|
|
|
Re:Madini ni ya Wabongo, kwa nini tusinufaike? (1 viewing)
|
|
TOPIC: Re:Madini ni ya Wabongo, kwa nini tusinufaike?
|
Rweyzuna (User)
Junior Boarder
Posts: 185
|
| Re:Madini ni ya Wabongo, kwa nini tusinufaike? 2006/11/23 13:17 |
|
|
Nakubali kuwa madini ni ya wabongo. Tatizo ni kuingia mikataba tena ya muda mrefu na wageni ili wachimbe na kuchukua madini yetu. Kama tujuavyo mkataba ni sheria, unabana. Kwa hiyo hapa hatuna ujanja waache wageni wachukue madini yetu mpaka tutakapopata akili ya kuchunguza mikataba kabla ya kuisaini.
|
|
|
|
The administrator has disabled public write access.
|
Siafu (User)
Fresh Boarder
Posts: 5
|
| Re:Madini ni ya Wabongo, kwa nini tusinufaike? 2008/01/14 12:26 |
|
|
Issue nikwamba wabongo hawajui thamani ya gemstones, sikitu nyingine na tena wahusika ni deaf ya know a mean mbumbumu guess that right. get another clue to that?????
|
|
|
|
The administrator has disabled public write access.
|
sizajo (User)
Fresh Boarder
Posts: 2
|
| Re:Madini ni ya Wabongo, kwa nini tusinufaike? 2008/07/17 21:29 |
|
|
unajua ni kweli watanzania awajui umuhimu wa madini kwanza asa wa mjini awajui ata mgoni mmoja wanajua tu tuna mgodi na sio migoni thats 4 my true reseach i used to work at mining industry 4 two yrs.cha kufanya ni kutumia dictatative uwamuzi kwani ni moja ya uwongozi na kuwapunguzia miaka toka mia adi mitano mitano na wahache wakashtaki kwenye umoja wa mataifa awatafika kokote nasisi tutawaita kwa kuwashtaki kama wezi wa mali za wananchi na kutunga chelia za kuwabana kama akidanganya mkataba apolwe kibali cha kuchimba na fidia ya yote aliyochukua tatizo wezi wenyewe ni serikali na wageni
|
|
|
|
The administrator has disabled public write access.
|
sizajo (User)
Fresh Boarder
Posts: 2
|
| Re:Madini ni ya Wabongo, kwa nini tusinufaike? 2008/07/17 21:31 |
|
|
akuna wabongo mambumbumbu ila nielimu ya kutosha asikwambie mtu atujui kingeleza tu ila kama tungesoma kiswahili usipime mtu wangu
|
|
|
|
The administrator has disabled public write access.
|
|
|
|
|
|
|
| |
|
|
|