Nafikiri tutakubaliana kwamba mahojiano humu ni mafupi! Kwa kweli kama views zimekuwa nyingi bila kuwa na mdahalo basi hii tovuti ingefanikiwa kama gazeti! Watanzania tunajivunia kwa mengi tu! Uhuru wa habari ukiwa mmojawapo hivyo basi, wanabongo5 wawe huru kutumia tovuti hii kwa midahalo

Kwa wale wanaotumia majina machafu...acheni!!! hii inaenda sambamba na wale wenye kutumia lugha chafu(hii imenitokea katika chat, jina silisemi

) acheni kwani teknolojia hii ni rahisi kumjua nani anafanya hivyo!
Mwanalibeneke!