SwahiliEnglish
            Lost Password?    Click here to register
Bongo5 Forum
Welcome, Guest
Please Login or Register.
Lost Password?
Othman, \'La tahkumu walaa tuhkam\' (1 viewing)
_GEN_GOTOBOTTOM Post Reply

TOPIC: Othman, \'La tahkumu walaa tuhkam\'

#2143
Msambaa (User)
Fresh Boarder
Posts: 49
graphgraph
Click here to see the profile of this user
Othman, 'La tahkumu walaa tuhkam' 2007/07/15 17:29  
Baharia Othman,
Kwanza nakupaheshima nakuijua dini yakiislam hongera na endeleakuilinda dini.
Nilipotoa comment kwenye hioforum yawamarekani wanaokuja kupiga muziki Tanzania kwakiislam niliulizakwamba kwanini diniiwe inakubali taarab na sio muzikiwakiislam.kumbukakwamba kwenyecomment yangu nilisema kwamba wenyekuijua dini vizuri dini watuelimishe wewe hujanifafanulia. Jambo lakunitumia pm nakuniambia 'wewe bwege kama hujui uislam nibora usiseme chochote kwenye hii tovuti'
Baharia Othman ningefurahi kama mtukama wewe ungenielimisha lakinikinyume chake ulinitumia pm ambayo hata nikiiangalia naanza kucheka.
Kilamtu anatoa maoni yake hapa, Mungu akujaalie inshaallah nakuijua dini yetu na upate mafanikio ili ukifika kule ahera uwakute wale wanawali wanaokusubiri.Ila jambo moja tu nikwamba mungu alisema 'la tahkumu walaa tuhkam'
Nakutakia maisha mema huko Ugiriki

Post edited by: Msambaa, at: 2007/07/15 15:30

Post edited by: Msambaa, at: 2007/07/15 15:31
  The administrator has disabled public write access.
_GEN_GOTOTOP Post Reply
© Copyright 2007 Best of Joomla, Powered by FireBoardget the latest posts directly to your desktop
Total Members
total 21204 registered
female 5267 female
male 15857 male
month 9 new this month
New: nakupenda wewe
Who's Online Now
We have 26 guests online and 3 members online
jahman afrgal Ernie
Bongo5 Chat Zone 2.0
Total of members in the chatroom:
2006-2007 © Copyright Bongo5.com