Jacky nataka nikuongezee recipes labda ungeweka na samli ya maziwa ya mbuzi,magadi ya majivu, hao sio? lakini inaonekana hichi nichakula kitam sana tena kinavutia yaani hapa nilipo namezea mate 2!
Post edited by: Kakayetu, at: 2007/10/28 06:50

Post edited by: Kakayetu, at: 2007/10/28 06:51