Rugaimukamu: Hivi Rweyongeza, kare katoto kako Gozbert kako wapi siku hizi? maana nakumbuka karikuwa dull darasani mwenzake Albert ni daktari bingwa sasa!
Muchunguzi: Ee Albert kumbe ni mtaaram.
Rweyongeza: aa Gozbert yupo, yeye kazi yake ni kuwahudumia wagonjwa warioshindwa na madaktari bingwa!
Rugaimukamu: mmmm
(BAADA YA Rugaimukamu kuondoka )
Muchunguzi: Eee Rweyongeza, nirishindwa kukuuriza mbere ya Rugaimukamu, sasa kama Gozbert anahudumia wagonjwa warioshindwa na madaktari bingwa, yeye ni nani?
Rweyongeza: Aaa unajua Ka Gozbert hakakusoma hivyo kanasafisha na kutunza maiti za watu Mortuary!
The administrator has disabled public write access.
#1767
[Q](User)
Fresh Boarder
Posts: 26
Re:Mambo ya WAHAYA 2007/03/21 19:17
Duuuuh...Noma
The administrator has disabled public write access.
#1784
tatu(User)
Junior Boarder
Posts: 148
Re:Mambo ya WAHAYA 2007/03/27 17:13
kaazi kweli kweli
The administrator has disabled public write access.
#1957
kimbory(User)
Fresh Boarder
Posts: 31
Re:Mambo ya WAHAYA 2007/06/06 10:58
MMH mbavu zangu jamani kah! hiyo kali zaidi lkn kweli majigambo mengi hahaha
The administrator has disabled public write access.