SwahiliEnglish
            Lost Password?    Click here to register
Bongo5 Forum
Welcome, Guest
Please Login or Register.
Lost Password?
Re:Vitambulisho Zanzibar tena? (1 viewing)
_GEN_GOTOBOTTOM Post Reply

TOPIC: Re:Vitambulisho Zanzibar tena?

#579
jahnsele (User)
Fresh Boarder
Posts: 38
graphgraph
Click here to see the profile of this user
Vitambulisho Zanzibar tena? 2006/08/24 10:36  
Niliona news kwenye IPP Media wanasema kwamba watu toka bara wanatakiwa kuwa na vitambulisho. Nadhani suala la muungano halieleweki kwa viongozi wengi. Kama raia wanaingia EAC countries bila visa, inakuwaje ZNZ kuwa na vitambulisho wakati Flag ni moja?
  The administrator has disabled public write access.
#589
kibunango (User)
Fresh Boarder
Posts: 65
graphgraph
Click here to see the profile of this user
Re:Vitambulisho Zanzibar tena? 2006/08/24 12:20  
Well, kama nimeelewa vizuri, wanazungumzia vitambulisho vya ukaazi, na sio vitambulisho kwa ajili ya kuingia z'bar.

Tatizo ambalo linaliona hapo ni kwa masheha kugeuka miungu watu, kwani wao ndio wanaopaswa kutoa idhini ya mtu yoyote kupata kitambulisho cha ukaazi...

Kabla ya kuanza kwa zoezi hili, iliwahi kuripotiwa kuwa ili uweze kuwa mkaazi wa z'bar, inakupasa kuishi ndani ya visiwa hivyo kwa muda wa miaka mitano mfululizo....

Kwa wale ambao hawana nia ya kuwa wakaazi wa visiwa hivyo sidhani kama sheria hii inawahusu, zAidi labda watapata usumbufu mkubwa kutoka kwa polisi, JKU , KMKM, na kikosi cha voluntia, kwani ile habari ya kutembea na kipande kama Kenya ndio sasa inabisha hodi Visiwani humo...!
  The administrator has disabled public write access.
_GEN_GOTOTOP Post Reply
© Copyright 2007 Best of Joomla, Powered by FireBoardget the latest posts directly to your desktop
Total Members
total 21204 registered
female 5267 female
male 15857 male
month 9 new this month
New: nakupenda wewe
Who's Online Now
We have 35 guests online and 6 members online
CHEMICAL ALLY fettylicious ruljal stopsnitchies sexpie ERICK JOHN9
Bongo5 Chat Zone 2.0
Total of members in the chatroom:
2006-2007 © Copyright Bongo5.com