
Ndizi 6
Utumbo robo kg
Nyanya 3
kitunguu 1
Hoho & karoti nusu nusu
Tangawizi 1
kitunguu swaumu pisi 5
Limao 1
chumvi kiasi
mafuta kiasi
JINSI YA KUANDAA-Satisha utumbo vizuri na ukate kate
-kamulia limao
-twanga tangawizi weka ili kuondoa harufu ya utumbo
-weka maji kidogo
-weka chumvi acha icheke
-ikiisha iva weka kando
-kata kitunguu
-injika sufuria weka mafuta
-kaanga kitunguu maji na swaumu
-weka utumbo ulioouchemsha
-ikikaangika weka nyanya ,hoho na karoti ulizosaga
-zikaange kwa dakika tano ili ziive
-mwagia tui lako bubu
-anza kukoroga ili lisikatike
-acha ichemke kwa dakika 5
-ipua
-Menya ndizi
-tumie ile supu ya utumbo na nazi tui la pili
-weka ndizi
-funika acha ichemka
-Baada yadakika 10 zitakuwa zimeiva
-ipua andaa meza
Imeandaliwa na TATU