi hili! (1 viewing)
_GEN_GOTOBOTTOM Post Reply

TOPIC: Re:Ushiriki kwenye kumbi hili!

#2390
Atanaye (User)
Fresh Boarder
Posts: 18
graphgraph
Click here to see the profile of this user
Ushiriki kwenye kumbi hili! 2007/10/26 00:24  
Nafikiri tutakubaliana kwamba mahojiano humu ni mafupi! Kwa kweli kama views zimekuwa nyingi bila kuwa na mdahalo basi hii tovuti ingefanikiwa kama gazeti! Watanzania tunajivunia kwa mengi tu! Uhuru wa habari ukiwa mmojawapo hivyo basi, wanabongo5 wawe huru kutumia tovuti hii kwa midahalo Kwa wale wanaotumia majina machafu...acheni!!! hii inaenda sambamba na wale wenye kutumia lugha chafu(hii imenitokea katika chat, jina silisemi ) acheni kwani teknolojia hii ni rahisi kumjua nani anafanya hivyo!
Mwanalibeneke!
  The administrator has disabled public write access.
#2408
HoVa (User)
Junior Boarder
Posts: 180
graphgraph
Click here to see the profile of this user
Re:Ushiriki kwenye kumbi hili! 2007/11/03 08:40  
Atanaye wrote:
Nafikiri tutakubaliana kwamba mahojiano humu ni mafupi! Kwa kweli kama views zimekuwa nyingi bila kuwa na mdahalo basi hii tovuti ingefanikiwa kama gazeti! Watanzania tunajivunia kwa mengi tu! Uhuru wa habari ukiwa mmojawapo hivyo basi, wanabongo5 wawe huru kutumia tovuti hii kwa midahalo Kwa wale wanaotumia majina machafu...acheni!!! hii inaenda sambamba na wale wenye kutumia lugha chafu(hii imenitokea katika chat, jina silisemi ) acheni kwani teknolojia hii ni rahisi kumjua nani anafanya hivyo!
Mwanalibeneke!

Kweli,
Uhuru wa maongezi, naona vijana wanautumia vibaya...
H.
  The administrator has disabled public write access.
_GEN_GOTOTOP Post Reply
© Copyright 2007 Best of Joomla, Powered by FireBoardget the latest posts directly to your desktop
Total Members
total 21204 registered
female 5267 female
male 15857 male
month 9 new this month
New: nakupenda wewe
Who's Online Now
We have 35 guests online and 7 members online
CHEMICAL ALLY jahman fettylicious ruljal stopsnitchies FESKAM sexpie
Bongo5 Chat Zone 2.0
Total of members in the chatroom:
2006-2007 © Copyright Bongo5.com