ah jamani mimi siungi mkono kusema tuwaache tu.
haina maana kuwaacha tu koz haitasaidia kitu.
ujue mtu unashangaa mtu mgeni kaja leo leo, anafika anaanza kukutukana. Unabaki kujiuliza huyu jamaa vipi, mbona mimi simfahamu?? iweje kafika na kuanza matusi juu yangu??
Hupati jibu wala nini, unahishia kujilaumu kwa nini umekuja humu ndani leo, unamkosi gani na mengine mengi.
lakini watu wanaotukana matusi tunashinda nao, akija SIKUDHANI anakuja kwako mwema, anakuchekea, anakuulizaulipo, na mengine mengi.
akitoka anakuja SIWEMA, anakuja mwingine, utadhani kapandwa mashetani, anafika anaanza kukutukana, ndo hapo unakuwa hupati jibu. lakini kumbe ni wale wale tunaocheka nao, tunakula nao na wabaya ni hao hao.
mimi nikitoa ushauri wangu najua mtachukia lakini nadhani ndo dawa hii, ujue hata bongo5 inalemewa kwa ajili ya tatizo hili sugu. WATU KUWA NA PROFILE SI CHINI YA 10
MI NILIKUWA NAONA KAMA DAWA YA HAWA WATU NI KAKA LUCA KUFUNGA IP ADRESS ZAO, MTU UNATUMIA JINA MOJA KWA PC MOJA. kama una pc 10 basi utatumia 10 lakini kwa moja utakuwa umeshafundishwa adabu.
NAJUA WENGI MTAKASIRIKA ILA NDO UKWELI HUO, TOFAUTI NA HILI HATUTAPATA SULUISHO, TUTABAKI KULALAMA TU. NA JIBU HATUPATA.
KAKA LUCA NAYE ATUSAIDIE HILI (BILA KUFUNGA IP ADRESS HATUTAPATA SULUISHO
TUBADIRIKE WAKUBWA NA WADOGO ZANGU, ZANA ZA MATUS ziMEPITWA NA WAKATI.
MWONEENI HURUMA KAKA YETU ALOAMUA KUWEKA UKURASA HUU, ANATUMIA MUDA MWINGI KUTENGENEZA, KILA SIKU UNAONA KABADIRI HIKI NA KILE, JAMANI HATA SHUKURANI HATUNA NDUGU ZANGU?? TUBADIRIKE
MUNGU ATUBARIKI